makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Nyendo

    PreGE2025 Gambo: Mkuu wa Wilaya asinichokonoe, ameshindwa kuwasimamia Wataalamu, aache kumsingizia Mbunge

    Gambo amuonya Mkuu wa wilaya mbele ya Makonda, asema ameshindwa kazi Kuna kiongozi mmoja, alisema eti mambo hayaendi kwasababu ya mgogogro wa mbunge, Baraza la Madiwani na Wataalamu, haya mlioyaona kuna sehemu mbunge anaingia hapo? Mkuu wa Mkoa kwa kuridhika na kazi yako nimetulia naomba...
  2. BARD AI

    Akina Makonda Wanatulazimisha Tuendelee Kutafakari Nafasi za Wakuu wa Wilaya, Mikoa: Tunawahitaji Kweli?

    Watanzania hawawahitaji wakuu wa mikoa na wilaya, na walilisema hili hadharani wakati Tume ya Mabadiliko ya Katiba, maarufu kama Tume ya Warioba, ilipotembea nchi nzima kwa ajili ya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu mfumo wa kiutawala wanaoutaka, na tume hiyo ikayaheshimu mawazo hayo kwa...
  3. Chakaza

    Kama CCM imeshindwa na Makonda kaweza, CCM ya Nini tena?

    Nimeona madudu yanayoibuliwa na Makonda na kushangiliwa sana na watu wa CCM wakiona kama Makonda ndiye CCM na taasisi na wengine wote ni Chauma au UDP. Labda niwakumbushe watu wa Arusha, haya anayo yaibua Makonda ndiyo madhaifu ya serikali ya CCM. Rushwa, ubadhilifu, kunyima haki raia, matumizi...
  4. Shining Light

    Makonda suspends health officials over embezzlement allegations in Arusha

    In a public meeting on May 28, 2024, Makonda expressed surprise and concern over their continued presence in office. Arusha DC Director Selemani Msumi confirmed that the matter is now with security agencies, and Human Resources Officer Elizabeth Ngobei stated that the suspension letters had...
  5. BARD AI

    Is Makonda imagining an unthinkable future for Tanzania?

    𝗣𝗥𝗘𝗦𝗜𝗗𝗘𝗡𝗧 𝗣𝗔𝗨𝗟 𝗠𝗔𝗞𝗢𝗡𝗗𝗔? ◾It's almost laughable to fathom the thought that the abrasive and pseudo-populist Arusha Regional Commissioner could even be considered as a future President of Tanzania ◾A chequered past, questionable education background, authoritarian streak and unhinged personality...
  6. Cute Wife

    Wakili huyu angekuwa ndio anahojiwa na Makonda angeloa kejeri na udhalilishaji!

    Hapo na Wakili wa Makonda anayetakiwa kuwatetea na wananchi kutokana na dhuluma mbalimbali akisoma hukumu ya kesi nadhani. Huyu bwana ndio angekuwa anahojiwa na makonda angeitwa hajasoma, anaongea vibaya, anabana pua kama anaongea na mke wake, mwishowe amtengeu, ila sababu yuko upande wake kila...
  7. chiembe

    Sikiliza English ya wakili aliyekuwa mkutanoni na Makonda

    Haya mambo haya, Bashite kapelekwa chaka na wana chuga, kapelekewa wakili feki mkutanoni. Wakili huyo alikuwa anaongea kama kameza bakuli la bamia mdomoni. Kingereza cha wakili huyo ni sawa na mboga ya mlenda jinsi inavyovutika. Huyu atakuwa partner wa Madeleka kwenye kampuni yao ya uwakili...
  8. Kabende Msakila

    Sitamani Ukuu wa Mkoa - ikitokea nikawa basi ukali wangu ni zaidi ya Paul Makonda

    Rais hakukosea kumteua Paul Makonda. Wengi wa wanaomchukia Makonda ni wale waliozoea blabla, shingwini shingwini na kona kona. * Makonda akiagiza Ofisa kupaza sauti kwenye kisemeo - waovu eti ananyanyasa! * Makonda akisimamisha watumishi kwa tuhuma kadhaa ili wapishe uchunguzi - waovu eti haki...
  9. Erythrocyte

    PreGE2025 Makonda adai kuwindwa na Watu 8

    Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda. Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini. Ujumbe wake huu hapa --- Nimepata taarifa hapa ya raia mwema tu kanitumia ujumbe ananiambia Mheshimiwa maliza mkutano usiku...
  10. T

    Makonda ampandisha cheo Afisa Mtendaji kuwa msaidizi wa Mkuu wa Mkoa kwa kufuatilia vizuri matatizo ya wananchi

    Habari wakuu, RC Makonda leo kampandisha cheo afisa mtendaji kuwa msaidizi wa mkuu wa mkoa papo hapo baada ya kumona anajua na kuelezea vizuri kero za wananchi wake Afisa kala shavu ofisi ya mkuu wa mkoa, na kesho ana ripoti ofisi ya mkuu wa mkoa. Swali langu atafanya kazi kama nani pale na...
  11. utukufu mwanjisi

    Wakuu wa Mikoa wote wangefanya kama anachofanya Makonda tungekuwa mbali

    Tumsifu Yesu Kristo. Wakuu leo nipo kuwakumbusha ya kuwa utendaji anaofanya makonda kwenye ziara zake ndio unaotakiwa kwenye nchi kama hii, kuna watu watabishia hili kwasababu hawajawah kukutana na kadhia ya watendaji wa serikali kwenye maofisi. Wengine hawajawah kufanya kazi za tender...
  12. Mjanja M1

    Kauli Tata za Makonda wa daladala

    Kauli ipi ilikishangaza toka kwa Kondakta wa Daladala?
  13. Kitchener

    RC Makonda na Mwanasheria wa Arusha wameshirikiana kumdhalilisha huyu mama

    Huu ni udhalilishaji, na wakili wa TLS ameshirikiana na Makonda kudhalilisha huyu mama. Wanasheria wa Halmashauri hawaendi Mahakamani, kwa mujibu wake, kwa sasa Ofisi ya wakili mkuu iliyopo DSM ndio wanafanya hiyo kazi. Yeye anasema walishawaandikia ofisi ya Wakili Mkuu kuchukua hatua hizo...
  14. Mzalendo Uchwara

    Wengi wanamshambulia Makonda kwa mihemko na chuki, hawana hoja

    Kuna watu wanamchukia mno Makonda, ndani mpaka nje ya chama. Labda ni kutokana na mambo yaliyotokea awamu ya 5. Chuki hii inawapofusha na kuwapumbaza watu. Inapelekea Makonda hata akifanya kitu kidogo tu basi makelele yanakuwa mengi, lakini wengi wao wanafanya hivyo kwa hisia na mihemko tu...
  15. Suley2019

    Makonda akasirika na kuvunja mkutano

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda, amevunja mkutano kufuatia madai ya Injinia mmoja wilayani Monduli kuidai wilaya hiyo jambo lililofanya aumwe moyo na kufanyiwa oparesheni mara kadhaa.
  16. Comrade Ally Maftah

    Paul Makonda ni mwamba kweli kweli

    KAZI ANAZOFANYA MAKONDA, WAZALENDO TUWE TUKIMUOMBEA SANA, Kila nikitazama ujasli na weredi wa Mh Paul Makonda napata faraja kubwa sana, nimefurahishwa na kauli yake akisema hatoyumbishwa, wahuni wanaomyumbisha ni kama wanambembeleza akiwa usingizini au akiwa kwenye chumba cha masage. Iko hivi...
  17. masopakyindi

    Puto la Makonda linakaribia kupasuka?

    Makonda katukana na kumdhalilisha mtumishi wa umma. LHRC chombo cha haki za kibinadami, UWT umoja wa wanawake CCM wameshamkosoa Makonda. Makonda kiburi na ego vinamuendesha. Yeye anasema walikuwa wapi wakati mama Samia anadhalilishwa! Kwahiyo tuseme breki ya Makonda ni mama Samia. Makonda...
  18. M

    Paul Makonda ndiye Mkuu wa Mkoa anayependwa zaidi kuliko Wakuu wote wa Mikoa kwa sasa

    Nawashauri sana viongozi wa serikali, mimi ninaishi Songea, ninasoma mitandao ya kijamii lakini nasikiliza maoni ya watu mitaani, vijiweni na hata kwenye viwanja vya mpira. Paul Makonda anapendwa sana kwa namna anavyotumia kipawa chake kutatua kero za wananchi, kwa namna anavyosikiliza na...
  19. instagramer

    RC Makonda anafanya lile Watanzania Tunataka. Wanaomchukia ukiwauliza hata sababu hawana wamerithishwa chuki

    WanaBodi.. Kwa wale tunaofatilia siasa za nchi hii kwa ukaribu naamini tunamfatilia na Makonda katika hatua zake zote za uongozi. Anachokifanya Makonda kwa Sasa toka amerudishwa kwenye ulingo wa uongozi Wa kisiasa ndio kile kile ambacho Watanzania waliowengi ambao ni Masikini waliokata tamaa...
  20. Jaji Mfawidhi

    Makonda ni "Narcissistic chauvinism?

    Kwa kauliza makonda dhidi ya Wanawake na kusema mke wake ni mzuri kuliko yule dada mpaka dada wa watu akapata trauma, ile ni tabia hii tunayo jadoli hapa? Narcissism: Hii ni sifa ya kupendezwa kupita kiasi au kujipenda mwenyewe na sura ya mtu. Wataalamu wa narcissists mara nyingi wana hisia...
Back
Top Bottom