malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli

  1. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Kibati Kikipasuka, sisi tuko nao, ninayezungumza ni Amirijeshi mkuu, Tokeni mkapige Kura Oktoba 29, 2025

    "Tumedhamiria kufanya kazi. Tumefanya kazi mmeiona na tunajiamini kwamba tutaweza kufanya tena kazi kipindi cha pili cha awamu ya sita, kazi ya kuonekana kwamaana hiyo niombe mtuchague Chama Cha Mapinduzi “Na hapa niseme ndugu zangu ili niwatoe hofu, kuna watu wanatishatisha ili kuwafanya watu...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Majangaa Makubwa hayaa Mfanyakazi wa Kike aka (Dada) Mwenye Asili ya Ki-Tanzania ameuwa familia yote ya boss wake nchini Oman kwa kuwatilia sumu

  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali ya Tanzania imeongeza ukandamizaji wa kisiasa, jambo linalozusha wasiwasi mkubwa kuhusu iwapo uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 29

    Serikali ya Tanzania imeongeza ukandamizaji wa kisiasa, jambo linalozusha wasiwasi mkubwa kuhusu iwapo uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 29, mwaka huu utakuwa huru na wa haki, Human Rights Watch imesema leo. Mamlaka zimekandamiza Matangazo ya Mchana: Upinzani wa kisiasa na wakosoaji wa...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Netanyahu: Tunakwenda Kutimiza ahadi yetu kwamba hakutakuwa na Taifa la Palestina eneo hili ni letu

    Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, siku ya Alhamisi alisema kuwa "hakutakuwa na taifa la Palestina." Alitoa kauli hiyo wakati wa ziara yake katika makazi ya Maale Adumim yaliyoko katika Ukanda wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu. Netanyahu alisaini rasmi hati ya kuidhinisha ujenzi wa...
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Moja ya hotuba ambayo iligusa moyo wangu nakubadili kila kitu kwenye moyo wangu kuhusu siasa. Pumzika Hayati JPM

  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mtu anapaswa kunywa maji kiasi gani ili kuweka figo zake salama?

    Figo ni moja ya viungo muhimu vya mwili wa mwanadamu, ambavyo vina majukumu mengi ya kuweka mwili katika afya njema. Madaktari mara nyingi wanashauri kwamba ili kuweka figo kuwa na afya njema, kula kiasi cha chumvi, kuepuka sukari ya ziada na kutotumia dawa za maumivu bila ushauri wa daktari...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Dalili sita za kugundua ugonjwa wa figo

    Figo hufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja katika mwili wetu. Huondoa taka katika mwili. Kuweka uzaini wa maji na madini ya elektroliti. Figo hufuatilia shinikizo la damu na pia kusaidia katika kutengeneza seli nyekundu za damu. Lakini mara nyingi watu hupuuza dalili za mwanzo za figo kushindwa...
  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania iko tayari kwa umeme wa nyuklia?

    Maelezo kuhusu taarifa Author,Yusuph Mazimu Nafasi, Akiripoti kutokaBBC Dar es Salaam 26 Mei 2025 "Ndani ya nchi yetu Mungu ametubariki uraniamu (urania). Ni vyema kusimamia ule mradi wetu kule Namtumbo, wale wawekezaji waanze kazi sasa tufaidike na rasilimali ile." Ni kauli nzito ya Rais wa...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ni mara ngapi unapaswa kuosha taulo yako?

    Maelezo ya picha,Taulo inaweza kuonekana safi machoni ila imekusanya mamilioni ya bakteria Kwa kunusa tu kipande cha nguo au kukichunguza kwa uangalifu ikiwa hakina mabaka, tunaweza kuamua ikiwa kiko tayari kuoshwa au kinaweza kustahimili matumizi mengine. Lakini tunajuaje ni wakati wa kuiosha...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Wa Leo Asubuhi Kutoka kwa dada Yangu Bi Sharifa aka Mzanzibar anayeishi Ughaibuni skiliza Kwa makini

  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Tutakukumbuka Daima Mtetezi wa wanyonge Hayati RIP JPM

  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Faida Ya Mmea Wa Msegesege Kumtibu Mtu Aliyerogwa Uchawi Usioweza Kutibika Kabisa

    FAIDA ZA MMEA WA MSEGESEGE KUMTIBU MTU ALIYEROGWA UCHAWI USIOTIBIKA KIRAHISI 1. Kama unahitaji kumtibia mtu aliyerogwa uchawi usiotibika kirahisi au amezunguka sana kutafuta matibabu mbalimbali basi utakwenda katika mti huu kwa kufuata adabu za kuchukua mti kitiba kisha utachukua majani yake...
  13. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Rostam: Hakuna nchi duniani inajenga Uchumi wake kwa kutegemea wawekezaji wa nje, ataka wazawa wapewe kipaombele

    Nakubalina na Rostam Aziz, Wawekezaji wa Nje waje ku compliment pale ambapo Wawekezaji wa Ndani wamekwama tena Kwa Ubia. Sasa taasisi zetu zikisia uwekezaji wao wanaweza Wazungu na hata Sasa wako busy kutafuna posho Kwa visingizio vya kuandaa majukwaa ya uwekezaji na mataifa ya Nje...
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Huu mmea ni dawa nzuri ya vidonda mwilini

    Hiii ni dawa nzuri ya Vidonda Wengi mna sikia hadithi tu Kua kuna mti.huo wa nyoka Yani nyoka wakipigana mmoja ikatokea kamjeruhi mwenzake au kuzimia Huenda kwenye mti flani uchuma jani na kumtemea mwenzake na kuamka Basi dawa hii NI nzuri kwa mwenye vidonda vyovyote vile ambavyo vya ndani na...
  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Faida ya Tunda la Fenesi kwa Afya ya Mwili wako pamoja na ngozi yako

    FAIDA YA TUNDA LA FENESI KWA AFYA YA MWILI WAKO NA NGOZI. Najua unalijua fenesi, pengine unakula bila kujua faida zake au hujawahi kula kabisa. Fenesi linaweza kuwa tunda ambalo halina washabiki wengi, lakini ukisoma hapa na kujua faida zake mwilini. Mwenyewe utaanza kulipenda tu. Maana fenesi...
  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Faida za Kiafya zipatikanazo Kwa Kunywa juisi ya Rosela/Hibiscus/Karkade

    Rosela ni ni maua yanayo julikana kabisa pia huoteshwa au kupandwa mazingira ya kawaida haswa nyumbani, maua haya yanapatikana kirahisi katika nyumba za ndugu, jamaa na marafiki na sehemu zinginezo japo kuwa baadhi ya watu huyaita maua damu. Zifuatazo ni faida za kutumia Rozela. Maua ya...
  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Nitajie wasanii hawa wa tasnia ya filamu wamecheza filamu gani?

    Rip Bruce Lee, Bolo Yeung, Jimmy Kelly, Angela Mao,robert Wall Kien Shih, John Saxon, Ahna Gapri, Sammon Kam-Bo Hung, Geoffrey Weeks.
  18. Program Manager

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kumtambua huyu ndugu pichani

    Anaitwa NASSORO IDDY IGALAWA ni dereva amepatwa na umauti leo maeneo ya mbangamawe alikuwa na gari NOAH amby bado haijasajiliwa lakini documents zinaonyesha alikuwa anapeleka gari msumbiji. Mwili upo hospital ya mkoa ruvuma (HOMSO) mpaka sasa hivi hatujapata mawasiliano ya ndugu kwasababu...
  19. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ufuta Unavyotibu Kisukari, Saratani!

    UFUTA au kitaalamu Sesamum indicum, hustawi na hulimwa zaidi mikoa ya Kusini mwa Tanzania ya Lindi, Mtwara na sehemu ya mkoa wa Ruvuma, Tunduru. Hata hivyo, tafiti mbalimbali za ndani na nje ya nchi, zinaonesha kuwa ulaji wake ni kinga na tiba ya magonjwa katika mwili wa binadamu Baadhi ya...
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Picha yangu ya leo asubuhi, hamjambo marafiki zangu?

Back
Top Bottom