mambo ya

Representing the Mambo is the ninth studio album by the American rock band Little Feat, released in 1990. It peaked at No. 45 on the Billboard 200 and was supported by a North American tour. "Texas Twister" and "Rad Gumbo" were released as singles.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wadada wa Kaskazini na mambo ya kung'atana kitandani. Kwanini msijifunze kwa mademu wa Pwani?

    Hii michezo sasa inatosha Ukitazama miili yetu kama tumetoka guantanamo inavyochakaa kwa meno, hasa nyie wadada wa mikoa ya kaskazini kule moshi, arusha n.k Kwanini mtumie meno mnapofikishwaga kileleni aisee hayo si mambo ya kivampaya sasa na hapo ukishakula jino ukimsogeza kidogo bado...
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

    Taarifa zilizotufiukia hivi punde katika chumba chetu cha habari, zinaeleza kuwa mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias almaarufu MC Pilipili, amefariki dunia ghafla mchana leo, Novemba 16, 2025. Taarifa zinaeleza kuwa, MC Pilipili alisafiri kuelekea jijini...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi Mahmoud Thabit Kombo akila kiapo kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akila kiapo kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
  4. JamiiForums Tanzania Diplomasia ya Kiuchumi imepewa nguvu, Balozi Mahmoud Thabit Kombo ashika usukani Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Diplomasia ya Kiuchumi imepewa nguvu Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ashika usukani Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mtanganyika akishapata Ajira, Cheo au biashara hana habari na mambo ya haki, mali, wala shida za Tanganyika

    Mpe mtanganyika ajira, cheo, tenda au awe na biashara yake, atajiona wa tofauti sana,
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Waziri Kombo: Dar es Salaam ni shwari, kuna amani

    Mheshimiwa Kombo kathibitisha Dar es Salaam ni shwari na watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida kabla ya saa 12 jioni. Kuhusu internet ni kuwa itarudishwa kesho. Alihojiwa na BBC. Hakika mama anaupiga mwingi.
  7. JamiiForums Tanzania Uliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Muda wako umekoma jana Kikatiba. Koma kuongelea mambo ya Tanganyika!

    Wewe Kombo, unawasiliana na Mataifa ya Nje na wawakilishi kama nani? Kwa mujibu wa Katiba hii hii muda wako wa Uwaziri umekoma jana siku ya Uchaguzi na sasa wewe ni raia wa kawaida tu JWTZ tunaomba mumuweke ndani huyu mshenzi fisadi ndugu yake na Samia Thabit Kombo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania huru 29 Oktoba

    Tanzania huru ( Tanzani ambayo inarudi mikononi mwa wanchi kwa kuitoa mikononi mwa waovu wasiotakia mema nchi hii ). Ndugu! Rocket 🚀 haina reverse, tumefikia 98% ya kukamilisha mission ya ukombozi wa taifa, kwa wasio na ufahamu wataona mizaha, ila set up za jambo hili limekamilika. 29...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Sio kwa Ubaya, ila Kutumia JWTZ kwenye mambo ya Kisiasa ni Jambo ambalo sioni kama Lina mwisho Mzuri Mbeleni

    Kumekuepo na tabia ukifika Uchaguzi au yakitangazwa Maadamno basi Utaona JWTZ mara wanafagia na Kusafisha mitaro. Sioni kama ili jambo lina afya mbeleni. Tumeona baada ya Kelele lukuki za kuhusu maandamano heti JWTZ nayo inafanya mazoezi na Askari kuweka Utayari wa mwili. Nitawashangaa sana...
  10. JamiiForums Tanzania Mambo ya kufikirisha kuhusu Polepole

    Je ni kweli kwa mambo mazito aliyokua anaongea bado aliamua kubaki nchini?. Je hakuna na back up plan, zaidi ya hiyo chip?. Watu wanavunja get, wanavunja, mlango na kumzoa kama kuku bila back up plan kufanya kazi? Je Kuna system ilimuahidi ulinzi na sasa wamemuuza? NB: Afande Tesha ametumika...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya ndani wa Israel Itamar Ben-Gvir awatembelea wafungwa wa flotilla of Gaza:!!

    Waziri wa Mambo ya ndani wa Israel Itamar Ben-Gvir awatembelea wafungwa wa flotilla wa Gaza: Msafara amabao walikuwa wanajidai eti wanapeleka misaada Gaza waziri Itamar Ben-Gvir amesema watu hao wanapaswa kufa maana wanashirikiana na magaidi wa awasaidie ili waendeleze UGAIDI wao. “Hao Wote ni...
  12. JamiiForums Tanzania Mambo ya kiharamu huisha kiharamu, wauwaji na watekaji mkae mkijua

    Chondechonde mmnaopewa maagizo ya kupoteza, kuuwa,kutesa wenzenu kwa kisingizio cha kulinda Dola, tambueni hata ninyi hampo salama. Hivi wewe hujiulizi, mtu akuagize ukatoe roho ya Binadamu mwenzako na wewe unakubali, unadhani anakuchukuliaje? Wewe ni mnyama kiasi kwamba hata yeye hayuko...
  13. JamiiForums Tanzania Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kutafuta Leseni ya Biashara ya Duka la Dawa

    Kabla hujawekeza muda na fedha kwenye kufungua duka la dawa, ni muhimu ujue vigezo na masharti yanayoelekezwa na Baraza la Famasi. Kukosa kuyafuata kunaweza kukugharimu muda, pesa na hata kusababisha maombi yako kukataliwa. Hapa chini tumekuletea mwongozo: 1. REJAREJA / COMMUNITY PHARMACY Kama...
  14. JamiiForums Tanzania Ni Hatari kufanya Utani kwenye Mambo ya Mungu "Toka lini shetani Kufukuza jini?"

    Kuna mda tunapoelekea sijui kama tuna jenga nchi embu pata huyu ndio kawa waziri
  15. JamiiForums Tanzania Yani haya mambo ya ngono kuleta mikosi utayasikia tu kwa sisi mafukara

    Tabu inapokuwa kali katika jamii , watu huwa huwaza mambo ya kufikirika kuwa ndio sababu ya wao kupitia ukata na mateso. Zamani mvua zisiponyesha walijua wameudhi miungu au mababu sasa leo ambapo wamegundua kuwa mvua ni geographical issue sasa wataleta stori za ngono ndio sababu ya vijana kuwa...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya DR Congo imetangaza rasmi kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yote yanayodhibitiwa na waasi AFC/M23

    Serikali ya DRC imetangaza kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yanayodhibitiwa na AFC/M23. Waziri wa Mambo ya Ndani, Jacquemain Shabani, alithibitisha hilo na kusema: "Kwa bahati mbaya, watoto wetu katika maeneo yanayokaliwa hawafaidiki na elimu ya bila malipo." Hatua hii inaathiri moja...
  17. JamiiForums Tanzania Nikiona Account inazungumzia mambo ya siasa na dini nai-block

    Nikiona Account inazungumzia mambo ya siasa na dini naiblock. Muda wote siasa, Wataalamu kama Wa afya, biashara ujenzi, teknolojia wanapotea kila. Unadhani akingia tundu Lissu atakuletea ugali mezani fanya Kaz, ulevi tu
  18. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa mambo ya hisa(VIS - ETF)

    Habari za muda huu wanaJF naomba kwa wataalamu wa mambo ya hisa mtusadie ufafanuzi tuelewe utendaje wa vertex international security fund ipoje tutapataje faida kama tutawekeza, nimeona unaweza kuwekeza kwa kuanzia kununua vipande 100 kila kipande ni 200 na ukiwa na hivyo vipande kutoka kwa hao...
  19. JamiiForums Tanzania Polepole ameanza kuongea mambo ya maana ya maslahi ya nchi, sasa anaweza kutiliwa maanani

    Japo hajatubu kwa kushiriki kufinyanga demokrasia wakati wa jiwe lakini mengi anayoongea sasa yana maslahi ya taifa zaidi na sio maslahi ya chama kama ilivyokuwa mwanzo. Kwa sasa Polepole ameanza kuitanguliza nchi mbele badala ya chama, huenda huu ukawa pia ni muelekeo wa kukitelekeza kabisa...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania yashiriki ufunguzi wa Mkutano wa 5 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Singapore (SAMEV), Agosti 26, 2025

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Tano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Singapore (SAMEV), uliofanyika tarehe 26 Agosti 2025 jijini Singapore. Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo umeongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…