Wakati sisi wana CCM tulielewa vyema maana ya Rsis kuwaasa mawaziri wake kutoingiliana kimamlaka na utendaji alipoongea na baraza lake la mawaziri, kwa uwazi, wengine wameamua kumwekea Mama Samia maneno mdomoni, kwa maana hasi na isiyostahili utumishi wa umma.
Polepole, mbunge wa kuteuliwa na...