makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Desierto

    JamiiForums Tanzania Makonda wa Arusha ruti ya Kilombero kwenda Kiseriani Madukani wanaibia abiria nauli

    Hii ni kero ya watu wengi nimeamua kuiweka hapa ili wahusika wachukuliwe hatua, Kwanza kabisa kwenye mwezi wa tano hawa jamaa wa haisi walikuwa hawafiki mwisho wa ruti kwa zaidi ya miaka miwili walikuwa wanaishia relini yaani kuna kama km4 hivi ndo ufike kiseriani mafukani, ambapo nauli ilikuwa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa ndiye Paul Christian Makonda mwamba wa Kaskazini

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiangalia picha hii ya Leo ya Mheshimiwa Omar Mchengerwa Waziri wa TAMISEMI akiwa pamoja na Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara namna walivyo tabasamu na kujawa na furaha katika nyuso zao inafika wakati unasema kuwa Mungu ni...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Miezi mitatu kabla ya kuandamana Wenyeviti wa vijiji 80 vya Ngorongoro walikwenda kumsihi RC Makonda awarudishie huduma za kijamii

    Wamaasai waliibembeleza sana serikali kabla hawajaamua kuandamana. Hapa chini kuna video ya wenyeviti wa vijiji waliokwenda kumuomba RC Makonda awarudishie huduma za kijamii katika maeneo yao. Bila shaka viongozi hao wa wananchi hawakusikilizwa, na matokeo yake ni maandamano makubwa...
  4. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania Dereva aliyetajwa na Makonda kufanya uhalifu afikishwe kwenye vyombo vya sheria

    Nimeona clip ikisambaa mitandaoni inayomwonyesha aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mheshimiwa Paul Makonda akimtuhumu mmoja wa aliyewahi kuwa msaidizi wake kuwa alikua akichukua gari na kwenda kupora kwenye biashara za watu. Kwa kuwa uporaji ni jinai na jinai haifi ni wakati muafaka...
  5. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Oktoba 2024 tuna maonesho ya Landcruiser, Range na Landrover 1000

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema mwezi Oktoba mwaka huu kutakuwa na maonesho ya magari yatakayovunja rekodi ya Guiness iliyowekwa na Ujerumani kwa kuwa na magari aina ya Land Rover 613 kwa wakati mmoja, ambapo kwa mkoa wa Arusha unaenda kuwa na magari aina ya Land Rover 1,000 kwa...
  6. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania RC Makonda aandaa sherehe Arusha. Anatarajiwa kuchinja ng'ombe 200

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema ng’ombe takribani 200 watatolewa kwa ajili ya kuchoma nyama, tukio linalolenga kuimarisha uhusiano kati ya wafanyabiashara wa mkoa huo na viongozi wanaoshiriki kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Umma. “Ng’ombe kama 200 hivi...
  7. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda - hisia zetu ni kutaka sasa urithi mikoba ya Ndungulile (Ubunge)

    Sisi tunakuombea Tutakusapoti Tutakulinda
  8. N

    JamiiForums Tanzania Vunja mifupa ngumu bado meno ipo, Makonda sasa umekwiva

    Nimesikiliza kwa makini hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda. Hakika ana mabadiliko makubwa sana na amezungumza kwa weledi. Amejitahidi kuelezea na kuangazia maswala ya kiuchumi na miradi ya maendeleo inayoendelea Arusha kwa Sasa. Ameongea kiume na kwa haiba ya uongozi na hakika ana...
  9. tpaul

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Makonda Waziri Mkuu 2025-2030

    Naingia kwenye mada kwa ufupi. Hakuna haja ya maelezo marefu wakati kila kitu kiko wazi. Siku zote sio lazima umuombe adui yako njaa ili wewe ufanikiwe. Kuna wakati unaweza kumuombea njaa ukaumia wewe mwenyewe na ukamuombea shibe ukanufaika. Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya mpinzani...
  10. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Makonda: Moja ya sifa niliyonayo ni kusimamia haki na ukweli, sitashiriki kukandamiza haki ya mtu

    Pia soma: Makonda, Lukuvi pamoja na Kabudi walekea ziarani Ngorongoro Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesisitiza kuwa hatashiriki kukandamiza haki ya mtu mahala popote pale atakapokuwa, huku akikumbusha kuwa nafasi wanazopata viongozi ni upendeleo wa Mungu. Pia soma: Rais Samia Aagiza...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    MAKONDA AAINISHA MPANGO KAZI WA VIPENGELE SITA: LETS MAKE ARUSHA GREAT AGAIN! April 8, 2024 Arusha ⦁ Mapokezi yamenitia moyo wa kuwa mtumishi mwema na mtetezi wa wanyonge. Kamwe sitaungana na fisadi kukandamiza haki zenu, nitakuwa sauti yenu mpaka ukamilifu wa dahali ⦁ Nawashukuru kwa...
  12. Dr James G

    JamiiForums Tanzania Paul Christian Makonda (PCM) ndo kijana mwenye Akili zaidi ya siasa za Tanzania kwa kizazi hiki.

    Kuweka kumbukumbu sawa akiwa miongoni mwa wabunge kwenyr bunge la katiba awamu ya Jk ,Makonda alipongeza uwezo wa Samia Suluhu Sahan kusimamia bunge la katiba kama naibu spika.lakin pia aliona maona na kuyasema nanukui ikipenda uko mbeleni huyu mama aje awe makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Lukuvi ( Bunge), Prof Kabudi ( Katiba) na Makonda ( Utawala Bora) kunaifanya CCM kukamilika Idara zote kuelekea 2025

    Kama unabisha shauri Yako. Hapo anasubiriwa Dr Bashiru na Komredi Polepole kutusukia Ilani ya Ushindi wa kishindo. Kwa kifupi Kazi imeisha Siasa ni Sayansi 😂😂 Pale Bungeni ndugu Lukuvi ataweka kila kitu sawa. Huku kwa akina Mwabukusi na Matata sasa watakutana na nguli mwenyewe wa Katiba Prof...
  14. Reowned

    JamiiForums Tanzania Amewekewa sumu amewekewa sumu Kiko wapi? Kwa Makonda mtanyooka

    Amewekewa sumu amewekewa sumu Kiko wapi? Huyu Paul christian Makonda ni Rais ajae! Kama hutaki peleka uwendawazimu wako Burundi, Rwanda, zimbambwe, chad, mali, nigeria, kenya, gambia and all other failed states. Ukisikia bendera chuma mringoti chuma kamba chuma upepo chuma udongo chuma...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Bananga: Jana nimeongea na Makonda sasa yupo Arusha, amemaliza likizo yake

    Katibu wa Siasa na Uenezi mkoa wa Dar es salaam, Binamubananga amesema amezungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda na sasa amerejea Arusha baada ya kumaliza likizo yake. Hii inakuja baada ya maswali mengi kuzuka mitandaoni kumuhusu mkuu huyo wa Mkoa kuwa kimya sana tofauti na watu wakiwa...
  16. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Duru: Feleshi ndiye CJ ajaye

    '".... Profesa amekuwa akiomba mda mrefu apumzike lakini Boss lady alikuwa akikuna kichwa amweke nani pale. Sasa yeye na watu wake wa sheria naona waliamua wamwondoe kuwa AG na wamrejeshe Mahakama ili baadae kidogo amteua kuwa CJ." Duru ndani ya corridor za white house.
  17. USSR

    JamiiForums Tanzania Makonda amerejea baada ya likizo

    Makonda amerejea baada ya likizo ya kiutumishi kwa mujibu wa sheria. Waliosema kada watakufa wao kabla yake ila awe makini USSR
  18. comte

    JamiiForums Tanzania Uvumi wa Makonda kulishwa sumu na Gambo ni siasa chafu Lema

    Akaunti ya X zamani Twitter yenye jina la Tanzania Leaks ni ya MH. Godbless Lema mbunge wa zamani wa Arusha. Mwaka 2020 Lema alipoteza jimbo hilo na bado anaamini Arusha ni yeye na yeye ni Arusha. Uvumi wa Makonda na kuhusishwa kwa Gambo kuwa alimpa Makonda sumu ni mchezo mchafu wa kisiasa na...
  19. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Makonda Paul - 2030 tunapenda uwe Rais. Kubali sisi tunakuombea na kukupa sapoti

    Huenda hii siyo ndoto yako lkn naleta kwako mawazo YANGU. Kila unaposimama unaonekana Kila unalofanya linaonekana Kila kijiwe na senta jina lako limekaa kwa vichwani mwa watu Amini, watakalo watu ni Sheria
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kutojua Makonda yuko wapi na Hali gani, Hatuna Vyombo vya habari vya Kiuchunguzi

    Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda. Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi. Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania...
Back
Top Bottom