mambo ya

Representing the Mambo is the ninth studio album by the American rock band Little Feat, released in 1990. It peaked at No. 45 on the Billboard 200 and was supported by a North American tour. "Texas Twister" and "Rad Gumbo" were released as singles.

View More On Wikipedia.org
  1. uran

    JamiiForums Tanzania Mambo ya Ndoa: Mkiwa na Amani inakuwa raha sana kwa kweli, Ishu ni kui-maintain hiyo Amani

    Asikuambie mtu kwenye ndoa kipindi cha Amani, huwa kimejawa na furaha na mshawasha wakutosha. Hasa ukute umeoa/kuolewa na rafiki yako, mnapatana. Unajikuta unatamani kuwa karibu na mke/mume wako wakati wote, unapata hamu yakumnunulia zawadi hata kutoka outing za hapa na pale. Ndugu zangu...
  2. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Waziri ya mambo ya ndani, IGP na RPC wa mkoa wa Ruvuma watolewe ili kumwokoa Rais Samia kisiasa

    Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri ! Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na kumfungulia mashataka ya uhaini. Mwokoeni Samia maana propaganda zote zimeshikakana! Njia ya kumsaidia...
  3. Knock life

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini baadhi ya wanawake wanaamini mambo ya kishirikina?

    Hivi kwanini wanawake wanaamini mambo ya kishirikina?. Na hapa manabii na wachungaji , mashekh na waganga wa kienyeji wamekuwa wakipiga sana hela. Mfano Carina alikuwa anaumwa ugonjwa wa kawaida Ila wakasema amerogwa this bullshit . Ni ujinga sana
Back
Top Bottom