makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. JamiiForums Tanzania Kubenea ashinda kesi dhidi ya Makonda. Alidaiwa kumtusi na kuhatarisha usalama

    Leo Mahakama ya Kisutu imempa ushindi Mbunge wa zamani wa Ubungo , Saed Kubenea dhidi ya Mwanaccm Paulo Makonda. Ikumbukwe kwamba Makonda akiwa na vyeo vya kuteuliwa alimshitaki Kubenea kwa kumtusi na kumhatarishia Maisha (YAANI ETI KUBENEA AHATARISHE MAISHA YA MAKONDA!) Kubenea alikuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Namwombea msamaha Paul Makonda, ni damu changa iliyozikwa mapema

    Mimi Makonda ni mdogo wangu kiumri na hata kiutumishi. Nilikuwepo wakati akihudumu kama mkuu wa mkoa wa Dar. Ni kijana shupavu asiyeyumba katika jambo analoliamini. Makonda alisaidia sana Jiji la Dar kuwa salama alikimbizana Sana na wauza madawa pamoja na waliotelekeza watoto. Alilimudu Jiji...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema, kama ni kweli Watumishi wanaodhibiti Wapinzani huteuliwa vyeo vikubwa mbona Makonda na Ole Sabaya hawajateuliwa?

    Nimekusikiliza mbunge mstaafu wa Arusha mjini mh Lema kule kwa Maria ukidai Watumishi wanaodhibiti Wapinzani huteuliwa vyeo vikubwa. Hii siyo kweli bwashee Lema. Mbona Makonda, Ole Sabaya, Mnyeti na hata Kasesela hawajateuliwa? Hata hivyo hongera kwa Mkoa wako kutoa viongozi wakuu wa Jeshi la...
  4. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Kesi inayomkabili Makonda iliyofunguliwa na Kubenea kutolewa leo

    Mahakama ya Kinondoni leo itatoa uamuzi wa mapingamizi yaliyowekwa na DPP ya kuzuia Kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka inayomkabili Paulo Makonda. Kesi hiyo Kabambe ambayo imefunguliwa na Mbunge wa zamani wa Ubungo Saed Kubenea imeamsha hisia za wananchi, huku wengi wakiitaka ipewe nafasi ya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Makonda alidhibiti wavuta shisha na huyu Amos Makalla ameshindwa kila kitu hata uhalifu wa vibaka

    SERIKALI IMESHINDWA KUTHIBITI SHISHA? Pamoja na serikali kupiga marufuku uvutaji wa Shisha, Jijini Dar es salaam biashara hiyo inazidi kuongezeka huku matamko ya serikali yakionekana kupuuzwa. Maeneo mengi ya starehe yameendelea kuuza Shisha bila kujali kuwa ni kinyume na sheria
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali inahangaika juu ya Panya Road wakati dawa yake ni Makonda

    Serikali inahangaika juu ya Panya road wakati dawa yake ipo. Kwanini msimchukue huyu jamaa awasaidie hiyo kazi ya kutimua hao panya road. Nmemaliza.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nadhani ni wakati muafaka kwa Vijana kama Makonda na Sabaya kurudishwa kwenye System

    Hawa vijana walifanya kazi nzuri katika Awamu ya Tano, kwa hali ilivyo bado wanahitajika kuweza kumsaidia Rais Mama Samia pia. Maana atakavyo endelea kucheka na watu ndio watakavyozidi kumuharibia na kuja kuonekana si kitu 2025. Hivyo ni bora hii miamba irudi kazini kurudisha heshima na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Sabaya kuachiwa Huru nashauri 'mnaoshadadia' kutwa kuwa Makonda nae akamatwe achaneni nalo kwani 'System' bado inawahitaji na inawakubali

    Kikubwa tutafuteni tu Hela za Kutunza Familia zetu ila Kuwashadadia akina Sabaya na Makonda kuwa Wafungwe Maisha au ikiwezekana Wanyongwe ili mfurahi na mridhike ni Kupoteza muda Wenu kwani hawa Watu 'System' iliwatumia huko nyuma na huenda hata Kuachiwa kwa huyu Sabaya Kuna 'Operation'...
  9. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM ampiga dodoki Paul Makonda

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Daniel Chongolo amesema aliyekua Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alifanya kazi kubwa wakati akiwa Mkuu wa mkoa ya kujenga Ofisi za Chama hicho Kinondoni na Kigamboni. “Ni lazima tutambue kuwa aliyekuwa Mkuu wetu wa Mkoa wa Dar es salaam (Paul...
  10. JamiiForums Tanzania Je, ni muda wa Makonda kuishi kana ilvyowahi kuelezwa na Hayati Magufuli?

    Nakumbuka hayati raisi John Pombe Magufuli aliwahi kusema kuna watumishi/viongozi waliokua wanaponda starehe kula bata waliokua wanaishi kama malaika wataishi kama mashetani kwenye awamu yake. Baada ya kifo chake awamu hii ya sita naona kijana...
  11. JamiiForums Tanzania Makonda akajisafishe mahakamani, he is a diplomatic embarrassment, nchi isibebe mzigo wa mtu huyu mmoja, Rais Samia fanya uamuzi mgumu

    Ndicho anachotaka USA, Makonda apelekwe mahakamani peleka stoo huyu mtu, mahusiano ya nchi yetu na USA ni muhimu kuliko huyu mtu mmoja asiye na faida yoyote. Juzi kanusa ziara ya mama kwenda kwa wabaya wake akaanza kujiliza liza Downgrading ya kidiplomasia inatokana na makonda, who is he...
  12. JamiiForums Tanzania WASAFI ya Diamond Platnumz wamemtupia virago Paul Makonda?

    Huyu ndugu alikuwa na vyeo vingi pale, ametupiwa virago? Hasikiki tena, Kuna wakati walimuimba eti ni baba yao
  13. JamiiForums Tanzania Sakata la Makonda limeonyesha wengi wetu hatupo tayari kwa utawala wa kisheria

    Nawasalimu kwa jina chama pendwa, CCM. Leo nami natumia haki yangu ya kikatiba kwa mujibu wa ibara ya 18 ya katiba ya JMT. Tangu jana mitandaoni suala kubwa lililoibuka ni aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar Ndugu Makonda kudai kuna vitisho dhidi ya maisha yake. Watu wengi sana wameongelea kuhusu...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mkuu wa mkoa wa zamani wa Dar es Salaam Paul Makonda

    Nakushauri vitu viwili tu muhimu sana,kwa haya yanayo endelea katika mitandao ya kijamii. 1.Mshauri mkeo wako kutojihusisha na mitandao ya kijamii kabisa...sababu kwa yanayoendelea katika mitandao yanaweza yakamletea matatizo na kumpelekea kufa kwa pressure ya hofu juu yako. Na kama alikupendea...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri Paul Makonda jinsi ya kukabiliana na changamoto anazopitia

    Nakushauri vitu viwili tu muhimu sana,kwa haya yanayo endelea katika mitandao ya kijamii. 1.Mshauri mkeo wako kutojihusisha na mitandao ya kijamii kabisa...sababu kwa yanayoendelea katika mitandao yanaweza yakamletea matatizo na kumpelekea kufa kwa pressure ya hofu juu yako. Na kama...
  16. JamiiForums Tanzania Makonda kughushi vyeti: Ni wakati muafaka kwa mamlaka kushughulikia madai haya

    Tuhuma kuhusu Paul Makonda kughushi vyeti vya elimu zilitajwa sana katika awamu ya tano wakati wa msako wa vyeti feki. Wakapululiwa watumishi walioghushi vyeti lakini Paul Makonda akaachwa licha ya tuhuma kuvurumushwa kila kona. Nakumbuka rais Magufuli alilazimika kujibu tuhuma zile kibabe...
  17. JamiiForums Tanzania Le Mutuz naye ampopoa Paul Makonda, amwambia dharau zimemponza

    ZE AKILI ZANGU ZA ASUBUHI LIVE! WARAKA WANGU LIVE KWA NDUGU YANGU MARKO: Nimeusoma kwa MASIKITIKO MAKUBWA SANA WARAKA WAKO WA Baadhi ya Makundi katika Jamii kutaka KUKUMALIZA NA HASA KUKUNYONGA....NINAANDIKA WARAKA huu KWA SABABU YA MY AMERICAN SPIRIT ni kwamba wewe ni Ndugu yangu sana...
  18. JamiiForums Tanzania Makonda, Ita MEDIA omba msamaha watanzania

    hello wanajukwaa, hapa naongea kama mtu wa "sayari ya 78" baada ya Britanica kukupa ushauri asubuhi kuhusu hali ya usalama wa maisha yako ulivyo, nami nakuomba sana na nakusihi sana mdogo wangu Makonda acha kabisa kuwaomba ushauri hao wazee wa chama unaohisi watakusaidia, mfano:leo umekutana...
  19. JamiiForums Tanzania Haji Manara: Paul Makonda alilazimisha kwa nguvu uteuzi Simba SC, Mo Dewji asilaumiwe hakuwa na namna

    Haji Manara ameendelea kuanika maovu ya Paul Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam, kupitia Instagram yake, Haji Manara amesema haya kuhusu Paul Makonda kulazimisha uteuzi katika Klabu ya Simba. Ukalazimisha uteuzi Simba kwa nguvu, ktk hili MO alikuwa hana namna asilaumiwe, angefanyaje...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanangu Makonda, tulia kama tulivyotulia... Vumilia kama tulivyovumilia

    Kimbelembele changu kiliwahi kuniponza. Niliwahi kwenda ofisini kwa Paul Makonda, alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo. Mazungumzo yenyewe yalitakiwa na yeye mwenyewe katika kujipanga na kujidai kwake kichama na kiserikali. Katika timu iliyokwenda ofisini kwake siku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…