makubaliano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tamisemi tunaomba angalau mwaka huu muwachukue Waliosoma Postgraduate Diploma Ualimu kwa Makubaliano

    Jaman hebu mwakahuu kwenye hizi muwakumbuke waliosoma stashahada ya uzamili. Wengine wamemalza Tangu mwaka 2014. UDSM kwanini mnawaacha? Hakuna mtu anatafuta special seat ya mshahara ila walisoma ili wapate nafasi ya kupractice passion zao za kufundisha. Baada ya kuchaguliwa Kozi nyingine...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB, Silent Ocean zaingia makubaliano ya kuwasaidia wafanyabiashara

    Kaimu Mkurugenzi wa Wateja wadogo na wakati wa Benki ya CRDB, Bonaventure Paul (kushoto) akibadilishana hati na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Usafirishaji Mizigo ya Silent Ocean, Salah Mohammed, muda mfupi baada ya kuzisaini. Ikiwa ni makualiano ya kuwawezesha wafanyabiashara ambao...
  3. JamiiForums Tanzania DR Congo: Makubaliano ya kusitisha Vita yavunjika tena, mapigano yaanza upya

    Vyanzo mbalimbali ikiwemo #BBC vimeripoti kuwa Wafanyakazi wa Mashirika ya misaada kutoka maeneo ya Mashariki mwa #DRC wamesema kuna mapigano mapya kati ya Jeshi la Serikali na Waasi wa M23. Serikali imeshutumu Waasi kwa shambulio la Machi 7, 2023 lililosababisha raia wengi kukimbia makazi yao...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Boomplay Yaingia Makubaliano Na Halotel Kurahisisha Usikilizaji Wa Muziki Kidijitali

    Boomplay, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika, imeshirikiana na Kampuni ya Mawasiliano ya simu, Halotel kuzindua kifurushi cha ‘Boomplay na Halotel’ ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuendelea kurahisisha usikilizaji wa muziki kidijitali kwa Watanzania. Ushirikiano huu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB yaingia mkataba wa makubaliano na ICTC na COSTECH kuwezesha biashara changa (startups) nchini kupitia programu ya Imbeju

    Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (katikati), Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA, Dkt. Nkundwe Mwasaga (kushoto), na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, Dkt. Amos Nungu (kulia) wakisaini mkataba wa makubaliano kwa ajili ya utekelezaji wa programu ya...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania yasaini makubaliano ya Ushirikiano na Indonesia kwenye Sekta ya Umeme na Gesi

    Ziara ya Waziri wa Nishati, January Makamba nchini Indonesia imemalizika kwa kuimarisha ushirikiano wa nchi hizo mbili katika sekta ya umeme, mafuta na gesi. Makamba kwa nyakati tofauti alikutana na Waziri wa Nchi anayeratibu biashara zinazomilikiwa na Serikali, Luhut Pandiaitan, Waziri wa...
  7. JamiiForums Tanzania Kagame ailaumu DR Congo kwa kukiuka makubaliano

    Rais wa Rwanda, Paul Kagame amepeleka shutuma hizo kwa Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), Félix Tshisekedi akidai anakiuka makubaliano kadhaa wanayoafikiana kuhusu mgogoro baina ya Nchi hizo unaoendelea. Rais Kagame amedai licha ya kufanya mikutano na kukubaliana lakini Rais...
  8. JamiiForums Tanzania Mkataba wa Yanga na Sport Pesa waingia mdudu baada ya Yanga kutambulisha mdhamini mpya

  9. D

    JamiiForums Tanzania Kero ya Walimu msingi kudai michango mingi; ni makubaliano ya kikao feki cha wazazi feki

    Shule nyingi za msingi za serikali siku hizi zimejaa michango mingi sana ambayo inaleta matabaka kwa watoto! Walimu wanachangisha hela ya mitihani kila siku 1000. Ndoo mpya kila term, Fagio jipya kila mwezi, Hela ya safari (tour) kwa mgongo wa hiari huku nyuma wanawapiga mkwara watoto kwenda...
  10. JamiiForums Tanzania Yanga yafikia makubaliano ya kumsajili Kennedy Musonda

    Klabu ya Yanga imefikia makubaliano na Power Dynamos kumsajili mshambualiaji hatari Kennedy Musonda kwa ada ya uhamisho wa Dollar laki moja sawa na shillingi milion 230 na Kennedy anatarajiwa kuwasili nchini wiki ijayo kujiunga na Yanga.
  11. JamiiForums Tanzania Hizi hapa sababu za Kitilya na wenzake kupinga makubaliano ya 'Plea Bargain' na DPP

    Aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya na wenzake wawili wamekimbilia Mahakama ya Rufani kuomba kuruhusiwa kupinga makubaliano baina yao na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), yaliyowatia hatiani katika kesi ya uhujumu uchumi iliyokuwa ikiwakabili. Kitilya, Shose...
  12. JamiiForums Tanzania Mo Dewji ataje waliomteka na makubaliano waliyofikia kabla hawajamuachia

    Ni miaka 4 sasa toka MoDewji alipoachiliwa baada ya kutekwa kwa siku kadhaa na WATU WASIOJULIKANA. Ule utawala wa Shetani wa Chato haupo tena, MoDewji ni wakati mwafaka sasa akafunguka yote namna alivyotekwa, watekaji wake na makubaliano yaliyopelekea yeye kuachiwa na kutupwa pale Gymkhana.
  13. JamiiForums Tanzania CAG: Tunachunguza makubaliano ya "PLEA BARGAIN", Ripoti inakuja Machi 2023

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amesema ripoti ya uchunguzi ambayo ofisi yake imekuwa ikifanya kuhusu fedha zilizokusanywa kupitia utaratibu wa makubaliano ya rufaa "Plea Bargain" itatolewa kwa umma Machi 2023. Kauli ya CAG inakuja siku chache baada ya...
  14. JamiiForums Tanzania Israel na Lebanon zaendelea kushikamana na kuingia makubaliano mengi

    Inapaswa waswahili mliopandikizwa chuki na waarabu za kuichukia Israel muanze kubadilika maana wenye dini zao huko wanaendelea kushikamana na kuingia makubaliano ya kindugu, mpunguze povu huko kwa Mtongole. Israel's Security Cabinet on Wednesday voted in favor of the U.S.-brokered maritime...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania na Qatar watia saini hati za makubaliano kuimarisha biashara na uwekezaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya ushirikiano kati ya Chemba ya Biashara ya Tanzania, Zanzibar na Chemba ya Biashara ya Qatar. Kwa upande wa Chemba ya Biashara ya Tanzania, mkataba ulisainiwa na Rais wa Chemba hiyo Paul...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ikiwa leo hii Rais Samia anatia sahihi makubaliano ya ulinzi na usalama na Msumbiji basi kuna kitu kiliharibika hapo nyuma

    Leo hii nimesoma habari kwamba Tanzania na Msumbiji tumetia sahhi makubaliano ya ulinzi na usalama. Kwanza sikuamini kama ni Msumbiji kweli, au nchi nyingine. Yaani Msumbji, ile ninayoijua mimi, ambayo maelfu ya wanajeshi wa Tanzania walikufa huko katika kuisaidia kupambana na majeshi ya uasi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Washirika wa Sabaya wafutiwa Shtaka la Uhujumu Uchumi kwa makubaliano na DPP, waachiwa huru

    Katika Gereza Kuu la Karanga Moshi, washtakiwa hao wamesota mahabusu kwa siku 95 na katika Gereza la Kisongo lililoko mkoani Arusha, walikaa kwa siku 363. Walioachiwa huru baada ya kuingia makubaliano (Plea Bargaining) na Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP), ni mshtakiwa wa pili, Sylvester...
  18. JamiiForums Tanzania Senegal yasaini makubaliano ya amani na Waasi wa MFDC

    Rais wa Senegal Macky Sall, chini ya Upatanishi wa Rais wa Guinea Bissau, Umaro Sissoco Embalo ametia saini Mkataba wa amani na Waasi wa Chama cha Movement of Democratic Forces of Casamance (MFDC) unaotajwa kuweza kumaliza mzozo uliodumu kwa miongo kadhaa Inaelezwa kuwa Waasi wa Jimbo hilo...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya kuanza kununua umeme kutoka Ethiopia baada ya kusaini makubaliano

    Kenya itaanza kununua umeme kutoka Ethiopia. Hii inafuatia makubaliano ya power purchase agreement (PPA) kutiwa saini na nchi zote mbili. https://www.the-star.co.ke/news/2022-07-29-ethiopian-electric-power-to-become-second-largest-supplier-to-kenya-power/
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mishahara Midogo Serikalini: Serikali iingie makubaliano na taasisi za fedha watumishi wakope kupitia posho na pia sheria ya moja ya tatu itazamwe upy

    Ukweli ni kwamba, kwa miaka mingi mishahara serikalini imekuwa duni na bahati mbaya zaidi, uwezo wa serikali kuongeza mishahara sasa unaonekana kushuka na bila shaka sababu kubwa ni serikali kuwa na miradi mikubwa na ya gharama pasipo kuwa na vyanzo vya uhakika (hawakujipanga). Hivyo, kutokana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…