Jana, nilikua sijisikii vizuri sikwenda kazini, na baba watoto akasema na yeye haendi atabaki na mimi afanyie kazi nyumbani, hali yangu haikua mbaya kivile, so nikashangaa ila nikashukuru basi, siku ikawa poa, ikaisha.
Jioni hii tumekaa tunapunga upepo, out of nowhere, kaanza kusema ikibidi...