TRC inaendelea na zoezi la malipo ya fidia

Musa Kadiko

Member
Jun 15, 2022
16
18
Wananchi wa Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro wanufaika na Fidia

=====

Shirika la Reli Tanzania - TRC linaendela
kuwapatia malipo ya fidia wananchi wa wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro il kupisha mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa SGRkipande cha pili Morogoro Makutupora kwenye zoezi la malip0 ya fidia lillofaryika wilaya ya Kilosa hivi karibuni Oktoba, 2022.

Zoezi hilo la malipo ya fidia limefanyika
baada ya wananchi kutwaliwa maeneo yao kwaajill ya maeneo ya kuchimba vifusi katika mradi wa SGR ambapo wananchi wa maeneo mbalimbali ikiwemo kjji cha Milima boma, Munisagara pamoja na kjjijk cha Kidete walipatiwa stahiki zao.

Afisa Ardhi kutoka TRC BI. Benlulu Lymo
amesema kuwa maeneo yaliyotwaliwa ni pamoja na ardhi, mashamba, mazao pamoja na nyumba ambapo wananchi wanakabidhisha nyaraka husika kabla ya kukabidhiwa malipo yao.

IMG-20221015-WA0016.jpg
 
Back
Top Bottom