makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Bashungwa, Makonda Vijana wa Dola wanaoandaliwa Urais , wakataliwe na KANISA ,yoyote anayehubiri Uminywaji wa HAKI Kwa mgongo wa Aman, akataliwe !!

    Katika Jambo ambalo Dola inataka kuwachezea watanzania, ni kuwaandaa Hawa wahuni wawili kama possible successors wa Urais endapo Huu upuuzi wa Uchafuzi Mkuu 2025 wataendelea kuulazimisha Kwa Bunduki ,utekaji na mauaji uendelee kama ulivyopangwa !!. Dola ambayo ndio inayowaongoza CCM Kwa...
  2. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Makonda: Barabara Arusha ni ajenda ya kila kiongozi kuanzia ngazi ya mtaa

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema katika mkoa wake waliamua kuifanya ajenda ya barabara kuwa kipaumbele kuanzia kwa kiongozi ngazi ya chini hadi wa juu. Makonda ametoa kauli hiyo jana Jumamosi Aprili 26, 2025, wakati wa maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar...
  3. Martin Maranja Masese

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa, Makonda; Nyani na Ngedere

    Mchengerwa, Makonda; Nyani na Ngedere Hoja za ufisadi katika ujenzi wa miradi ya maendeleo Arusha iliyotolewa na Mrisho Gambo haitakiwi kujibiwa na Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa au Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda. Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo aliibua tuhuma za ufisadi matumizi...
  4. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Meya jiji la Arusha: Mrisho Gambo ndiye anayemchokoza Makonda, ni mgomvi kwa kila mtu

    “Si kwamba namtetea Makonda lakini katika sakata lao hili, Gambo ndie anaemchokoza Makonda, Gambo ana ugomvi na kila kiongozi anayekuja Arusha, alikuwa na ugomvi na viongozi waliopita wakina John Mongela, Kennani Kihongozi hata mimi hayuko sawa na mimi” Maximilian Iranqhe - MEYA JIJI LA ARUSHA...
  5. TheMaster

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge Gambo mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto

    Kitendo cha Makonda kuwa na tabia ya kumdhalilisha mbunge wa Arusha mara kwa mara mbele ya hadhira ni utoto na tabia za kike. Watoto ndo wanatabia za kusemana hadharani ili mmoja aonekane bora kuliko mwenzake Wanawake ndio wanatabia ya kuchambana mbele za watu ili kuaibishana Makonda ni mara...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha: Makonda ni Mnyamwezi wetu! Amebeba mizigo mingi; ushirikina, roho mbaya - vyote tumevuka!

    Mheshimiwa Maximilian Iranghe, amesema shughuli za maendeleo jijini zinaenda kwa kasi 💨 kutokana na usimamizi bora wa Mkuu wa Mkoa, Mhe. Paul Christian! Akihutubia kwenye maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano leo #26Aprili2025 huko Kilombero, Meya Iranghe ameeleza kuwa: "Makonda ni Mnyamwezi...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo Mrisho Gambo, kuomba kwako MSAMAHA unakiri kua Umetoa Taarifa za Uongo Bungeni zenye chuki na kisasi dhidi ya Makonda na Mchengerwa?.

    Duuhh Gambo Gambo Gambo !!
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kuna Nguvu Kubwa sana inayo/ itakayotumika Kumtetea Paul Makonda. Yeyote anayejaribu kuonyesha mapungufu yake, anashambuliwa Kila Kona!

    Angalieni, Kama ni Wizi kufanyika, Report ya CAG imejiweka wazi yenyeweee!!. Ila hatujawahi sikia Serikali imechukua Hatua yoyote Kwa Wahusika. Sasa angalia Maajabu, Majuzi hapa, Mbunge Mrisho Gambo, Kwa "Takwimu na shahidi" aliwekwa wazi namna gan Ujenzi wa jengo la utawala Arusha ,Kuna...
  9. NDOTO KAVU

    JamiiForums Tanzania Makonda acha tabia za kiherehere. Kugombanisha serikali na viongozi wa dini

    Wanandugu Nimemwona Makonda kwenye clip inayotembea huko mtandaoni. Kwa kweli inaonyesha kama amepatwa na kiwewe cha ajabu huu uchaguzi. Amepaniki kinyama kuonyesha dhahiri niwasisi wa haya maovu ya kuvunja haki za uchaguzi na nyinginezo. Ninavyojua makuhani wetu wa dini hawana mipaka kwenye...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Arusha: Viongozi wa dini waungana kumfanyia maombi RC Makonda

    Viongozi wa Dini kutoka madhehebu mbalimbali mkoani Arusha leo wameungana katika ibada maalum ya Ijumaa Kuu kumuombea Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda, kwa ajili ya uongozi wake na ustawi wa Mkoa wa Arusha. Ibada hiyo ya Pasaka – Ijumaa Kuu imefanyika katika viwanja vya...
  11. Just Pray

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Migogoro iliyopo inazungumzika tusisubiri tatizo likatokea, tukapiga kelele dunia ikajua, tunajiumiza kwa kutoonekana kuwa na hekima

    Wananchi wa Mtaa wa Longdong, Kata ya Sokoni 1 mkoani Arusha wamelalamikia ubovu wa kivuko eneo la Darajani. Wameeleza hayo leo Aprili 15, 2025 katika ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda aliyefika kuwasikiliza. Baada ya kusikiliza kero hiyo, Makonda ameahidi kufuatilia suala hilo kwa...
  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda: Kuna kakundi nimekapiga spana. Acha wakahangaike kuroga, mi sirogeki

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha mesisitiza kuwa hana woga wa vitisho wala hofu ya ushirikina, akisema wazi kuwa hata wale wanaojaribu kuloga hawawezi kumtikisa. Akizungumza kwa katika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) kwa Mkoa wa Arusha,, Makonda...
  13. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kumsikia MAKONDA akiongea Kiingereza

    1. Jiji la Arusha hupokea wageni wa Kimataifa mara kwa mara tofauti labda na Lindi au Rukwa hukoo. Ila sijawahi kumsikia Mheshimiwa akitema yai. Je huwa anawasiliana nao vipi pindi wageni wa Kimataifa wakifika Jijini Arusha? 2. Mwenye ushahidi (video clip) akiwa anaongea lugha tajwa aweke hapa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godbless Lema, tafuta shughuli nyingine ya kufanya Bro, Makonda ameharibu kabisa CV yako

    Nimekusikiliza kwenye mkutano wako wa kumshambulia RC Makonda pale Arusha, Bro, Makonda humuwezi, mitaani hata watoto wa shule waliweza kufanya uchambuzi kuhusu mkutano wako. Umepoteza kabisa mwelekeo, unaponda Makonda kufunga barabara kulisha watu nyama, wewe kipi ulichokifanya ukiwa mbunge...
  15. musicarlito

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda anapata wapi pesa za matamasha na shughuli kama za kulisha watu wote wa Arusha Nyama Choma?

    Wasalaam Bila shaka kama kusingekuwa na makandokando yanayosemwa au kutuhumiwa,pamoja na kauli yetu ya kukiri udhaifu.."binadamu hajakamilika"...lakini basi lau tukachukua katika mizania mtu kama mhe.Antony Mtaka angekuwa anafanya kazi hizi za Makonda...basi Mhe.Paul Makonda ni kiongozi bora...
  16. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: RC wa Arusha anatakiwa kuwa Mwenyekiti wa kamati za harusi. Anahangaika na matamasha badala ya kushughulika na maendeleo

    Ukisikiliza hii video ya Lema akimchana RC wa Chuga utacheka Hadi upasuke lakini ndio ukweli wenyewe. Maana Jamaa Yuko busy na makongamano kuliko kushughulikia Maendeleo. On top of that mda wote anagombana na Mbunge Kwa kugombania nafasi za Ubunge huku akiwaacha watu wa Arusha Wakiwa...
  17. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha; mkuu wa mkoa Paul Makonda afuturisha watu zaidi ya elf Tano (5,000) leo

    Maelf ya wakazi wa mkoa wa Arusha wakiwa kwenye futari.
  18. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Rais Samia ametuma timu ya wanasheria kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma timu ya wanasheria watakaokuwa Mkoani Arusha kwa siku kumi kuanzia Ijumaa Machi 28, 2025 kwaajili ya kusikiliza na kutatua migogoro ya kisheria kwa wananchi wa wilaya zote zinazounda Mkoa wa Arusha. Akimshukuru Rais Samia...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: RC Makonda anamtafuta huyu kijana baada ya kuguswa na mapito yake

    RC Makonda anamtafuta huyu kijana baada ya kuguswa na mapito yake, ambapo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram ameandika; "Maisha yako ya kila siku ni ndoto ya watu wengi sana mtaani. Nimefuatilia historia ya huyu kijana, si tu kwamba inaumiza bali ni uhalisia wa maisha ya vijana wengi, hasa...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda aomba mashindano ya Quran ya Alhikma yakafanyike Arusha, ahaidi usimamizi wa mambo yote utakuwa chini yake

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha ameomba Mashindano ya Quran Tukufu yakafanyike Mkoani humo mara baada ya Ramadhani na usimamizi wa mambo yote utakuwa chini yake yeye. Akitangaza kwa watanzania Shekh Kishki alimpongeza Mheshimiwa Makonda kwani toka kipindi alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar aliwaunga mkono...
Back
Top Bottom