makubaliano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali inayofanyakazi: Serikali ya #JMT🇹🇿 na @UNWTO zimesaini mkataba wa makubaliano utakaoifanya 🇹🇿 Kongamano la Chakula

    HIZI NDIZO KAZI ZA SERIKALI YA KISASA https://x.com/urtupdates/status/1882732188799799422
  2. Makubaliano ya kusitisha mapigano yataendelea kama ilivyopangwa huko Gaza

    Wanaukumbi. ⚡️🇮🇱BREAKING: Ceasefire agreement will continue as planned. Crisis resolved, Israeli Cabinet will meet to approve the ceasefire and exchange deal. Tomorrow, the negotiating teams are expected to provide a review of the agreement to government ministers.—Hebrew CH12...
  3. Maelezo kamili ya makubaliano yajayo ya kusitisha mapigano huko Gaza

    Salaam wadau. haya ndio makubaliano yanayotegemewa kufikiwa kati ya Israel na Hamas hivi punde ⚠️ AWAMU YA 1 (SIKU 42): 1. Kusimamishwa kwa Muda kwa Uhasama: - Kusitishwa kwa muda kwa shughuli za kijeshi na pande zote mbili. - Vikosi vya Israel vitaondoka katika maeneo yenye watu wengi...
  4. Hamas imesema imeidhinisha orodha ya mateka 34 wa Israel kwa makubaliano Israel waondoe majeshi yao Gaza.

    Wanaukumbi. CAIRO, Jan 5 (Reuters) - Palestinian militant group Hamas has approved a list of 34 hostages presented by Israel to be exchanged in a possible ceasefire deal, a group official told Reuters on Sunday. The official, who spoke on condition of anonymity because of the sensitivity of the...
  5. Tanzania - Somalia zasaini hati nne za makubaliano ya ushirikiano

    TANZANIA - SOMALI ZA ZASAINI HATI NNE ZA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Shirikisho la Somalia zimesaini hati nne za makubaliano ya ushirikiano katika mkutano uliofanyika jijini Mogadishu leo tarehe 19 Disemba, 2024 chini ya uenyekiti wa Waziri wa...
  6. Umoja wa Ulaya Wasaini Makubaliano Kuendeleza Maendeleo Endelevu Zanzibar

    Umoja wa Ulaya (EU) na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wamesaini makubaliano mawili muhimu yanayolenga kukuza maendeleo endelevu, uhifadhi wa bahari, na usawa wa kijinsia. Makubaliano hayo yalisainiwa mbele ya Riziki Pembe Juma, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto; Rita...
  7. J

    JamiiForums na LHRC zasaini Mkataba wa Makubaliano ya Ushirikiano wa Kimkakati

    Taasisi za JamiiForums (JF) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) zimeingia Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) katika masuala anuai ikiwemo kuhakikisha uwepo wa Sera bora nchini; kuimarisha Haki za Kidijitali, Uwajibikaji, Utawala Bora, kuchochea Haki ya Utoaji na Upatikanaji wa Taarifa...
  8. Tanzania kuendelea na Mkataba wa Adani wa Dola Milioni 95 kuendesha Gati za Bandari ya Dar Licha ya Tuhuma za Rushwa

    Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuheshimu mikataba yake na kampuni tanzu ya Adani Group licha ya mashtaka mapya dhidi ya Gautam Adani, mwenyekiti bilionea wa kundi hilo, anayekabiliwa na tuhuma za utoaji hongo na udanganyifu, afisa mwandamizi wa Mamlaka ya Bandari amethibitisha. Wiki...
  9. B

    Msaada jinsi gani naweza kuwafikia wamiliki wa vyombo vya usafiri mikoni ili kuingia nao makubaliano ya kussuport wazo langu?

    Habar qanaforum mimi apa nawazo la kuanzisha ofisi ya kupokea na kaagiza mizigo kutoka dar kwenda mikoni au kutoka mikoani kwenda sehem ingine kwa kutumia usafir wa mabasi lakin sijui vipi nitawafikia wamiliki wa mabasi ili nikubaliane nao. Hii nataka ni tengeneze uaminifu na urahisi kati ya...
  10. Tanzania na uganda zasaini makubaliano ya uimarishaji mpaka wa kimataifa

    Bukoba Tanzania na Uganda zimetia saini makubaliano ya uimarishaji mpaka wa kimataifa baina ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yalifikiwa wakati wa mwisho wa kikao cha Kamati ya Pamoja ya Wataalamu (JTC) kati ya nchi hizo kilichokuwa na lengo la kujadiliana namna ya kuimarisha mpaka wa...
  11. N

    Msanii Mario na Abba meneja wake, wameukana mkataba huu wa makubaliano na Kismaty Media

    MSANII MARIO NA ABBA MENEJA WAKE,MARA BAADA YA KUJICHUKULIA FEDHA KWA NJIA YA UTAPELI WAMEUKANA MKATABA HUU WA MAKUBALIANO NA KISMATY MEDIA
  12. N

    Msanii Mario na meneja wake waukana mkataba wa makubaliano na Kismaty Media

    Msanii Mario na Abba meneja wake, mara baada ya kujichukulia fedha kwa njia ya utapeli wameukana mkataba huu wa makubaliano na Kismaty Media.
  13. HAMAS: Tuko tayari kwa makubaliano yoyote ili vita iishe

    Moisemusajiografii matapeli wameanza kusalimu amri 😂😂😂
  14. C

    Sheria za nchi zinasemaje kuwafukuza wapangaji walioenda kinyume na makubaliano ya mdomo?

    Kiufupi hawa wapangaji wengine ni wajinga kupitiliza wasio heshimu imani za watu. Nipo mkoani huko mjini kwenu dasilamu nimeacha kimjengo changu na kina wapangaji. Masharti yangu ni kuwa mpangaji awe ana familia yani awe kama ni mume ameoa au mke awe ameolewa hivyo au kama hajaolewa au kuoa...
  15. J

    Natafuta fundi simu tushirikiane kwa makubaliano, eneo lipo vizuri

    Natafuta fundi simu tufanye kazi, sehemu ya biashara ipo hapa maeneo ya survey opposite na Mlimani city, makubaliano na mambo mengine tutazungumza tukionana. PM kwa information zaidi
  16. TCRA-CCC na FCS wasaini makubaliano kuwalinda Watumiaji Huduma Sekta za Mawasiliano

    Taasisi ya The Foundation for Civil Society (FCS) wametia saini makubaliano ya miaka mitatu na Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA CCC), ya Katika kuhakikisha juhudi za kulinda haki za Watumiaji wa huduma katika Sekta ya Mawasiliano...
  17. Tanzania, Malawi na Msumbiji waingia makubaliano mto Ruvuma

    Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso waziri mwenyeji wa umoja wa nchi tatu zinazonufaika na Mto Ruvuma Tanzania, Malawi na Mozambique ameongeza Mkutano na Hafla ya utiaji saini hati ya makubaliano ya Usimamizi na Uendelezaji wa Rasilimali za maji za Mto Ruvuma kwa nchi za Tanzania, Malawi na Msumbiji...
  18. Tanzania na Visiwa vya Comoro zimesaini Hati nne za Makubaliano kwenye kilele cha Mkutano wa Kwanza wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC)

    Tanzania na Visiwa vya Comoro zimesaini Hati nne za Makubaliano kwenye kilele cha Mkutano wa Kwanza wa Tume ya Pamoja ya Ushirikiano (JPC) kati ya Tanzania na Comoro uliofanyika tarehe 24 Julai, 2024 jijini Dar es Salaam. Hati zilizosainiwa katika kikao hicho zinazojumuisha nyanja za...
  19. Chama cha Madaktari Tanzania (MAT): NHIF walikiuka makubaliano ya kamati ya kitita cha mafao cha mwaka 2023.

    MREJESHO WA KIKAO CHA DHARURA KATI YA NHIF NA CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA- MAT Utangulizi, Tunapenda kuwafahamisha madaktari nchi nzima kuwa mnamo tarehe 10/07/2024 tulipokea barua ya mwaliko kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya-NHIF yenye kumb.Na.EA35/269/01A/184,lengo kuu likiwa kufanya...
  20. Netanyahu aweka masharti, kwamba hatakubali makubaliano yoyote ambayo yatasimamisha vita kabisa

    Kwamba kila kinachojadiliwa lazima kihusishe malengo ya hivi vita vya kufanya usafi pale Gaza. Prime Minister Benjamin Netanyahu set out Israel’s redlines for a hostage and Gaza ceasefire deal ahead of a critical Doha summit on the matter Wednesday, which will be led by CIA Director William...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…