makubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Uchumi Duniani yaonyesha matokeo makubwa Uchumi wa Tanzania chini ya Rais Samia

    Uthibitisho wa ripoti ya Fitch Ratings umeipa Tanzania kiwango cha alama B+ kuwa na Uchumi unaokua kwa kasi na uwezo wa Kulipa Madeni ya Nje kwa Muda Mrefu (IDR). Ripoti hiyo imeonyesha mtazamo thabiti wa mafanikio makubwa yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Sera...
  2. JamiiForums Tanzania Hakuna Kazi ngumu kwa wanawake kama Kupata Mume au mtu wa kuishi naye katika majiji makubwa

    Kwema Wakuu! Wanawake wanapitia Kipindi kigumu Sana katika zama hizi. Ukiachana na ambao walisoma na wakapata bahati ya kuajiriwa, waliobaki wanapitia ubatizo wa Moto Mkali Sana. Hakuna kwenye hii dunia mwanamke anayependa kufanya Kazi za utafutaji hasa hizi Kazi za kubangaiza zisizo na...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa nini Urusi haina maendeleo makubwa. Je, Margaret Thatcher yupo sahihi ?

    Video fupi Je, pia ni sababu kwa nini nchi nyingine zenye rasilimali ni masikini wa kutupwa ?
  4. K

    JamiiForums Tanzania TRA inakusanya kodi hadi kwa Maduka ya Mtaani wakati Madalali wapo Mitaani wanaingiza fedha ndefu bila makato yoyote

    Juzi kati nilikuwa katika mishe zangu za harakati za kupambania mkate wa kila siku ambayo ilihusisha uuzaji wa nyumba. Biashara ikafanyika vizuri na mwisho wa siku dalali akaondoka na Shilingi 10. Tangu siku hiyo nimekaa nikiwaza ni kiasi gani cha mapato Serikali inapoteza kama kodi kutoka...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda awataje hadharani Watu Wanaomroga Rais ili asije akafanya Maamuzi Makubwa kwa Kulogwa na hao watu

    Ndugu zangu Watanzania, Leo Tanzania na Dunia nzima imeshuhudia maandamano na matembezi makubwa sana ya amani kuwahi kushuhudiwa kanda ya kaskazini yakiongozwa na mkuu wa mkoa wa Arusha Mwamba Mwenyewe Paul christian Makonda kijana Jasiri kuwahi kutokea katika ukanda wa kusini Mwa jangwa la...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanapenda kunyenyekewa na kupewa heshima

    Kumekuwa na changamoto sana hasa hawa Dada zangu wanao pata mafanikio ya kimaisha, au wamepata kazi nzuri, idadi kubwa ya dada hawa huwa ni single mother Wengine huishia kuwa Mashangazi sijajua shida ni uwezo wa kimaisha walio nao ndio unawatenga na kujihusisha na mahusiano au shida nini...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Haya ni makampuni makubwa miongoni mwa 400 yanayowekeza mabilioni ya dola nchini Israel kwajili ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design)

    Update: Nimeleta habari za kisomi nashangaa kuna watu wameanza kuingiza mihemko ya kidini, Tatizo nini ? Katika kampuni za teknolojia, idara ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design) inahusika na kubuni na kuendeleza bidhaa, huduma, au teknolojia mpya kwa kutumia maarifa ya kisayansi...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna mafanikio makubwa kwa mwanamke wa kibongo zaidi ya kuolewa?

    Huwa naona kama ndoto kubwa zaidi waliyo nayo wanawake wengi wa bongo ni kuolewa. Hata wamama wengi unakuta kwa mfano wakiwa wanawaelekeza mabinti wao wanawaambia kauli kama hujui kupika/kufanya usafi/ au na uvivu huo utaolewa na nani. Hivi mwanamke kuolewa ndio mafanikio ya juu zaidi...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Yanga inakabiliwa na madeni makubwa? Hili deni ni la kulipwa haraka sana

    Nadhani injinia atazingatia. Hili ni deni nyeti sana linagusa maslahi ya klabu
  10. JamiiForums Tanzania Nguo za mtumba ambazo zinaweza kukuletea madhara makubwa

    Kulingana na hali ya kiuchumi katika jamii kwa ujumla swala la nguo za mtumba haliepukiki, Tangu tulipokuwa wadogo tumekuwa tukivaa nguo za mtumba na maisha yanasonga kama kawaida, Pamoja na ukweli kwamba nguo hizi za mtumba haziepukiki kwa sababu bei zake ni rafiki kwetu, kuna baadhi ya nguo...
  11. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TANROADS mkoa wa Arusha wekeni matuta pale shule ya msingi Kimandafu na njia ya ng'ombe au mnasubiri maafa makubwa yatokee

    Shule ya Msingi Kimandafu ipo kati ya Maroroni na Kikatiti. Ukitokea Maroroni, eneo hilo ni mteremko wenye kivuko cha watoto chenye alama za pundamilia, lakini madereva wengi hawazingatii. Leo asubuhi, mwanafunzi alinusurika kugongwa na gari ndogo iliyokuwa ikitokea Maroroni. Pale eneo la...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mambo makubwa mawili yanayomsumbua Tundu Lissu wiki hii!!

    1. Taarifa aliyoitoa Makonda kwa waandishi wa habari kwenye utoaji wa ripoti yake ya miezi 6. Katika kujibu tuhuma anazorushiwa na Tundu Lissu, Makonda alijikuta akitueleza ni vipi Kuna vikao vilikuwa vinaendelea baina yake na viongozi wa chadema Huku Tundu Lissu wakimuacha kwa makusudi kwa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa "Dunia ya Kusini" kumeleta mabadiliko makubwa duniani na kuielekeza dunia kwenye mustakbali mzuri

    Tangu kuingia karne ya ishirini na moja, nchi za "Dunia ya Kusini" zimeanza kubadilika hatua kwa hatua kutoka nchi nyingi zenye ukimya mkubwa hadi kuwa nguvu kuu inayoendesha mabadiliko katika utaratibu wa kimataifa. Nchi na mashirika ya kimataifa kutoka Kusini, kama vile China, India, Umoja wa...
  14. JamiiForums Tanzania Maana ya jiji iko wapi kama hawako mstari wa mbele katika majanga makubwa?

    Kwa nini meya wa jiji haonekani mstari wa mbele Katika janga la kibinadamu la kuanguka kwa ghorofa Kariakoo ambalo ni eneo lake kiutawala? Katika maafa kama haya meya alipaswa kuwa mtu muhimu zaidi kuliko wote akizungumza na vyombo vya habari, ila hapo Kariakoo ni kama hakuna meya kabisa au...
  15. JamiiForums Tanzania Wewe mwenyewe unapenda makalio makubwa, alafu bint akitanguliza pesa kama priority unaanza kulalamika "ooh mademu wa siku hizi wanapenda hela sana"

    Hii inaitwa ngoma draw, Mi nafikiri kila mtu ashinde mechi zake huku tukila kwa urefu wa kamba zetu maana hata solomon alijaribu kila kitu na akaishia kusema hii dunia na maisha kiujumla ni batili tu. Kama mwanaume priority yako ni kupenda makalio makubwa. Na mwanamke priority yake ni kupenda...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuna matatizo makubwa ya kiutawala yanayo chochewa zaidi na ombwe la uongozi, unadhani tatizo liko wapi?

    Unadhani ni nani kati ya viongozi waandamizi wa Chadema ndiyo hasa chimbuko la ombwe la uongozi lililopo na matatizo mengine makubwa ya kinidhamu na ubinafsi, yanaoonekana bayana kabisa hivi sasa na yanayochochea migawanyiko na kutoheshimiana miongoni mwao? Je, ujuaji mwingi, ujeuri na ubinafsi...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania yavuna matunda makubwa kwenye maoensho ya CIIE

    Maonesho ya uagizaji ya China (CIIE) yamemalizika hivi karibuni mjini Shanghai. Maonesho haya ambayo safari hii ni ya awamu ya saba, yamefanyika kwa mafanikio makubwa kwani nchi nyingi zaidi zimeshiriki na kupiku idadi ya nchi shiriki za mwaka uliopita. Likiwa ni jukwaa la ufunguaji milango na...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane, hakuna tajiri aliyefanikiwa kufika malengo makubwa bila mikopo

    Kumekuwa na Kasumba za kudanganya vijana kwamba mtu fulani alianza na mtaji wa matajiri kumi kwamba Leo anamiliki "yard ya magari " na kauli nyingine pendwa kama hizo mnazijua. Mwisho wa siku hizi kauli zinaponza vijana wanaamua kuingia kwenye short cut au uganguzi baadaye yanawatokea puani...
  19. Y

    JamiiForums Tanzania Nauza mabanda ya kuku makubwa sana

    Habari nauza mabanda hayo yako mawili ya kufugia yameisha kabisa na bado kuna kiwanja kimebaki kikubwa tu pembeni eneo lipo chanika mvuti mwisho sio mbali na barabara kabisa bei ni million6 kwa sehemu yote mawasiliano 0699361038
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mambo makubwa uliyowahi kuyafanya utotoni wazazi wakasena wamepata mtoto

    Wasee mko musuri! Mada iko open, taja mambo unayoyakumbuka makubwa ya kipekee uliyowahi kuyafanya utotomi mpka wazazi au wakubwa kiujumla wakajivunia wewe. Nianze namimi. 1. Nakumbuka hili tukio lilitokea nikiwa darasa la tatu kama siyo la nne, nilikuwa chalii sana. Ilikuwa pumziko saa nne...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…