mambo ya

Representing the Mambo is the ninth studio album by the American rock band Little Feat, released in 1990. It peaked at No. 45 on the Billboard 200 and was supported by a North American tour. "Texas Twister" and "Rad Gumbo" were released as singles.

View More On Wikipedia.org
  1. Uliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Muda wako umekoma jana Kikatiba. Koma kuongelea mambo ya Tanganyika!

    Wewe Kombo, unawasiliana na Mataifa ya Nje na wawakilishi kama nani? Kwa mujibu wa Katiba hii hii muda wako wa Uwaziri umekoma jana siku ya Uchaguzi na sasa wewe ni raia wa kawaida tu JWTZ tunaomba mumuweke ndani huyu mshenzi fisadi ndugu yake na Samia Thabit Kombo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya...
  2. Tanzania huru 29 Oktoba

    Tanzania huru ( Tanzani ambayo inarudi mikononi mwa wanchi kwa kuitoa mikononi mwa waovu wasiotakia mema nchi hii ). Ndugu! Rocket 🚀 haina reverse, tumefikia 98% ya kukamilisha mission ya ukombozi wa taifa, kwa wasio na ufahamu wataona mizaha, ila set up za jambo hili limekamilika. 29...
  3. GE2025 Sio kwa Ubaya, ila Kutumia JWTZ kwenye mambo ya Kisiasa ni Jambo ambalo sioni kama Lina mwisho Mzuri Mbeleni

    Kumekuepo na tabia ukifika Uchaguzi au yakitangazwa Maadamno basi Utaona JWTZ mara wanafagia na Kusafisha mitaro. Sioni kama ili jambo lina afya mbeleni. Tumeona baada ya Kelele lukuki za kuhusu maandamano heti JWTZ nayo inafanya mazoezi na Askari kuweka Utayari wa mwili. Nitawashangaa sana...
  4. Mambo ya kufikirisha kuhusu Polepole

    Je ni kweli kwa mambo mazito aliyokua anaongea bado aliamua kubaki nchini?. Je hakuna na back up plan, zaidi ya hiyo chip?. Watu wanavunja get, wanavunja, mlango na kumzoa kama kuku bila back up plan kufanya kazi? Je Kuna system ilimuahidi ulinzi na sasa wamemuuza? NB: Afande Tesha ametumika...
  5. Waziri wa Mambo ya ndani wa Israel Itamar Ben-Gvir awatembelea wafungwa wa flotilla of Gaza:!!

    Waziri wa Mambo ya ndani wa Israel Itamar Ben-Gvir awatembelea wafungwa wa flotilla wa Gaza: Msafara amabao walikuwa wanajidai eti wanapeleka misaada Gaza waziri Itamar Ben-Gvir amesema watu hao wanapaswa kufa maana wanashirikiana na magaidi wa awasaidie ili waendeleze UGAIDI wao. “Hao Wote ni...
  6. Mambo ya kiharamu huisha kiharamu, wauwaji na watekaji mkae mkijua

    Chondechonde mmnaopewa maagizo ya kupoteza, kuuwa,kutesa wenzenu kwa kisingizio cha kulinda Dola, tambueni hata ninyi hampo salama. Hivi wewe hujiulizi, mtu akuagize ukatoe roho ya Binadamu mwenzako na wewe unakubali, unadhani anakuchukuliaje? Wewe ni mnyama kiasi kwamba hata yeye hayuko...
  7. Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kutafuta Leseni ya Biashara ya Duka la Dawa

    Kabla hujawekeza muda na fedha kwenye kufungua duka la dawa, ni muhimu ujue vigezo na masharti yanayoelekezwa na Baraza la Famasi. Kukosa kuyafuata kunaweza kukugharimu muda, pesa na hata kusababisha maombi yako kukataliwa. Hapa chini tumekuletea mwongozo: 1. REJAREJA / COMMUNITY PHARMACY Kama...
  8. Ni Hatari kufanya Utani kwenye Mambo ya Mungu "Toka lini shetani Kufukuza jini?"

    Kuna mda tunapoelekea sijui kama tuna jenga nchi embu pata huyu ndio kawa waziri
  9. Yani haya mambo ya ngono kuleta mikosi utayasikia tu kwa sisi mafukara

    Tabu inapokuwa kali katika jamii , watu huwa huwaza mambo ya kufikirika kuwa ndio sababu ya wao kupitia ukata na mateso. Zamani mvua zisiponyesha walijua wameudhi miungu au mababu sasa leo ambapo wamegundua kuwa mvua ni geographical issue sasa wataleta stori za ngono ndio sababu ya vijana kuwa...
  10. U

    Serikali ya DR Congo imetangaza rasmi kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yote yanayodhibitiwa na waasi AFC/M23

    Serikali ya DRC imetangaza kusitisha elimu bila malipo katika maeneo yanayodhibitiwa na AFC/M23. Waziri wa Mambo ya Ndani, Jacquemain Shabani, alithibitisha hilo na kusema: "Kwa bahati mbaya, watoto wetu katika maeneo yanayokaliwa hawafaidiki na elimu ya bila malipo." Hatua hii inaathiri moja...
  11. Nikiona Account inazungumzia mambo ya siasa na dini nai-block

    Nikiona Account inazungumzia mambo ya siasa na dini naiblock. Muda wote siasa, Wataalamu kama Wa afya, biashara ujenzi, teknolojia wanapotea kila. Unadhani akingia tundu Lissu atakuletea ugali mezani fanya Kaz, ulevi tu
  12. Wataalamu wa mambo ya hisa(VIS - ETF)

    Habari za muda huu wanaJF naomba kwa wataalamu wa mambo ya hisa mtusadie ufafanuzi tuelewe utendaje wa vertex international security fund ipoje tutapataje faida kama tutawekeza, nimeona unaweza kuwekeza kwa kuanzia kununua vipande 100 kila kipande ni 200 na ukiwa na hivyo vipande kutoka kwa hao...
  13. Polepole ameanza kuongea mambo ya maana ya maslahi ya nchi, sasa anaweza kutiliwa maanani

    Japo hajatubu kwa kushiriki kufinyanga demokrasia wakati wa jiwe lakini mengi anayoongea sasa yana maslahi ya taifa zaidi na sio maslahi ya chama kama ilivyokuwa mwanzo. Kwa sasa Polepole ameanza kuitanguliza nchi mbele badala ya chama, huenda huu ukawa pia ni muelekeo wa kukitelekeza kabisa...
  14. Tanzania yashiriki ufunguzi wa Mkutano wa 5 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Singapore (SAMEV), Agosti 26, 2025

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeshiriki hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Tano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Singapore (SAMEV), uliofanyika tarehe 26 Agosti 2025 jijini Singapore. Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo umeongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
  15. Kama unahitaji msaada mambo ya IT (Website, blog, Softwares, Graphics Design, n.k)

    Kama unahitaji msaada mambo ya IT (Website, blog, Softwares, Graphics Design, n.k) nicheki 0756704145
  16. Jiku Tech Tips | Mambo ya SIRI ya TEHAMA

    Kuna Siri nyingi katika Dunia na ulimwengu wote, zilifichwa muda mrefu sana na mataifa machache, lakini muda mrefu ni mrefu kwetu sisi kutokana na ukomo wetu wa muda wa kuishi duniani ila kwa nature (universe ) ni kama usiku na mchana. Siku hizi kuna AI Inakupa hata mambo ya sirini, inakutolea...
  17. Ukienda migodoni, hasa hii local ndipo utajionea mambo ya ajabu na watu wa ajabu

    Huko Shinyanga watu takribani 25 wamekufa kwa kufunikwa na kifusi. Hii si mara ya kwanza. Inatokea mara kwa mara. Na vifo vingine hata kwenye vyombo vya habari havitangazwi. Watu wa migodoni wana roho za ajabu, ni kama wanyama. Yaani ikitokea duara (shimo) limeua huo usiku watafurahi sana...
  18. COST EFFECTIVE APARTMENTS DESIGN 2BEDROOM EACH UNIT ,HII HAINA MAMBO YA KUVUJA VUJA TO GET YOUR DESIGN 0624004650

    4UNITS ON 400SQM PLOT, EACH UNIT WITH 2BEDROOMS COST EFFECTIVE SANA CALL US +255624004650
  19. Jakaya Kikwete ungeachana tu na mambo ya siasa. Haitapendeza siku ukitutoka watu wafanye sherehe

    Umeifanyia mengi nchi hii Mpaka unastaafu ulikuwa Rais bora kabisa Uliwabeba wapinzani na kuimarisha demokrasia Kujiataach na utawala huu watu wameanza kukuchukia Nachelea kusema mazuri yote uliyofanya yanafutika Itakuwa ni huzuni watu wakishetehekea siku ukitutoka.kumbuka una miaka 75 sasa.
  20. Ni aibu sana watu masikini wakaishia kuutupia matope na mambo ya kufikirika huu mti mzuri wenye kupendezesha mazingira

    Mara sijui mwanaume lazima afe, afirisike , wanandoa kugombana, blah blah. Sasa nashidwa kuelewa ina maana amba hawajapanda huu mti ndoa na uhai wao uko imara Tanzania nzima eti. Hukl ethiopia chimbuko lake wanaipenda sana na wala hakuna upuuzi kama huu uliopo bongo lala. Unakuuta mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…