Simiyu waishukuru serikali kwa malipo ya fidia

Simiyu waishukuru serikali kwa malipo ya fidia

Tanzania Railways Corp

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2018
Posts
291
Reaction score
686
Wananchi wa Kata ya Badi Vijiji vya Mashimba na Mhadi wilaya ya Maswa mkoani Simiyu Wameishukuru Serikali kwa Kuwalipa fidia zao Kutokana na kuchukua maeneo yao ili kupisha njia ya umeme mkubwa utakaotumika kuendeshea Treni za SGR katika kuapnde cha Tano cha Isaka - Mwanza .

Hayo yamejili wakati wa zoezi la ulipaji fidia linaloendelea katika kipande hicho cha tano linalofanyika Katika mikoa ya Mwanza , Shinyanga , Simiyu na Tabora .

Wananchi hao wameongeza kusema kuwa wameupokea mradi wa SGR kwa furaha na kuahidi kuwa wazalendo ikiwemo kuilinda miundombinu yake na kuhakikisha mradi unakuwa salama wakati wote .

1768541355698.png
1768541411998.png
1768541485605.png
 
Back
Top Bottom