Kenya: Jamaa ambaka mama yake mwenye miaka 90

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,001
9,866
Patrick Mumo(45) anatafutwa na polisi wa kaunti ya Makueni, Kenya kwa tuhuma za kumbaka mama yake mwenye miaka 90.

Kijana huyo alifanya unyama huo na kukimbia ambapo mama huyo aligundulika na mwanae mdogo alipokuwa akilalamika kuwa na maumivu ya kiuno.

Akisimulia tukio hilo amesema Patrick alimfuata chumbani kwake na kumlazimisha tendo hilo.

=======

Police in Mbooni Makueni County are on the hunt for a man suspected to have raped his 90-year-old mother on Mashujaa Day.

The suspect, Patrick Mumo aged 45, is alleged to have forcefully entered his mother’s bedroom at around 8pm before subjecting her to the revolting act. Mumo fled soon after.

“She tearfully narrated her harrowing ordeal in the hands of her younger son who forced himself into her bedroom and subjected her to the beastly act,” the Directorate of Criminal Investigations said in a statement.

The woman was found in her bedroom by her eldest son writhing in pain and complaining of waist pains. She was immediately rushed to Kisau sub-county hospital in serious condition and is currently undergoing treatment.

“Doctors at the medical facility confirmed that the victim had indeed been raped,” the DCI said.

The DCI are calling on the suspect to surrender himself to any nearby police station.

“Detectives are appealing to Patrick Mumo to give himself up at the earliest available opportunity, before the long arm of the law catches up to him,” the DCI said.

The DCI has similarly called on members of the public who might have any information that might lead to the apprehension of the suspect to contact them immediately.

“Should you have any information that may assist us to bring the suspect to justice feel free to contact us via our hotline,” the DCI concluded
 
Patrick Mumo(45) anatafutwa na polisi wa kaunti ya Makueni, Kenya kwa tuhuma za kumbaka mama yake mwenye miaka 90

Kijana huyo alifanya unyama huo na kukimbia ambapo mama huyo aligundulika na mwanae mdogo alipokuwa akilalamika kuwa na maumivu ya kiuno
Tony254 Kenya Kuna matatizo gani, mbona hatuwaelewi?
 
sana aah majitu haya
Baada tu ya kuondoa curfew,?
Uhuru fungia tena hawa
Ni aibu sana kua bara moja na Kenya
Tony254 Kenya Kuna matatizo gani, mbona hatuwaelewi?
Wazee wa 254 sometime wanakuwa kama Wehu.
Ila ndugu zetu Wakenya ugwadu hadi kwa wazazi wenu sad 😔
Hiyo kawaida kwa wakenya, yaani kama wamelaaniwa.


Hivi munajidanganya haya hayafanyiki Tanzania ama mmeamua kujitekenya mkicheka? Wacha niwape mifano kwa nchi yenu.





Haya, endeleeni kuondoa vibanzi machoni mwa Kenya bila kuona boriti machoni mwenu.
 
Wazazi na wanyama mijamaa inakula tu, kuna shida somewhere deep hapo Kunyaland, sio hivi hivi.

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app

Huwa hamjioni, sema tu media zenu huwa zimelala sana, taarifa nyingi hazitolewi za mlivyo wachafu.

2978305_Screenshot_20211027-220757.jpg
 
Back
Top Bottom