mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. saidoo25

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI: Ukiwa mkweli ndani ya CCM, Mambo 4 yatakukuta - Humphrey Polepole

    BALOZI wa Tanzania nchini Malawi, Mheshimiwa Humphrey Polepole ameweka wazi mambo manne ambayo unaweza kufanyiwa Kiongozi wa Chama cha Mapinduzi unayesimamia haki na ukweli bila kupindisha maneno. “Kwenye Chama cha Mapinduzi ukiwa umenyooka hivi yaani umenyooka hivi rula inasubiri mambo 4...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania msiwe wajinga kuunga mkono mambo ya kijinga! Mtajuta huko mbele

    Watanzania kama hamjui baadhi yenu mnatengeneza nchi mbayo itakuja kuwa kama Uganda ya mtu mmoja na family yake. Ndiyo kitu mabacho hizo familia chache za maraisi wastaafu wanataka kufanya. Mkiwaacha itafika wakati hata ndani ya hiko chama kitakuwa ni ndugu na jamaa pekee. Kuna watu wanaweka...
  3. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Lucifer hakupenda kuwa shetani Kuna mambo alitofautiana na Mungu akaona kama mbwai iwe mbwai

    Labda ni falsafa ya kizembe TU kwamba Mungu alimuona shetani kama muasi ingawa Kuna malaika ambao waliyaunga mkono malalamiko ya shetani Mungu aliona ni Bora kumtupa duniani kuliko kumuua!! Vipi angemuua wale malaika theluthi wangeendelea kuwa wapinzani wa Mungu ndani ya mbingu yenyewe...
  4. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Somo la 2: Mambo muhimu ya kuzingatia kabla hujawekeza

    🌀 Kumbuka: Katika somo letu la kwanza, tulijifunza kwa ujumla nini maana ya uwekezaji na kwa nini ni muhimu kwa kila mmoja wetu kuanza safari hiyo mapema iwezekanavyo. 📍 Leo, tunazama ndani zaidi kwa kuangalia mambo ya msingi unayopaswa kuyazingatia kabla hujawekeza hata shilingi moja. Hii...
  5. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Nashauri kazi ya kukusanya taarifa binafsi za watalii ibaki kwa wizara ya mambo ya ndani (Immigration)

    Kuna hizi taasisi zetu kubwa kama TANAPA/NCAA/WMA nk wameboresha mifumo yao na kuhusisha kukusanya taarifa binafsi za MTALII zilizopo kwenye Passport yake kabla hajafika Nchini. Nafikiri ifike mahala hayo majukumu yaachiwe Idara husika ambayo ni ya mambo ya ndani kwani sioni kwa nini Kampuni...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Natamani kumsikia Jaji Warioba kwenye mambo ya kupotezana

    HUYU N MSTAAFU PEKEEE ALIEBAKIA KUONGEA WAPI TUNAELEKEA KWENYE MAMBO YAKUPITEXANA SHIKAMOO BABU POPOTE ULIPO
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sheikh Sule huwa anazungumzia mambo ya nchi kama kiongozi wa dini au kada wa chama?

    Huyu Sheikh mimi nilifikiri ni kiongozi wa dini tu, nimeshangaa kukutana na hii video!
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kama ningekuwa Rais haya ndo mambo ambayo ningefanya kwa watanzania

    If I could be a president. Ninge-ruhusu wagombea binafsi . Hapa Tanzania kuna watu wengi wenye akili Sana hawataki kujiingiza katika siasa kwakuwa siasa zetu zimejaa uongo mwingi na fitina majungu na michezo michafu. Kutokuwepo kwa wagombea binafsi ni hasara kwa Taifa . Tunaishia kupata...
  9. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mwenyekiti wa CCM iko wazi, akirudi kutumia Jukwaa la kanisa kuendelea na fitina zake hilo kanisa Wizara ya Mambo ya Ndani ilifungie

    Friends and our Enemies, Huyo anaejiita Askofu,kukimbilia kwake kwenye ulingo wa kisiasa kulitokana na kauli ya mwendazake kipindi kile ambacho alimtaka yeye BINAFSI kwa maslahi yake na hesabu zake. Kwa kauli ya MWENYEKITI WA CCM Jana,ni wazi kuwa huyo siyo miongoni mwa zao la mfumo wao,kwa...
  10. BigBro

    JamiiForums Tanzania KERO CRDB kama huduma imewashinda fungeni fanyeni mambo mengine

    Tangu mazuji app yenu haifanyi kazi, Simbanking nako haifanyi kazi, mpigiwa simu mnadai IPO kwenye matengenezo. Matengenezo gani hayo hayamaliziki? Mnaboa mnooo
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wanafungaje NIDA yako eti usipojiandikisha? Tokea lini haya mambo yakaingiliana? Mwenye taarifa zaidi atujuze!

    Mwe taarifa tunaomba.
  12. D

    JamiiForums Tanzania I love ccm Sana ila they are walking blindly. thinking they are too big fail. it's not good

    I will be short kuna theory inasema " NOTHING IS TO BIG TO FAIL" ONCE ukifikilia uko mkubwa uwezi anguka unakuwa umelegea. thinking chochote kinaweza kwenda and others are innovating to take you down permanently. so to stay in power you have to innovate and improve every single day...
  13. Tanzanian kid

    JamiiForums Tanzania Mambo 7 ya Kuzingatia Kabla ya Kununua Laptop 🧠💻

    Unataka kununua laptop mpya? Usikurupuke! Haya ndiyo mambo muhimu ya kuzingatia: 1. Matumizi Yako Ni Yapi? Kwa kazi za kawaida – laptop ya bei nafuu inatosha. Kwa gaming, design au programming – chagua yenye nguvu zaidi. 2. Processor (CPU) Core i5/Ryzen 5 au zaidi ni bora kwa kazi nzito...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 34, Mei 28, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=DHqu2q18Qzg "Kukamilika kwa mapitio ya Sera ya Mambo ya Nje, Toleo la 2024, iliyoambatana na mkakati wa utekelezaji wake, ikiwa ni pamoja na matumizi ya Kiswahili kama nyenzo ya diplomasia." "Katika Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara iliidhinishiwa jumla ya...
  15. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa platform atayobakia nayo kuendeleza chuki kwenye jamii ni lile kanisa lake, mamlaka zimfungie huduma hiyo tuone jeuri anaitoa wapi

    Friends and Our Enemies, GWAJIMA,ni mtu mwenye akili fyatu,na ni mtu ambae kwa mustakabali wa maslahi yake atafanya chochote ili mradi afanikishe malengo yake. Tumeona hapo nyuma namna ambavyo amekuwa anaitumia platform ya kanisa lake kukashifu viongozi na kulumbana na watu wa aina mbali...
  16. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Sura ya Bashiru Ally Kakurwa inazungumza mambo mengi sana !

    Sura huwa inazungumza. Ukimtazama Bashiru Anafikiria alivyoharibu demokrasia kuhasisi mambo ya kupita bila kupingwa Anafikiria ule mchakato wake wa wabunge na madiwani wa chadema kuhama na kuunga mkono juhudi. Na anafikiria je agombee ubunge pale Bukoba vijjini je atatoboa ? Wabunge wa ccm...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Mzee Kikwete " Labda Mambo Yaharibike Saana " yametimia rasmi

    Wahenga walisema nyakati huzungumza. Kuna siku Mzee Kikwete alisema Mgombea wa CCM ni Samia ila haitakuwa hivyo labda mambo yaharibike saana. Sijui kwa nini yule mzee aliongea yale maneno, ila kwa haya yanayotokea hapa nchini Tanzania sasa ni dhahiri shahiri kuwa Maneno yale yametimia. MAMBO...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tukiri kuwa uongozi wa Rais unatuharibia mambo si tu ndani ya Tanzania, bali pia na Ulaya, Malawi, South Africa na sasa Kenya; tujitafakari

    Ukianza na mambo ndani ya nchi, uongozi wa Raisi Samia umetuvuruga kuliko raisi yeyote aliewahi kuongoza nchi hii. Ni katika uongozi wa Raisi Samia tunaona msuguano uuliopitiliza na vyama vya upinzani hadi taasisi za kidini kwa kiwango kikubwa kuliko huko nyuma - hadi kufikia kesi za uhaini...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Mbunge Felista Njau atuzwa Pesa Bungeni baada ya kuchangia Bajeti ya Mambo ya Ndani

    Mbunge Felista Deogratius Njau akituzwa pesa leo Jumatatu, Mei 26, 2025, bungeni jijini Dodoma baada ya kuchangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa mwaka wa fedha 2025/26.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mambo yanazidi kuchangamka. Press nyingine imeitishwa leo.

    https://www.youtube.com/live/drS9nkvbYdo?si=Made7F_7LFVP6qqj
Back
Top Bottom