mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mambo yanayoweza kusababisha mahari ya unayemuoa kuwa juu

    MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MAHARI KUWA KUBWA Na, Robert Heriel Baada ya huyu msanii Kudai kuwa mahari yake ni zaidi ya 500Mil(Milioni Mia tano) kwa anayetaka kumuoa. Nimeona tujadili kidogo kuhusu suala la mahari Mahari ni zawadi itolewayo wakati wa kuposa au kuposwa kwa lengo la shukrani...
  2. JamiiForums Tanzania Mtazamo binafsi: Tatizo kuu la mkwamo wa Katiba mpya na mambo mbalimbali ya kisiasa na kijamii ni 'kwanini ianzie kwangu? Kwanini nianze mimi?'

    Nimekuwa nikifuatilia na kutafakari sana kuhusu siasa na mambo ya nchi yangu kwa ujumla. Kiukweli, naipenda sana Tanzania yangu na sijawahi kuiwazia wala kuifanyia mabaya hadi hapa nilipofikia. Na naendelea kumuomba Mwenyezi Mungu kila uchao kuniachia na kuniimarishia uzalendo wangu kwa nchi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli Zanzibar ndio ina mambo yasiyo ya Muungano na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mambo yote ni ya Muungano

    Kwa sababu Tanganyika iliondolewa kwenye uso wa ramani ya dunia basi kile kinachoitwa " mambo yasiyo ya Muungano" kipo Zanzibar pekee na vinavyobaki vyote ni vya muungano. Ndio maana Prof Mbarawa alihudumu katika wizara ya ujenzi na baadaye maji ambazo na kule nchini kwao Zanzibar zipo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Unaumizwa na mambo yaliyopita? Fanya yafuatayo (Sehemu 2)

    Kubaliana na hali halisi acha kutamani mambo yawe kama yalivyokuwa awali. Weka akili yako kwenye wakati uliopo kwakuwa huwezi kubadilisha mambo yaliyopita Usijilaumu sana unapofanya makosa tumia hiyo kama nafasi ya kujifunza. Kufanya makosa hakukufanyi kuwa mpumbavu
  5. J

    JamiiForums Tanzania Unaumizwa na mambo yaliyopita? Fanya yafuatayo (Sehemu 1)

    Jifunze kusamehe na kusahau, kutokuwa tayari kusamehe kutakufanya uendelee kuumizwa na mambo yaliyopita na kushindwa kuendelea na maisha yako Jiruhusu kusikia maumivu, linapokukuta jambo la kuumiza kama kufiwa ni vyema ukaruhusu maumivu kwa wakati ule ili yaishe kutofanya hivyo kutasababisha...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia anayo haki na misingi ya kuongoza Tanzania Bara (Tanganyika) kwa mambo yasiyo ya Muungano?

    A. UTANGULIZI Napenda kuweka wazi kwamba nimeanzisha mjadala huu, ili kuondoa mkanganyiko na mkwamo ninao uona wazi wazi katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania. Kwa mara nyingine katiba yetu imejaribiwa (imekuwa tested), hivyo ni busara kuwepo kwa mjadala wa kuondoa shaka na hoja...
  7. JamiiForums Tanzania Kuhusu Wabunge 19 wa Viti Maalum wakiongozwa na Halima Mdee: Mambo yako wazi ila wahusika wako kimya

    Mwanzo mwanzoni niweke wazi, kama ilivyo kawaida yangu, kuwa mimi si mwanachama wala mshabiki wa chama chochote cha kisiasa hapa nchini au nje ya nchi hii. Nikiongozwa na uzalendo na utanzania wangu, huwa naunga mkono hoja zozote za kuujenga utaifa wetu na kuleta maendeleo ya Tanzania yetu...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyesema Rais Samia karekebisha mambo! Kama ni hivyo basi Taifa tumepoteza dira

    Habari wanaJF, Hoja: Ni either tumekuwa taifa la WANAFIKI zaidi au TUMEPOTEZA DIRA kabisa. Mh Rais hajarekebisha chochote. Nimekuwa nikifuatilia mijadala hasa ktk mitandao ya wanajamii (Twitter, Insta na ktk majukwaa ya CCM) kwamba Mama amefanya vizuri, na kwamba sasa tupo sawa kama Taifa...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Aweso na Serikali kiujumla wanawaonea watendaji wa Mambo ya maji, watafute root cause sio kufukuza tu

    Nadhani wataalamu wetu waliosomea fani ya maji na walioajiriwa katika mamlaka ya maji wanapitia wakati mgumu Sana na nadhani wanajuta kwanini walisomea taaluma hizo hasa wahandisi. Muda uliopita nimeona Aweso ameamrisha watumishi wa maji sengerema 6 wakamatwe na wakawekwe ndani kwasababu...
  10. JamiiForums Tanzania Mambo haya hutafunzwa shuleni katu........

    VITU 4 AMBAVYO HUFUNDISHWI SHULENI LAKINI NI MUHIMU MAISHANI MWAKO Shuleni watu hufundishwa kufanikiwa tu ila hakuna somo la kumuelekeza mtu afanye nini anapokuwa katika nyakati ngumu sana Kila mtu amekaririshwa kuwa soma sana,faulu utapata kazi nzuri kisha utakuwa na maisha mazuri Hivyo kila...
  11. JamiiForums Tanzania Elimu ya Ufundi ni muhimu lakini inategemea sana mambo yafuatayo ili ilete tija na matokeo katika kupambana na Tatizo la ajira

    Natambua na nathamini sana mawazo ya Mh. Rais ya kubadili mitaala yetu ya elimu ili kuwawezesha vijana kupata elimu ujuzi itakayowasaidia kujiajiri na kuajiri watu wengine. Licha ya umuhimu wa elimu ya ufundi katika kutatua tatizo hili, bado elimu hii hii ya ufundi inaweza kuturudisha kule kule...
  12. JamiiForums Tanzania Duniani kuna mambo.

  13. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Bungeni: Usisahau kuongelea mambo haya...

    Mheshimiwa Rais, Unapojiandaa-andaa kulihutubia bunge, tena kwa mara ya kwanza; usisahau kuongelea mambo haya: 1. Ajira kwa vijana. 2. Bei za bidhaa, hasa bidhaa zinazoliwa 3. Gharama za tozo za simu 4. Katiba mpya 5. Maridhiano ya kitaifa 6. Ripoti ya CAG 7. Ubovu wa bunge la JMT. Kila la...
  14. JamiiForums Tanzania Mwenye utaalamu na mambo ya kodi ya magari

    Salaam, Nimenunua gari Zanzibar, Nimeambiwa ushuru wake ni milion 28 kuileta Dar. Kuna mtu mwingine kanambia naweza kupata punguzo kama nitaongea na TRA na kuandika barua. Swali langu ni je hilo jambo ni kweli lipo na linawezekana? Kwa wale watu wenye utaalamu na mambo ya TRA au ambao...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu umeanza vizuri lakini naomba uyafanyie kazi mambo kumi

    Amani ya M/mungu iwe nanyi waungwana wa jamii forum. Kwanza naomba kudeclare interest mimi naamini maendeleo ya mahala popote yanaletwa iwapo kutakuwa na mawzo mbadala/upinzani,hivyo hata nchi yetu Tanzania ili iweze kusonga mbele ni lazima kuwepo na mawazo mbadala au upinzani. Sasa naomba...
  16. JamiiForums Tanzania Majuto ya mambo tuliyofanya kimakosa katika mapenzi (sex) au mahusiano

    Ninamajuto mengi sana nilio yajutia baada ya kufanya kutokana na kuoelekwa na hisia za mwili kuliko kifikiria. 1st Niliwahi kumpenda mdada flani hivi vibaya sana nilikuwa namuonga sanaaa kwa kujua kuwa ni wangu peke yangu ila alinipiga chini nikalia kama mtoto mpaka leo sijawahi kupenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…