makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. M

    Makonda utaacha lini kutumia jina la Rais ili kukidhi matakwa yako binafsi ya kisiasa?

    Naandika nikiwa na mshangao mkubwa. Makonda ulianzisha sintofahamu nchini kwa kusimama mbele ya hadhara ya nchi na kulitangazia Taifa kuwa Rais anatukanwa mitandaoni, na wanaomtukana rais ni wateule wake yeye mwenyewe wakiwemo mawaziri wake. Kitendo hicho peke yake kikamdhalilisha sana rais...
  2. Yoda

    Makonda ni tatizo ila mfumo wake unakubalika na wengi waliochoshwa na ubabaishaji

    Nafikiri wengi tunakubaliana kwamba utoaji wa huduma za umma za watumishi katika sekta na maeneo mbalimbali una urasomu uliopitiliza, changamoto na usumbufu mkubwa sana. Kuna aina fulani ya uvivu, uzembe, wizi wa mali za umma na mazoea ambapo imekuwa kama utamaduni sasa katika watumishi wa...
  3. U

    Rais Samia nashauri mteue Makonda Uwaziri Mambo ya Ndani. Ni jasiri na ndiye mrithi wa Sokoine aliyejitoa sadaka kuwatumikia Watanzania

    Wadau hamjamboni nyote? Mheshimiwa Rais nashauri Mteue Paul Makonda awe Wazara ya mambo ya ndani ya nchi Ni aina ya Kiongozi mjasiri sana, asiye na hofu kutamka ukweli hadharani bila unafiki, anayechukia uonevu, rushwa, ufisadi, kutokuwajibika, uzembe na matumizi mabaya ya madaraka. Ni aina...
  4. Mhafidhina07

    RC Makonda anaishi katika ulimwengu wa pekee katika dunia hii

    Aminini Aminini nawaambieni. Mwenye macho halazimishwi kuona ikiwa atakaza fuvu basi hamtaweza kuona kile mnachoambizana,na kwanini tusisemezane kwa mazuri na tukayasahau mabaya yote? Mbora wenu zaidi ni yule mwenye kusamehe. Mh PAUL MAKONDA ni zao la kikwete limestawi katika bustani ya...
  5. S

    CCM ninayoijua siyo hii. Kamati ya Maadili ya CCM iko wapi?

    Hivi iko wapi ile Kamati ya maadili ya ccm iliyowahi kuwachukulia hatua kali akina Sophia Simba (akiwa mwenyekiti wa UWT taifa), Msambatavangu (akiwa mwenyekiti UWT mkoa wa Iringa), na iliyowapa kalipio kali mkatibu wakuu wastaafu wa ccm taifa, Abdulrahman Kinana na mzee Yusufu Makamba...
  6. C

    RC Makonda yupo na ataendelea kuwepo sana maana hakuna wa kumtumbua na baada ya uchaguzi mkuu atakuwa Waziri Mkuu au Waziri wa Ulinzi

    Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi. Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala...
  7. mchawi wa kusini

    Natabiri Paul Makonda atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2030

    Habari Wana JF Nisipende kuzunguka Sana Ni Kwamba PAUL MAKONDA anaenda Kuwa Raisi Wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania mwaka 2030 tuombeni uhai Ukweli Ni kwamba Paul makonda anapitia wakati mgumu sana ila huwa anakuwa na uvumilivu wa Kuyabeba wengi Wenu Mnamchukia sana Huyu Mwamba naamini Mungu...
  8. mdukuzi

    Kuna siku Makonda atamvua nguo Rais Samia

    Asipodhibitiwa kuna siku Makonda atafanya tukio au ataropoka kitu ambacho kitamvunjia heshima Rais wetu jjambo ambalo litamdhalilisha Rais na kujutia uamuzi wake wa kumrudisha mjini mtu asiye na staha
  9. M

    Ziara za Makonda hazina tena mvuto, asubiri hatma yake sasa

    Wakuu, Ziara za Makonda hazina tena mvuto na hakuna chombo kinachoripoti, ndio ajue kuna nguvu zaidi yake. Ni wakati sasa atulie aache kuzalisha migogoro na uchonganishi kwenye taasis za serikali
  10. Erythrocyte

    Umoja wa wanawake CCM wasikitishwa na udhalilishaji wa Makonda, watoa tamko

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Marry Chatanda ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alichokiita unyanyasaji na udhalilishaji wa watendaji wanawake kwenye maeneo yao ya kazi. Chatanda ameyasema hayo leo Jumamosi, Mei 25, 2024 jijini Dodoma...
  11. K

    Staili ya Makonda katika ziara yake inatakiwa kukemewa

    Nimefanikiwa kuona clip ya mkutano wa Makonda katika Wilaya ya Longido kwenye Shule ya Wasichana wa Mama Samia. Kwanza nimpongeze Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo kwa taarifa nzuri na matumizi mazuri ya fedha katika ujenzi wa shule hiyo. Staili ya Makonda katika ziara yake inatakiwa kukemewa...
  12. B

    Kwenye hili namtetea RC Makonda, hajafanya udhalilishaji

    Hakuna Mahali alipomdhalilisha Mtu kwenye ule mkutano wa Wanakamati wa Halmashauri na Wananchi Mkoani Manyara Longido. Akichoongea RC Makonda ndio maneno ya kawaida tunayotumia watu wengi na yamezoeleka sana wakati unapotaka kusisitiza Jambo na halijawahi kuwa Udhaliliashaji kwenye lugha na...
  13. F

    Makonda aondolewe kwa udhalilishaji wa wanawake. Amewadhalilisha wanawake na rais wetu pia

    Kitendo cha mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda kumdhalilisha afisa wa serikali mwanamke huko Longido mkoani Arusha hakikubaliki. Makonda akimhoji mtumishi huyo alisikika kumwambia mbele ya hadhara kuwa asiongee kama vile anaposwa na kwamba yeye (Makonda) ana mke mzuri nyumbani. Kitendo hicho...
  14. M

    Nilikua namuunga mkono Makonda. Kwa kumdhalilisha mke wa jamaa yangu jana sasa najitoa rasmi, aendelee na kiburi chake na hatokuja kuwa rais wa nchi

    Wakuu, Yule muhandisi ni shemeji yangu kabisa na ana watoto 3. Yule ni mtu mpole sana na ana hekima kuliko kawaida. Makonda kusema ana mke mzuri kuliko shemeji yangu, ajue na sisi tuna wake wazuri kuliko mke wake. Wakati anamlilia Kajala hadi akazidiwa na Harmo mke wake alikua mbaya? Sasa...
  15. BARD AI

    LHRC yamuonya Makonda kwa kumdhalilisha Mtumishi wa Kike mbele ya Umati wa Wananchi

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa taarifa ya Onyo kwa Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda baada ya kuonekana kwenye Video akitoa kauli za udhalilishaji dhidi Mtumishi wa Kike kutoka Longido Akitoa taarifa hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC, Dkt. Anna Henga, amesema ""Tumepokea...
  16. R

    Makonda anataka apange safu yake Arusha. Rais amempoteza

    Unapokuwa kiongozi unayemtumia vyombo vya habari kudhalilisha watumishi wa umma unakuwa umemdhalilisha hata aliyekuteua. Kinachotokea Arusha ni kumkwamisha Mhe. Rais, kwa sasa watumishi walio wengi wameweka mgomo. Kila analoelekeza hakuna anayelitekeleza badala yake wanasubiri aondoke na kamera...
  17. Erythrocyte

    Adhalilishwa kwenye ziara ya Makonda, aambiwa "Usiongee na mimi hivyo, nina mke mzuri"

    Hivi ndivyo watendaji wanavyodhalilishwa kwenye ziara za hawa wanaoitwa Wateule wa Rais Bila shaka huu ndio utatuaji mpya wa kero
  18. Cute Wife

    Makonda ashtakiwe kwa udhalilishaji alioufanya kwa mwanakamati huyu

    Akiwa kwenye ziara yake Longido, Makonda kama kawaida yake akiwa anatatua kero za wananchi, kamati hii ilihojiwa sababu ya ujenzi wa shule kusuasua. Wakati mwanakamati huyo anajieleza Makonda alimwamvia haongei na mchumba wakw bali wananchi, nina mke mzuri nyumbani! Kwamba alokuwa anaongea kwa...
  19. Wimbo

    RC Makonda anawatesa sana wapinzani wake

    Kila wakidhani umeisha ndo unafufuka upya, kule kulitaja jina la Mungu wako kila siku linakupa ulinzi na maono ya kesho yako. Unawatesa sana wapinzani wako mind you wapinzani wako siyo kutoka vyama vya upinzani wako ndani ya nyumba, kwa jinsi unavyopenya na kujibu shida za wale unaowaongoza...
  20. Jaji Mfawidhi

    Askofu Dkt. Philemon Mollel: Kuteuliwa kwa Makonda ni fursa kwa wakazi wa Arusha kutatuliwa kero zao

    Askofu Dkt. Philemon Mollel (Monaban) , ambaye pia ni kada wa CCM, mfadhili mkuu wa CCM Arusha, anayejiita mtu wa kiroho, wa Kanisa la Kilutheri Afrika Mashariki[Aliasi kutoka KKKT akafungua Kanisa lake la KKTA] amesema kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Back
Top Bottom