Tutakukumbuka Daima Mtetezi wa wanyonge Hayati RIP JPM

Tutakukumbuka Daima Mtetezi wa wanyonge Hayati RIP JPM

Apumzike kwa amani
Mimi sipo chama chochote Hapa Tanzania lakini ninamkubali Hayati Kiongozi Wetu Rais John Magufuli alikuwa ni Kiongozi Mchapa kazi hodari sana na anayeipenda nchi yake na Wananchi walala hoi Masikini. Hakutatokea Kiongozi Kama Hayati Magufuli nchini Tanzania labda baada ya miaka 100 ijayo. Mungu amalaze Mahali Pema Hayati Magufuli amin.
 
1746564652137.png
 
Hongera sana mheshimiwa Rais magufuli kwa kutoombea kwa Mfalme wa Morocco ili Mfalme atujengee Msikiti Mkubwa kuliko yote nchini Tanzania na Africa Mashariki. Allah Subhana Wataala akulinde na Maaduwi zako Waislam Tuna kuombea dua kwa kutufamyia jambo kubwa sana. Hatuta kusahau milele Rais Wetu.


 
Hongera Huyu RASTAFARI Mwanamke wa Ki-Jamaica anamfananisha Rais Magufuli na Aliyekuwa Mfalme wa Ethioipia Haile Selassie. Anasema anampongeza na kumpa Hongera Simba Wa Afrika Rais Magufuli kwa kukataa chanjo ya korona na anawaambia Wananchi wake watumie dawa za asili na kumuomba Mwenyeezi Mungu dua ili janga hili la Mlipuko wa Corona Virus lipate kuondoka nchini Tanzania.
👇
😍
🤣
❤
👍



 
Hongera Daktari Mtumbuwa Majipu ya Mafisadi Rais wetu Doctor Magufuli kwa kufunguwa Msikiti ulioamrisha wee Kiongozi ujengwe ingawa Wahusika Viongozi wa Mji wa Rukwa walikataa kuruhusu Waislam wajenge nyumba ya ibada. Asante sana kwa uamuzi wako wa mzuri Kiongozi wetu.


 
"Magufuli hakuua watu kwenye uchaguzi wa Vijiji na vitongoji ila huyu mama anauwa watu" Tundu Lissu.


 
Wale walioficha sukari kwa nia ya kuja kulangua, sikilizeni haya kutoka kwa Rais Magufuli. Huenda huu ndio ukawa ndio mwisho wenu wa kufanya biashara Tanzania.


 
Siku moja kuelekea kumbukizi ya kifo cha Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, hivi ndivyo alivyohamasisha watanzania kuitumia na kujivunia lugha ya Kiswahili.


 
kaleta bunge la kitapeli --- kazindua rasmi wizi wa uchaguzi usio na kificho wala hofu


huu sio muda muafaka wa kumkumbuka
Nyie vyeti feki mlikuwa na shida.
Tatizo mlikuwa mnapinga Kila kitu.
Mlipinga bwawa la umeme.
Mlipinga SGR.
Mlipinga uboreshaji mikataba ya madini. Nk
Mwamba tutamkumbuka sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom