mali

Mali ( (listen); French pronunciation: [mali]), officially the Republic of Mali (French: République du Mali; Bambara: Mali ka Fasojamana; N'Ko script: ߡߊߟߌ ߞߊ ߝߊߛߏߖߊߡߊߣߊ), is a landlocked country in West Africa. Mali is the eighth-largest country in Africa, with an area of just over 1,240,000 square kilometres (480,000 sq mi). The population of Mali is 19.1 million. 67% of its population was estimated to be under the age of 25 in 2017. Its capital is Bamako. The sovereign state of Mali consists of eight regions and its borders on the north reach deep into the middle of the Sahara Desert, while the country's southern part, where the majority of inhabitants live, features the Niger and Senegal rivers. The country's economy centers on agriculture and mining. Some of Mali's prominent natural resources include gold, being the third largest producer of gold in the African continent, and salt.Present-day Mali was once part of three West African empires that controlled trans-Saharan trade: the Ghana Empire (for which Ghana is named), the Mali Empire (for which Mali is named), and the Songhai Empire. During its golden age, there was a flourishing of mathematics, astronomy, literature, and art. At its peak in 1300, the Mali Empire covered an area about twice the size of modern-day France and stretched to the west coast of Africa. In the late 19th century, during the Scramble for Africa, France seized control of Mali, making it a part of French Sudan. French Sudan (then known as the Sudanese Republic) joined with Senegal in 1959, achieving independence in 1960 as the Mali Federation. Shortly thereafter, following Senegal's withdrawal from the federation, the Sudanese Republic declared itself the independent Republic of Mali. After a long period of one-party rule, a coup in 1991 led to the writing of a new constitution and the establishment of Mali as a democratic, multi-party state.
In January 2012, an armed conflict broke out in northern Mali, in which Tuareg rebels took control of a territory in the north, and in April declared the secession of a new state, Azawad. The conflict was complicated by a military coup that took place in March and later fighting between Tuareg and other rebel factions. In response to territorial gains, the French military launched Opération Serval in January 2013. A month later, Malian and French forces recaptured most of the north. Presidential elections were held on 28 July 2013, with a second-round run-off held on 11 August, and legislative elections were held on 24 November and 15 December 2013.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania John Mnyika usitetee uovu, kama kuna mtu anahusika kutafuna mali ya umma acha apate hatua stahiki

    Kama mtanzania mpenda ukweli nimefarikija kuona PCCB wakitoa taarifa kuwa bado wanaendelea na uchunguzi juu ya ubadhilifu wa bil 8 zilizotafunwa na viongozi wa Chadema. Mbali ya hayo wamesisitiza kuwa wataendelea na uchunguzi juu ya ubadhilifu uliokuwa unafanyika kwenye mifuko ya majimbo...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mali za viongozi wa kisiasa wakiwemo wa Upinzani zinapaswa kutangazwa hadharani badala ya kufanywa SIRI!

    Wananchi wana haki na wajibu wa kujua ukwasi walionao viongozi wao wa kisiasa iwe wa chama tawala au upinzani. Hivyo ni vema ungewekwa utaratibu wa mali za mbunge kwa mfano zikatangazwa kwenye ubao wa matangazo wa Jimbo. Nawatakia Christmas yenye baraka!
  3. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Wakurugenzi wasimamishwa kwa tuhumaza ubadhirifu wa mali za umma

    Waziri wa Nchi, Afisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Idara Maalum ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Masoud Ali Mohammed amewasimamisha kazi Mkurugenzi wa Manispaa ya Mjini pamoja na Mkurugenzi wa Baraza la Manispaa Magharib 'A' na kuagiza kuanza kwa taratibu za uchunguzi juu ya tuhuma mbalimbali...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa Kamanda wa Polisi (RPC) - Tabora: Hali ya ulinzi na Usalama mali na raia manispaa ya Tabora ni mbaya!

    Sielewi polisi wa mkoa wa Tabora na hususani Manispaa ya Tabora chini ya RPC wenu mnakwama wapi. Tabora manispaa ya hatari ya miaka ya 1990s na kidogo 2000s iliyokuwa imejaa uhalifu na ujambazi ni kama inarudi taratibu. Miaka hiyo majambazi hawakuwa na urafiki na taa za barabarani. Kila...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zitto ataka wanaoikosoa ACT-Wazalendo waanzishe chama chao

    Nimeshangazwa na majibu ya mkuu wa chama cha ACT Wazalendo ndugu Zitto Kabwe aliyoyatoa kwenye mtandao wa twitter. Zitto alikuwa akimjibu mwananchi mmoja aliyekuwa akionyesha frustrations zake juu ya uamuzi wa chama cha ACT kujiunga na Serikali ya CCM huko Zanzibar katika kile kinachoitwa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Usidharau Watu maana wapo watu hawadharauliwi kwa mali au nafasi yako

    Hili ni tukio lakweli nililo liona. Siku moja nilikuwa katika mkoa Fulani na kwa kawaida ya shirika nilikuwa nafanyia kazi ilikuwa ni utaratibu kutupa nauli ya ndege hivyo nilienda kwenye moja ya kampuni ya ndege kukata ticket kiukweli nilipokelewa vizuri Ila kulikuwa na mteja mmoja ambaye at...
  7. JamiiForums Tanzania Nashauri wanaochafua nchi wafilisiwe mali zao

    Hapo vip! Hii hali ya kuichafua nchi imekuwa biashara kwa wanasiasa na wanaharakati fulani fulani. Kuichafua Nchi ni kitendo cha uhaini na watu hao wanafaa waweke Kwenye list ya maadui wa taifa letu. Kuichafua nchi inapelekea nchi kujengewa mashaka na wawekezaji ambao walikuwa na nia ya kuja...
  8. JamiiForums Tanzania Mali: Watoto wengi hutumika kama wapiganaji

    Watoto watumika kama wapiganaji Mali, mapigano yaendelea Ethiopia Ripoti ya mashirika ya kibinadamu yakiongozwa na shirika la umoja wa mataifa la kuwashughulikia wakimbizi UNHCR, imenakili visa 230 vya Watoto kusajiliwa na makundi ya wapiganaji katika miezi sita ya kwanza yam waka 2020...
  9. JamiiForums Tanzania Napeleka ombi Mahakama Kuu itoe amri (Mandamus) ili viongozi wa CHADEMA waliotafuna mali za umma wakamatwe na kufikishwa mahakani

    Japokuwa sijaenda shule kwa sana ila najua ninayo haki ya kufile writ of mandamus ili Pccb wafanye kazi kwa mujibu wa sheria. Viongozi wa Chadema walitafuna zaidi ya bil nane na ushahidi wa kimazingira unaonyesha wazi kuwa walizitafuna. Tunamshukuru Mwita Waitara kwa kuibua huu ufisadi na...
  10. JamiiForums Tanzania Story: Safari ya kutafuta mali za Mjerumani katika msitu wa Nyumbanitu - Njombe

    DISCLAIMER: Nianze kwa kusema hii story sio ya kwangu, ni ya member Mbwichichi ambae amesimulia hii story ndani ya story 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/tukio-la-kusisimua-nililolishuhudia-kwa-macho-yangu-katika-msitu-wa-nairoto.1808580/ Hivyo nimeona nisaidie kuweka hapa iwe...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa acheni ushamba wa kuchoma moto mali za familia kwa kisingizio cha "hasira" za kufelishwa Uchaguzi!

    Mambo yaliyosikika kutokea Meatu mkoani Simiyu na Liwale na maeneo mengine ya Mikoa ya Kusini yanasikitisha sana. Ninaandika haya baada ya kushuhudia wananchi wa Lindi wakikitaja chama kimoja cha Upinzani kinachoongozwa na Profesa anayeheshimika duniani kwamba kinahusika na hii " choma choma"...
  12. JamiiForums Tanzania Kupunguza idadi ya Maegesho Kariakoo ili kuongeza usalama wa Watu na mali zao

    Nimesoma hivi karibuni Ufaransa itapunguza maegesho 70,000 ya magari katika mji wa Paris,hii inatokana na sababu kuwa maegesho ya magari yanachukua takribani nusu ya eneo la mji wa Paris yakiwa na idadi ya asilimia 13% ya watu katika mji wa Paris. Hapa Tanzania eneo la Kariakoo ambalo ni eneo...
  13. JamiiForums Tanzania Wilaya ya Liwale hali si shwari, Wananchi wapigana, waharibu mali mbalimbali

    Mimi mkazi wa Dar es Salaam nimekuja Liwale (nyumbani) kuwacheki wazazi . Nilichokikuta huku ni hatari. Kuna kata hapa mjini inaitwa Likongowele hali si shwari, mawakala wamepigwa na umma, nyumba ya diwani mteule Mussa Mkoyage imechomwa moto. Kuna kata ya Lilombe huko wananchi mpaka wanafikia...
  14. JamiiForums Tanzania Ubunge unatafutwa kwa hali na mali, Kuna maslahi si kuwa taarishi wa wananchi tu

  15. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli sera ni mali ya chama lakini si msaafu katika kampeni zako ongezea na yanayopendwa na Wananchi

    Kwanza nakupa pongezi kwa kazi kubwa uliyoifanya kwa miaka mitano ya kutujengea miundombinu ambayo itakapokamilika itakuwa nyenzo nzuri ya maisha kwa wananchi wa kawaida ambayo kwa sasa wengi wao wanajifanya hawaioni, mladi kama bwawa la mwalimu nyerere utakaopunguza gharama za...
  16. JamiiForums Tanzania Charles "Chuck" Feeney ni bilionea ambaye alikuwa na ndoto za kumaliza mali yake yote akiwa hai, kwa kutoa fedha zake zote kwa mashirika ya hisani

    Mfanyabiashara huyo wa Marekani mwenye umri wa miaka 89 , hatimaye amefikia lengo lake siku chache ziliopita alipotoa dola ,milioni 8,000 kusimamia miradi ya hisani duniani. Hivi sasa hana nyumba wala gari na ni maarufu kwa kuvalia saa ilionunuliwa kwa dola 15 pekee. ''Nilikuwa na wazo ambalo...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Lissu amtaka Rais Magufuli arudishe ardhi aliyopora pale Kihanga Karagwe

    Lissu akihutubia wananchi wa Manispaa ya Bukoba amedai Rais Magufuli amepora kiasi cha hekari elfu 25 maeneo ya Kihanga wilayani Karagwe mkoani Kagera. Magufuli tunaomba ujitokeze ujibu hoja hii. Naomba Magufuli nikukumbushe hilo eneo ni pale Kihanga wanapouzia maziwa, na siku hizi kuna ulinzi...
  18. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu atua Katoro - Geita kwa kishindo

    Wakati kesho tukijiandaa kwa mkutano mkubwa Geita Mjini, leo Katoro muda huu Tundu Lissu ametua hapa na umati mkubwa umejitokeza kumsindikiza na kusikiliza sera za kuwakombia. Kwa hakika lipo la kujifunza kwa watu wa CCM. Msijifanye hamuoni kinachoendelea! Video: Katoro Geita
  19. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Fadhila za Lissu kwa majasusi wa kibepari na kisingizio cha uwekezaji nchini

    Ni wazi Tundu Lissu anajiamini na ameshaaminishwa na wale waliomtuma kuwa atakuwa Rais, imefika hatua anasema wajaribu waone, hapatatosha na hapatakalika dunia nzima inaitazama Tanzania nini watafanya, amekuwa akitishia kuwa maamuzi yoyote ya kutokuwa yeye Rais yatawapeleka watu ICC. Swali...
  20. JamiiForums Tanzania Inawezeka kufanikiwa bila kurithi mali za wazee au za ndugu wengine?

    Hivi kweli mtu darasa la saba, mtoto wa mkulima mjukuu wake mkulima, inawezekana kufanikiwa kiuchumi bila kubebwa? Kuna mtu anaweza kuthibitisha hili? Mafanikio nayozungumzia hapa ni walau kuwa na billions za Kitanzania.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…