Mapema jana Ijumaa jumla ya Makombora saba yalirushwa na kufanikiwa kuingia ndani ya ubalozi wa Marekani nchini Iraq.
Ubalozi huo daima huwa unalindwa na mifumo mbali mbali ya ulinzi ambayo imewekwa kwenye hali ya tahadhari, hata hivyo hikuwezekana kuyazuia makombora hayo kutua ndani ya ubalozi...
Wanaukumbi.
BREAKING - OFFICIAL STATEMENT BY YEMEN'S HOUTHIS: BALLISTIC MISSILES LAUNCHED AT ISRAEL
"With the help of God Almighty, the missile force of the Yemeni Armed Forces launched a batch of ballistic missiles at military targets of the Israeli entity in the Umm al-Rashrash area, south...
Pentagon imekiri meli yake ya kivita iitwayo USS Carney imepigwa kwa makombora kwenye bahari nyekundu.Vipigo hivyo vimehusishwa na vita vya Israel huko Gaza na kwamba meli nyengine za kibiashara zinazohusishwa na Israel nazo pia zimeshambuliwa.
Bado haijawekwa wazi kiwango cha hasara na nani...
Wanamgambo wa Houth baada ya kuteka meli yenye inayomilikiwa na kupeperusha bendera ya Israel bado haikukomea hapo kwani juzi kwa mara nyengine walirusha makombora kuelekea Israel.
Kwa bahati mlinzi wa Israel ameweka meli yake ya kivita ya kisasa kwenye bahari nyekundu ambayo ilifanikiwa...
Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimetangaza kuwa, wakazi wa miji na vitongoji vya walowezi wa Kizayuni vilivyoko kwenye mpaka wa Lebanon wanakimbia kwa umati kwa namna ambayo haijawahi kutokea katika historia ya Israel sambamba na kuendelea Hizbullah ya Lebanon kuyapiga kwa...
Hapo Jana usiku Hezbullah na HAMAS walifanya mashambulizi ya rocket na makombora,na kwa asilimia kubwa yakapiga makazi ya miji kadhaa ya Israel kama vile Ashdod,Tel aviv na kwingineko huku mfumo wa Ulinzi wa kuzuia makombora ikishindwa kuinterrcept na baadala yake ikawa inayasamabaza kwa...
Waasi wa kundi la Houthi wanaoungwa mkono na Iran nchini Yemen walitoa video ya kile walichokisema kuwa ni kurusha makombora ya balestiki katika Israel.
Msemaji wa jeshi la Houthi Brigedia Yahya Saree, alidai kurusha makombora ya balestiki na ndege zisizo na rubani dhidi ya Israel, akisema hiyo...
Mji wa Gaza unarekodiwa masaa 24, kwenye mida ya 18:59 live footage ilionyesha Hamas wameanza kurusha Makombora kuelekea Israel lakini moja ya kombora likapata hitilafu (misfire) likadondoka kwa kishindo kwenye Hospitali ya Al-Mamamani na kusababisha mlipuko, Baada ya dakika 11 (19:10) Hamas...
Iron Dome ni mfumo wa ulinzi wa kisasa wa anga ambao ni bora na mathubuti kwa dunia ya leo uliotengenezwa na Israel kwa msaada kiasi kutoka Marekani kwa lengo la kulinda dhidi ya makombora yaliyofyatuliwa kutoka kwenye maeneo ya adui.
Mfumo huu ulianza kutumika rasmi mwaka 2011 na umekuwa...
Wamediriki na wamefanya....jeshi lao liko mpakani na Belarus, Putin alibwatuka mikwara na vilio ila ndio hivyo ashakua mzee wa kupuuzwa....
POLAND has sent troops to their border with Belarus to face off the growing threat of Wagner forces amassing on the Nato nation's eastern flank.
Vladimir...
Makombora Ya Ulinzi Wa Anga Yanayorushwa kwa Mabega ya Ukraine "Manpads" Yaipuki Mifumo Ya Urusi"S-300/S-400" Kwenye Uwanja Wa Vita.Yadungua ndege , helicopters na makombora mengi zaidi.
https://eurasiantimes.com/new-ukraines-cheap-missile-outperforms-worlds-best-s-400/?amp
Bora sasa tuanze ku-balance stories, nipige nikupige, Warusi nao wahisi jinsi palivyo patamu....
Five people were wounded by overnight shelling in the western Russian town of Shebekino, in the Belgorod region, that damaged multiple buildings, the governor of the region has said this morning...
Juzi kati hapa nakumbuka genge la Ukraine lilisema limedungua makombora yote ya Urusi na hayajaleta madhara yeyote.
Baadae waziri wa ulinzi wa Urusi akasema sio tu hayajadunguliwa lakini pia waliuchakaza kwa hypersonic missiles mfumo wa patriot uliopo Ukraine.
Je, ni lini Genge la Ukraine...
Tuliwaambia Ukraine bado hawajapewa silaha za maana, na mpaka sasa kwa kidogo walichopewa wamefaulu kuilemaza Urusi, yaani Magharibi wanaachia aina moja moja ya silaha. Sasa hapa kuna hii Storm shadow imeanza kuchakaza.
========
Storm Shadow missiles from UK 'now being used to strike Russian...
Wiki iliyopita Ukraine walidai kuwa wamefanikiwa kuangamiza kombora la urusi (hypersonic missile), lakini baadaye ikaonekana kuwa siyo. Na leo mji mkuu wa ukraine ulishambuliwa vibaya na ukraine ikadai imetungua makombora 6 (hypersonic missile) ya urusi kwa kutumia Patriot air defense ya...
Kumekuwepo na vuta nikuvute juu ya mashambulizi makubwa yaliyofanywe na Urusi hapo jana kwenye mji mkuu wa kyiv. Wakati Ukraine ikisema imetungua makombora yote 18 yaliyorushwa jijini hapo,6 kati yao yakiwa ni Kinzha Hypersoni na kwamba ni watu 3 tu waliojeruhiwa na gari moja kuungua kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.