makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Charles Kimei: Samia amefanya makubwa Vunjo

    Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwa imeendelea kuwekeza kwenye miundombinu ya vifaa vya uchunguzi na vifaa tiba katika kuboresha huduma kwenye vituo vya kutolea huduma...
  2. JamiiForums Tanzania Tatizo la matiti makubwa kwa mwanaume (gynecomastia) na tiba yake

    Picha kwa hisani ya Google Kuota matiti kwa mwanaume (Gynecomastia) ni kuongezeka ukubwa/ujazo wa matiti kwa mwanaume. Hutokana mabadiliko ya viwango vya homoni za kiume (Testosterone) na homoni ya kike (Estrogen) kwa mwanaume [hormonal imbalance] ambapo mwanaume anakuwa na viwango vya juu vya...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Mnaoichukia Israel msitumie Iphone, Google, Window, n.k. makapuni makubwa ya kompyuta na mawasiliano hutegemea zaidi Israel kuwabunia bidhaa na huduma

    Nimeona kuna movements za ku boycott / kugomea bidhaa zenye uhusiano na Israel, nimepata wazo nije kuwasapoti wadau kwenye huu mgomo kwa kuwashauri muweke mkazo zaidi kukaa mbali kwenye simu na computer kwasababu bidhaa na huduma hizi nyingi wanaozibuni ni wayahudi wa Israel. China ndipo vilipo...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana jifunzeni kwa hawa wazee wenu wanao sota huko kwenye majiji na mijini huku wakijificha kwenye majuto makubwa ya kivuli cha wapambanaji

    Ndugu zangu salaam Enyi vijana wa kiume na kike jifunzeni kwenye makosa ya hawa wazee wanao bebeshwa vitu vizito huku mijini na kwenye majiji kwa malipo kiduchu yaliyo ambatana na dharau na matusi kedekede nao walikua vijana kama nyie Vijana ili muwe na maisha mazuri uzeeni lazima uishi sasa...
  5. JamiiForums Tanzania Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

    Asubuhi hii kuna taarifa za kushambuliwa makazi binafsi ya waziri mkuu wa Israel huko Caesaria kwa drone ya hizbullah iliyosafiri 70km bila kuamsha mitambo ya ulinzi ya Israel, drone hiyo ikionekana kupita nyuma ya apache helicopter za Israel. IDF imezuwia habari zozote toka makazi hayo,japo...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa sasa tunaishi kwa mashaka makubwa. Hatujui nani anafuata

    Ni maisha ya mashaka mashaka sana kwa kweli. Viongozi wa mashujaa wetu kwa sasa wana hali mbaya sana. Moja haikai mbili haisimami. Wanaishi kwa kujificha ficha sana. Kama panya. Wanaishi mashimoni na kwenye mapango. Khayatollah amefichwa sana na anahamishwa hamishwa kila baada ya muda flani...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Michezo na Taifa Stars chukueni ushauri huu kama mnataka matokeo makubwa siku zijazo

    Nimeangalia mechi zote za taifa star! Nikaona upo umhimu wa kubadilisha mbinu za kuchagua wachezaji wa taifa! Samatta ni mchezaji mzuri lakini hafai kuitwa timu ya taifa kwasababu yupo katika expiring date! Hatukatai ubora wake wa zaman lakini haiondoi ukweli kwamba hata sumu ikiwa kali namna...
  8. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa serikali za mitaa unapewa thamani kubwa namatumizi makubwa ya fedha lakini viongozi hao hawana posho Wala mishahara,

    Wasimamizi wa vituo vya kujiandikisha wapiga kura wanalipwa 350000, kwa mmoja ,kituo kimoja wakiwa wanne ni zaidi ya 1.2m ,kwa nchi nzima ni mabilion ya pesa !! Kwanini mnathamini mchakato na sio ajenda? Mkishawachagua hao viongozi wanaanza kujitolea hawana hata posho Wala mishahara ,ifike...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini huwa tunaiombea Serikali ifeli wakati huo huo tunataka kuona maendeleo makubwa ya kiuchumi?

    Vitabu vya Dini karibu vyote husema, yabidi mtu ujinenee mazuri na kujitabiria mema kwa maana ulimi huumba Jinsi unavyojinenea, ndivyo unavyopokea Wataanzania wengi hupenda kuona mambo mazuri yakitokea Cha kushangaza, walio wengi huinenea nchi na serikali inayoongoza ishindwe na wakati huo...
  10. JamiiForums Tanzania Mchango wa Mwalimu Julius Nyerere Katika Kilimo na Siasa za Kujitegemea: Urithi wa Maono Makubwa Kwa Taifa la Tanzania

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa la Tanzania, alitambua mapema kuwa maendeleo ya taifa changa la Tanzania hayangeweza kutegemea misaada ya nje pekee. Aliweka msingi wa falsafa ya kujitegemea, akiamini kuwa Tanzania inaweza kujenga uchumi imara kupitia rasilimali zake za ndani...
  11. JamiiForums Tanzania Buluba Mabelele: Rais ana mamlaka makubwa sana, apunguziwe

    “Rais ana mamlaka makubwa sana apunguziwe, wakati mwingine anazidiwa na wanaomzunguka kwa sababu Rais hayupo kila mahali” BULUBA MABELLE - MJUMBE WA MKUTANO MKUU - CCM TAIFA, wakati akizungumza kwenye mahojiano na Edwin Odemba. Chanzo: Star TV Pia soma ~ Mjumbe wa Mkutano Mkuu - CCM TAIFA...
  12. JamiiForums Tanzania Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah

    Wanaukumbi. BREAKING: Israel imerejea kutoka kijiji cha Odaisseh nchini Lebanon kwa vifo MAJERUHI MAKUBWA baada ya wavamizi hao kukutana na jibu kali la Hezbollah. https://x.com/iriran_military/status/1842370522643886275?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw UP DATE….. ========================...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nafasi ya Urais: Dkt. Samia atashinda uchaguzi huu. Ni Wabunge gani wa CCM wana uwezekano mkubwa kutetea viti vyao Bungeni 2025?

    Nia na dhamira yake njema kwa waTanzania, Record yake nzuri ya maendeleo yanayoonekana kwa wanainchi kijamii, kisiasa, Kitaifa na kimataifa ndani ya muda mfupi sana, ndiyo inambeba zaidi Dr.Samia Suluhu Hassan, na kumuhakikishia ushindi wa kishindo wa urais 2025, atakapogombea nafasi hiyo ya juu...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Car4Sale TUNAUZA SPARE PARTS ZA AINA YOYOTE ZA MAGARI MAKUBWA

    Karibu katika kampuni yetu Bora ya hanlink engineering subsidiary co.ltd.dar es salaam Tunazo spare parts zote za magari makubwa mfano howo, FAW, nk. Tunauza kwa Bei nzuri na huduma yetu ni ya uhakika 📍Tunapatikana Vingunguti-Karakana 📞Mawasiliano 0748270719 #HANLINK TUPO KWA AJILI YA...
  15. JamiiForums Tanzania UDP,CHADEMA, CUF N.K PANAHITAJIKA MABADILIKO MAKUBWA MNO YA KIMFUMO, KIKATIBA NA KIUONGOZI ILI KUWE NA TIJA YA KISIASA MPAKA KWENYE MAISHA YA WANANCHI

    vinginevyo kwa mazingira na hali ya siasa ilivyo hivi sasa, bado vyama hivyo havitakua na msaada wala mchango wowote katika kusaidia kuchochea au kuhamasisha mabadiliko au mageuzi yoyote katika maendeleo ya wanainchi kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini, Kazi ambayo, kipekee sana imekua...
  16. JamiiForums Tanzania Nimekagua Gari sita Yard siku ya leo, majanga ni makubwa.

    Mfano hiyo hapo juu ni actual mileage inayonekana kwenye gari. Hii ni mileage inayoonekana kwenye website ya EAA. Gari imeshushwa 120,000Km sasa hiyo ina uafadhali ila zipo ambazo ni worst kuliko hiyo. inaonekana kununua gari na kuja kuuza na actual Kilometers watu hawataki kununua, kwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SIMBA WALISAJILI CHEAP LABOUR, NI KANUNI YA WAHINDI WENGI ILI KUBANA MATUMIZI NA WAKATI HUO HUO WAKITAKA MAFANIKIO MAKUBWA NI NGUMU KUFANIKIWA!

    Hii kanuni bwana kanjibhai wa Simba aliitumia ipasavyo kwenye zoezi Zima la usajili msimu huu! Akutaka kuumiza kichwa kusajili wachezaji Wenye profile kubwa Wala Wenye uzoefu wa michuano ya kimataifa! Alijua kabisa wachezaji dizaini iyo gharama yake ni kubwa sana na walikuwa wametolewa macho na...
  18. JamiiForums Tanzania NI MITAA GANI DAR HAINA MAJINA MAKUBWA LAKINI INA POPULATION KUBWA YA WATU NA BIASHARA ZINAFANYIKA SANA?

    Hello wana jf Natumai wote mko poa sana Naulizia gani hivi hapa dar haina majina makubwa sana kama vile tandika, mbagala, kariakoo nk. Lakini ina watu wengii na biashara zinafanyika kwa maana zinauzika Nilikuwa mbagala na store yangu ya mchele ila kwa sasa nimenyoosha mikono ushindani...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa afikisha mkakati wa kuwezesha Makandarasi wazawa nchini Korea Kusini, akutana na makampuni makubwa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) akiwa ameambatana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi (Mb) wamekutana na kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Fedha ya Korea kwa ajili ya Ujenzi (K-FINCO), Dkt. Lee Eun Jae pamoja na Watendaji wakuu wa Makampuni...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mashindano ya Kimataifa ya Qur'aan, ahimiza kudumisha Umoja

    https://www.youtube.com/live/y5a0kXD2wkE?si=U16sfXt9DHsLAmxZ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Mashindano Makubwa ya Qur'aan kwa Wanawake Duniani Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es salaam, leo tarehe 31 Agosti, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…