malori

Malori is an Italian name. Notable people and fictional characters with the name include:

Adriano Malori (born 1988), Italian cyclist
Lorenzo Malori (1724–1830), Italian centenarian
Malori "Mal" Crowett, a character in Mage & Demon Queen

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimemaliza chuo, Sasa naingia kwenye malori

    Wakuu ipo hivi Nina leseni daraja A1 A2 Na D(sina cheti) KAZI ya vishoka Nilichukua kwa ajili ya kuendesha Bajaj mwaka 2022 mpaka Sasa Ina miaka mitatu. Nataka kuingia kwenye fani ya malori kwa kufanya hivi. Nataka kutafuta laki Tano, nimpe dereva wa Lori ili aniweke kama tingo kwa muda hata...
  2. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Jiji la Dar, Malori ni mengi Barabarani kuliko Watu

    Kwa sasa kila mkazi wa dar awe mwana ccm, mwanachadema, awe wa no reform no election, awe wa october tuta-tick ana kipata cha mtema kuni kuhusu foleni ya barabarani inayosababishwa na utitiri wa malori, mengi yakiwa made in china. Kila barabara mpaka zile za mitaani ambazo alizijenga Magufuli...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya TEC kuzuia makanisa yake kutumika na wanasiasa, natamani na TABOA/TATOA nao waje na tamko kuzuia mabasi na malori yao kutumika mikutanoni

    Mabasi na malori yanatumika sana kubeba watu toka maeneo tofauti na kuwapeleka mahali ambapo mikutano ya CCM inafanyika. TABOA na TATOA nao watoe tamko la kuzuia mabasi na malori yao kubeba watu kwenye mikutano ya siasa. Hili pia likifanyika, CCM pamoja na kuwa ni chama tawala watakuwa wapweke...
  4. JamiiForums Tanzania Watu wa CCM Wanaobebwa kwenye Malori kuitwa ng'ombe ni kuwadhalilisha

    CCM huwa wanabeba watu kutoka sehemu mbalimbali nchini ili kujaza Uwanja hasa anapokuwepo Kiongozi wa Kitaifa kama Rais. Na kweli uwanja unajaa na Mgeni anafurahi. Japo ni hatari na hairuhusiwi kisheria. Wala Polisi hawana cha kufanya. Ila hawa Watanzania kuitwa ng'ombe napingana nalo. Nadhani...
  5. JamiiForums Tanzania Umasikini ni Mbaya sana, na unatumiwa na CCM, fikiria watu wanasombwa na Malori kwenda kuwaona watu wanao panda V8

    Ukiachana na mambo ya ujinga, ila pia Umasikini wa Wabongo ni nguzo muhimu sana ya CCM hasa huko kanda ya ziwa.Saaa changabya ujinga na Umasikini ni balaaa au Changanganya kukosa elimu Dunia na Umasikini, huo muunganiko ni balaa. Katika moja ya maeneo ambayo elimu hata ya Uraia ni zero basi ni...
  6. JamiiForums Tanzania TPA yazindua zoezi la ukaguzi wa malori yanayohudumia bandarini

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi nchini imeanza rasmi zoezi la ukaguzi wa ubora wa malori yanaingia bandarini kwa ajili ya kushusha na kupakia mizigo inayopita katika Bandari ya Dar es Salaaam. Akizungumza na waandishi wa habari kwenye bandari...
  7. JamiiForums Tanzania Israel yaanza kulipua malori yanayasafirisha mizinga yakipeleka Tehran

    Sasa hivi Israel inapiga chochote kinachotumika kurusha au kusafirisha mizinga maana imepiga maeneo yote rasmi ambayo hutumika kurusha mizinga, Iran imesalia kutumia malori ya kawaida..... The Israel Air Force targeted several trucks carrying weapons, including trucks transporting...
  8. JamiiForums Tanzania Malori

    ⛑️TANGAZO MAALUM KUTOKA UMATIDO⛑️ (Umoja wa Madereva Tipa Dodoma) 🚛 Unamiliki Lori la TIPA? Unataka lori lako lipate kazi za uhakika, lisimamiwe kwa uadilifu, na kukuingizia kipato bila usumbufu? ⚠️ USIKOSE FURSA HII! Chama cha UMATIDO kinakaribisha wamiliki wote wa magari ya TIPA kujiunga...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa Malori

    Wakuu...naomba kujua taasisi/kampuni ambayo inakopesha malori (Malori ya kichina) kwa mfumo wa Asset Finance. Yaani unakopa Lori (kwenye kadi kunakuwa na majina mawili, la mmiliki na anayeshikilia gari) baada ya marejesho kuisha nabadili kadi na inakuwa ya Jina langu. Je kuna kampuni /taasisi...
  10. JamiiForums Tanzania TENDA: Malori makubwa (Semis) yanahitajika

    Habari za mchana. Natafuta mtu anayemiliki au mwenye connection na malori makubwa ya kusafirisha bidhaa. Lori za mafuta na bidhaa mbalimbali. Malipo ni mazuri. Vigezo: Kuanzia tani 30 na kuendelea. Nicheki 0683535699
  11. JamiiForums Tanzania Madereva malori wa kitanzania waporwa mizigo na kunyanyaswa DRC

    Katika hali inayostajabisha walitokea wahuni wa DRC wakasimamisha malori haswa yanayoendeshwa na kutoka Tanzania na kuanza kupora vitu vyao kuwashusha kwenye malori na kuwazuia kuingia ndani ya DRC
  12. M

    JamiiForums Tanzania Shule ya sekondari ya waislamu, Yombo Islamic imegeuzwa Yadi ya kupaki malori, Bakwata inafeli wapi? Wafadhili wa kujenga misikiti wasaidie shule pia

    habari wadau, miaka ya 1980s mwishoni katika kata ya Yombo vituka iliyopo wilaya ya temeke vilipimwa viwanja vingi sana, ambavyo wananchi walipewa na kuuziwa na manispaa ya temeke. katika viwanja hivyo waislamu walipewa eneo kubwa la kujenga shule. Wakatoliki na wao walipewa eneo kubwa la...
  13. JamiiForums Tanzania Wadau wadai msongamano wa malori Tunduma unatengenezwa, RC Chongolo aunda kamati kubaini ukweli

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe Daniel Chongolo ameunda kamati malumu kwa ajili ya kufanya uchunguzi na kubaini sababu zinazosabaisha msongamano wa malori katika mpaka wa Tanzania na Zambia upande wa Tunduma ambao umekuwa ukilalamikiwa mara kwa mara na madereva hali ambayo imekuwa kero kwa watumiaji...
  14. JamiiForums Tanzania Malori yanayolete mizigo Mwanza hurudi matupu na badala yake yanabebana wenyewe

    Mkoa wa Mwanza upo kasikazini Magharibi mwa Tanzania na umekuwa kitovu kikuu Cha biashara kwa wakazi zaidi ya milioni 10 wa mikoa ya kanda ya ziwa. Kuna jambo limekuwa likinishangaza kidogo, malori yanakuja Mwanza yakiwa yamejaa mizigo kama bidhaa za viwandani, vifaa vya ujenzi, na bidhaa...
  15. JamiiForums Tanzania Fursa kwa madereva wa mabasi na malori kutoka Tanzania kufanya kazi nchini Qatar

    ✍🏾NAFASI 400 ZA AJIRA QATAR – MADEREVA WA MABASI NA MALORI MAKUBWA! Kupitia ushirikiano na Kampuni yetu Tanzu, Imarahorizon, madereva 400 wanahitajika kwenda kufanya kazi nchini Qatar chini ya kampuni ya Mowasalat. 📔Faida: ✅ Visa, nauli ya ndege, na gharama zote muhimu zitalipiwa kikamilifu. ✅...
  16. JamiiForums Tanzania Kilio cha Wananchi: Hatari ya Malori Mazito zaidi ya tani 40 kuingia kati kati ya Mji wa Moshi, Kilimanjaro

    Katika mji wa Moshi, kumekuwa na hali inayotia wasiwasi kutokana na kuingia kwa malori mazito yenye uzito wa zaidi ya tani 10 hadi 40 katikati ya manispaa. Hali hii imesababisha uharibifu mkubwa wa barabara na miundo mbinu ya maji taka, ambapo mji umejaa mashimo na hali mbaya ya miundombinu...
  17. JamiiForums Tanzania Kijana wangu kamaliza shahada ya udaktari 2023 hadi leo hajaajiriwa, jumatatu nampeleka Veta akajifunze udereva wa malori

    Nimemsomesha kwa shida, shule za gharama, najuta, najuta najuta, Bora angeishia darasa la saba B tu aingie mtaani ajifunze hata ufundi makenika chini ya mwembe. Jumatatu nimeamia nimpeleke Veta Chang'ombe akajifunze kuendesha malori. Soma Pia: Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi...
  18. JamiiForums Tanzania Operesheni Mogadishu:Jinsi Marekani ilivyolazimika kuikimbia Somalia na Askari waliovuja damu kwenye malori

    Operesheni Mogadishu: Jinsi Marekani ilivyolazimika kuikimbia Somalia na askari waliovuja damu kwenye malori Chanzo cha picha,Getty Images Maelezo ya picha,Helikopta za Black Hawk zilitumika katika operesheni nyingi za Marekani nchini Somalia katika miaka ya 1990. Saa 4 zilizopita Jeshi la...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Foleni ya malori kuingia Kigamboni

    Takribani wiki mbili sasa malori yamekuwa yakifunga njia ya kuingia kigamboni. Hii inaonekana taratibu za malori kuingia na kutoka bandarini hazisimamiwi ipasavyo. Usumbufu wa watumiaji wengine wa njia umekithiri sana. Hatuoni Jeshi la usalama barabarani likifanya kazi yake ktk hili...
  20. JamiiForums Tanzania Traffic usiku naomba mjilinde msiamini haya malori pls mtaisha

    Leoo nilikuwa nasubiria kaka na gari la kutoka Moshi Saakumi usiku..BAADA ya mda nkashangaa hapatikan Nkakaa mpaka saa mbili akanipigia aisee sorry ndio tunakuja tumepata ajali Hee kivipi mbona MASAA mengi akasema walikuwa wameshapita bagamoyo BAADA ya mda wakasimamishwa na traffic Traffic...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…