malipo

  1. S

    Hivi wabunge wanaovuliwa Ubunge mikopo yao hulipwa na Serikali au hukatwa kwenye malipo yao ya kiinua mgongo?

    Hili ndio swali ninalojiuliza hasa ninapotafakari nguvu kubwa inayotumika kuwalinda Halima Mdee na wenzake baada ya chama chao kuwavua uanachama. Kama wamechukua mikopo(bila shaka wamechukua), mikopo hiyo italipwaje iwapo watasitishiwa ubunge wao na ukizingatia wako wengi na mikopo ya wabunge...
  2. Kama Halima aliahidiwa kazi ya kukopwa miloni 30+ ili akimbie nchi. Hawa wapinzani vinara Lissu na Lema wamepewa kazi ya malipo kiasi gani?

    Kama ni binadamu wa kawaida, mchambuzi mzuri wa siasa na mwanaharakati huwezi Sasa kukosa mashaka juu ya Mwenendo wa Freeman Mbowe tokea awali kabisa. Uwenda anajenga upinzani bandia na wanaharakati hutumika kuwapumbaza tu. Anasema alikuwa tayari kumuajili mdee South je kafanya hivyo kwa Lema...
  3. Kikokotoo(Mafao): Rais Samia anastahili pongezi kwa hili

    Jana, statement toka Ikulu ilieleza kuwa Rais Samia amepokea mapendekezo ya kanuni mpya ya mafao ya Pensheni, kama ilivyoombwa na chama cha wafanyakazi Tanzania (TUCTA) siku ya sherehe za wafanyakazi (Mei Mosi, 2022), ambapo sasa amekubali ombi la kupandisha malipo ya mafao, kutoka 25%...
  4. K

    Malipo ya hisa zangu

    Ninazo hisa kadhaa kwenye Makampuni mbalimbali lakini sijapata malipo yangu kwa muda mrefu. Nimesikia kuwa kuna kampuni inaweza kunisaidia kufuatilia mgawo wangu wa hisa zangu. Ninawaomba kama mtu anaweza kunipa jina la kampuni hiyo, namba ya simu au barua pepe anisaidie ili niweze kuwasiliana...
  5. Serikali ya Nigeria yaharamisha malipo ya fidia kwa watekaji nyara

    Bunge la Seneti la Nigeria limepitisha mswada wa kifungo cha miaka 15 jela kwa kulipa fidia ili kumwachilia huru mtu ambaye ametekwa nyara, na adhabu ya kifo kwa uhalifu wa utekaji nyara ambapo mwathirika hufariki Muswada huo, ambao unarekebisha sheria ya ugaidi ya Nigeria, unaamuru hukumu ya...
  6. Tahadhari kwa mnaotumia mfumo wa malipo wa Selcom Paytech Plc

    Salam kwanza kabisa napenda kushare na nyinyi uzoefu wangu kuhusu mfumo wa malipo wa Selcom Mimi ni Wakala wa benk na mitandao ya simu huwa ninafanya miamala mingi ya malipo kama tra ada ya vyuo vya serikali kwa kupitia mfumo wa malipo wa selcom Sasa nachotaka kuwatahadharisha ni kwamba huu...
  7. Huruma malipo ya Uandikishaji Makazi Mkoa wa Mbeya

    DHURUMA MALIPO YA KUANDIKISHA POST CODE ............... (retweet hadi kwa waziri) Nasikitika kuandika kuhusu dhuruma iliofanyika Mbeya, zoezi la uandikishaji post code limefanyika Mkoa wa Mbeya na kwa wizi wa malipo kwa vijana waliofanya kazi. .. Baada ya matangazo ya kazi hiyo kutoka vijana...
  8. Wanakijiji waomba malipo ya minara ya simu iliyopo kijijini kwao wapewe kwa ajili ya ujenzi wa zahanati

    Wakazi wa kijiji cha Mazwe, wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wameomba viongozi wa Minara ya simu ya Tigo na Airtel walioweka minara yao kijijini hapo tangu 2013 malipo ya minara hiyo iwanufaishe wanakijiji wa kijiji hicho kwa kujenga zahanati kutokana na kuwa malipo hayo hayafiki katika ofisi...
  9. Ushauri maoni juu ya malipo ya NSSF

    Hbr na poleni na swaum wana JF:- Niende kwenye point kuu ya mada hii nina mzee wangu anakaribia kustaafu serikalini kama mtumishi wa umma kwenye kada ya afya, tumezaliwa watoto 4 Mungu ni mwema wote tulibahatika kwenda na sasa tumebahatika kwa uwezo wa Mungu tupo kwenye ajira nini pointi yangu...
  10. Mwanza: Walimu 250 waandamana kudai malipo ya kazi ya anwani za makazi

    Walimu 250 kutoka Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wameandamana hadi ofisi za Halmashauri ya Jiji la Mwanza kudai posho zao za kazi ya kuweka alama za anwani za makazi waliyoifanya kwa siku tano. Watumishi hao waliandamana jioni ya Aprili 8, 2022 ambapo malipo hayo ni Sh 100,000 kwa siku tano...
  11. Dkt. Ndugulile aishauri serikali kuruhusu malipo ya mtandaoni kama vile PayPal

    Mbunge wa Kigamboni, Faustine Ndugulile ameuliza bungeni kuhusu mikakati ya serikali kufanya mapitio ya ada za usajili wa mifumo ya malipo(fintech apps) pamoja na mikakati ya kuboresha mazingira ya kazi kwa wabunifu wa malipo ya mtandao. Zaidi ya hayo, ameulizia mpango wa serikali kuhurusu...
  12. Njia ipi rahisi ya ku-intergrate malipo kwenye website?

    Natengeneza system kwaajili ya final project. Nahitaji kuweka njia ya kulipa ambayo watanzania wengi wanatumia. Kwahiyo nikafikiria mobile money. Lakini nimeangalia API documentations zao zipo kama zimeandikwa na robot, kasoro m-pesa wenyewe afadhali, tatizo C2B single payment inahitaji uwe na...
  13. J

    Natafuta mtaalam wa kuunda Forex robot anafundisha hata kwa malipo?

    Wakuu habari, nataka kujua kama kuna mtaalamu wa kunifundisha namna ya kutengeneza forex robot (automated trading system) hata kwa malipo Ni programu ambayo inasaidia ku trade automatically, ukishaitengeneza na kuweke vigezo vyako vya ku trade, unaijaribisha kwenye demo account ikileta faida...
  14. Ni zipi stahiki (malipo) za mtumishi wa serikali anapohamishwa kikazi toka kituo kimoja kwenda kingine ndani ya halmashauri moja

    Habari za masiku wanajukwaa. Nina rafiki yangu amepokea barua ya uhamisho kwenda kituo kingine ndani ya halmashauri umbali wa kilomita 90+ Katika kufatilia stahiki za uhamisho ameambiwa aandike barua ya kuomba malipo. Bahati mbaya ni uhamisho wake wa Kwanza hivyo hawafamu ni vitu gani na...
  15. H

    Makampuni ya Mawasiliano jitahidini meseji zenu za malipo ya huduma mbalimbali zifike kwa wakati

    Nawasalimu wote wananchi ambao ndio wenye nchi wanaostahili kupata huduma nzuri na kwa wakati kutoka kwa watu waliokabidhiwa dhamana ya kuwaongoza. Na sio hao waliokabidhiwa ndio wapate huduma bora kwa kuwa wana. Niende kwenye mada. Nadhani kwa sasa duniani hakuna kitengo muhimu na chenye...
  16. Njia rahisi ya kupokea malipo kutoka Marekani

    Habari, Wanajamii naomba msaada wenu wa njia nzuri ya uhakika ya kupokea pesa kutoka Marekani ukiachana na PayPal, Western Union au World Remit. Msaada wakuu
  17. Natafuta kazi ya mauzo au masoko kwa malipo ya commission

    Habari! Naitwa Musa, umri ni miaka 24 ni graduate wa information technology katika level ya degree. biashara inahitaji wateja ili kuweza kupata faida na kuendesha biashara, Hivyo basi kama kuna kampuni au biashara binafsi inahitaji kuweza kuongeza mauzo yake kwa kupata wateja basi tunaweza...
  18. Shinyanga: Mkuu wa Mkoa asema walimu wanaodai malipo kwa wanafunzi wachukuliwe hatua

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema ameagiza kuchukuliwa hatua za kisheria walimu watakaobainika kudai malipo kwa wanafunzi akisema elimu ni bure. Amesema hayo wakati akifungua kikao cha Wadau wa elimu Mkoa wa Shinyanga, leo Alhamisi Machi 3, 2022 chenye lengo la kujadili maendeleo ya elimu...
  19. Hesabu za kampuni na kodi

    sajili kampuni yako leo kwa bei nafuu, 1. LTD - 125,000 tu 2. JINA LA BIASHARA- 10,000 tu 3. kuandika Memorandum.... huduma nyingine ni pamoja na 1. Audit of annual financial statements 2. Monthly VAT Return 3. Registration of employees for taxes SDL AND PAYE 4. Monthly payroll (TRA taxes...
  20. T

    Kwanini Malipo ya kazi ya anuani za makazi Ilala yawe ni kidogo sana?

    Habarini, Niende moja kwa moja kwenye mada. Kiukweli nimefurahishwa na huu mpango wa anuani ya makazi na postikodi ambao kwa namna moja au nyingine litawezesha vijana kupata ajira hizo za muda mfupi. Kilichonisukuma kuandika ni kuona vijana watakaofanikiwa kupata kazi hizo kulipwa ujira...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…