makombora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Marekani yakiri kutuma makombora maalumu ya kutungua rada Ukraine

    Makombora haya ni hususi kabisa kwa ajili ya kusambaratisha rada yoyote ilipo umbali wa km150, haya makombora yanafuata frequency za rada, hata kama rada hiyo imezimwa kuna ,technology imedizainiwa kuditect popote rada ilipo na kulenga kwa usahihi. Hii itawapa nafasi zaid Ukraine kusonga mbele...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ndiyo maana Zelensky amelalamika sana!! Kumbe Makamanda wake walikuwa kwenye kikao na wauzaji wa vifaa vya kijeshi, makombora ya Urusi yakawaangamiza!

    Russia comments on deadly strike on Ukrainian city Moscow said it targeted a meeting of Kiev's military commanders with foreign arms suppliers in central Vinnitsa. Russia attacked the House of Military Officers in Vinnitsa with sea-launched Kalibr cruise missiles, the Defense Ministry said on...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mmeshamaliza hesabu zenu sasa tulieni Wanamume wamalize na Makombora yao Matatu tu Matakatifu

    Tofauti yenu Mazuzu na Sisi Werevu ni kwamba nyie (Mazuzu) mnasajili Kimihemko na kwa Kukurupuka wakati Sisi Werevu tunasajili Kiutaalam, Kiufundi na Kimkakati hasa. Tunaenda Kukamilisha na Makombora yetu Matatu tu kisha tukutane Ngao ya Jamii Mwezi ujao ( August 2022 ) na endeleeni tu Kukariri...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Makombora ya Urusi yameua watu 20

    Makombora ya Urusi yaliyorushwa katikati ya Nchi ya Ukraine yameua takribani watu 20 kati yao wakiwemo watoto watatu na wengine 90 kujeruhiwa. Msaidizi Mkuu wa Polisi, Kyrylo Tymoshenko amesema makombora matatu yameharibu ofisi na makazi ya watu maeneo ya Vinnytsia ambayo yapo kilometa 268...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Iron Dome ya Israel haiwezi mudu kuzuia makombora ya Urusi, Iron Dome imeundwa kuzuia makombora dhaifu yatengenezwayo gereji kwa tech duni

    Waziri wa Ulinzi wa Ukraine amesema kuwa mfumo wa Ulinzi wa anga wa Israel maarufu kwa jina la Iron Dome hauwezi kuhimili kuzuia makombora ya Urusi nchini Ukraine. Waziri huyo aliyeshuhudia na kutesti nguvu ya makombora ya Urusi anasema kuwa mfumo huo wa Iron Dome umeundwa kwa ajili ya kuzuia...
  6. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Urusi yatangaza kuharibiwa kwa makombora ya Marekani nchini Ukraine

    Wizara ya Ulinzi ya Urusi siku ya Jumatano imetangaza uharibifu uliofanywa na wanajeshi wa Urusi wa makombora mawili ya HIMARS MLRS ya Marekani huko Donbass. Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Urusi Luteni-Jenerali Igor Konashenkov alisema makombora hayo yaliyotengenezwa na Marekani ya HIMARS na...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Urusi kupeleka mfumo unaofyatua makombora ya nyuklia Belarus

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin ameahidi kuisaidia Belarus kwa kuwapelekea mifumo ya Iskander-M inayoweza kufyatua makombora ya nyuklia Putin ameweka msimamo huo baada ya kukutana na Rais wa Belarus ambaye amekuwepo madarakani kwa miaka 27, Alexander Lukashenko Jijini Saint Petersburg. Aidha...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Urusi sasa amecharuka, ni mvua za makombora kaskazini na magharibi ya Ukraine. Boris amekubali yaishe

    Kuanzia leo Urusi imeanza kutumia mbinu ya kivita ambayo haijawahi kutokea. Ameporomosha makombora ya masafa marefu na ya uhakika kupiga kambi kadhaa za kijeshi magharibi na kaskazini ya Ukraine.Hali hii imempelekea Boris Johnson wa Uiengereza kushauri Ukraine ikubali kufanya mazungumzo haraka...
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Ukraine waanza kushambulia kwa makombora ya masafa marefu yenye maangamizi makubwa

    Haka kainchi kamekua kero, kameua Warusi hadi basi na bado hakakua kameanzisha shughuli ya haya makombora, sasa kameanza kuyarusha na kufanya maangamizi makubwa kwa wavamizi na wadhulumaji wa kutokea Urusi....takbirrrr!!!! ========================= Ukrainian forces fired three large tactical...
  10. nyabhingi

    JamiiForums Tanzania Putin atoa onyo kuhusu upelekwaji wa makombora ya masafa marefu Ukraine

    1. Atoa onyo kwamba watayateketeza. 2. Nchi yoyote itakayojiingiza moja kwa moja na kutishia usalama wa Russia itapewa majibu ya haraka na mazito. 3. Asema wana silaha ambazo hakuna nchi yoyote duniani wanazo kwa sasa na watazitumia
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Marekani yakubali kupeleka Roketi za Masafa Marefu nchini Ukraine

    Inaelezwa kuwa Marekani imekubali ombi la muda mrefu la #Ukraine la msaada wa silaha nzito zikiwemo roketi hizo ili kupambana na vikosi vya #Russia kutoka umbali mrefu, ambalo hapo awali lilikataliwa Silaha hizo zitajumuisha Mfumo wa Roketi wa Kivita wa M142 (HIMARS), ambao unauwezo wa kurusha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine yaitishia USA: Yasema isipopewa makombora ya masafa marefu "itaibwatukia na kuisemea mbovu mbovu kwa kiwango ambacho kitakuwa cha mfano”

    Nilishawahi kusema kuwa mwisho wa siku Zelensky na Ukraine yake watajakuwa maadui wakubwa sana wa Marekani na NATO kwa ujumla. Kisa ni kwamba haiwezekani kuipatia Ukraine kila inachokitaka bila kuangalia athari yake kwa usalama wa dunia! Kwa mfano Zelensky alikuwa anataka NATO waweke NO FLY...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ukraine yalalamika Russia kutumia makombora hatari ya thermobaric rockets, wachambuzi wa silaha wa USA wasema huo ni 'ukatili'

    Ukraine inalalamika kuwa Russia inatumia silaha nzito mno, TOS-1A Thermostatic Rockets (vacuum bombs), ktk mapigano huko Donetsk. Kwa mujibu wa Marekani, silaha hizo ni special kwa kuangamiza ngome za kijeshi zilizo kwenye mahandaki chini ya ardhi na maadui waliojificha kwenye bunkers. Silaha...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ukraine yasema ikipatiwa makombora ya MLRS atakomboa bandari zake zote mwenyewe

    Ofisi ya raisi Zelensky mjini Kiyv imesema inasubiri makombora hayo aina ya MLRS haraka kutoka Marekani ili kazi ianze. Office of the President: Ukraine itself will unblock the Black Sea if it receives MLRS systems
  15. 5

    JamiiForums Tanzania BBC: Shehena ya makombora 1,500 ya Kutungulia ndege aina Strela na Bunduki 100 MG3 zimewasili nchini Ukraine

    Shehena ya makombora 1,500 ya kutungulia ndege aina ya Strela na bunduki 100 za MG3 zimewasili nchini Ukraine kutoka Ujerumani, Shirika la Habari la Ujerumani limewanukuu maafisa wa serikali ya Ukraine wakisema. Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Annalena Baerbock alisema Jumatano kwamba vifaa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Hii vita ni Makombora vs Vikwazo vya kiuchumi, mmoja anakaribia kuomba poo!

    Kama una kijana wako anasoma Russia basi ujue hali ya utumaji fedha nchini humo imeanza kutatizika mifumo ya benki kuu yake imeelemewa na mingine haina access na International systems. Wewe unapiga kwa makombora mwenzako anautandika uchumi wako ni lazima ama uombe poo au ukimbilie nyuklia kwa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Putin asema makombora yake ya hypersonic yasiyo na mpinzani yapo tayari kutumika vitani sasa

    Rais Putin leo ameonya kuwa makombora yake ya hypersonic (hypersonic missiles) yapo tayari kuvurumishwa. Ktk video ameonya kuwa makombora hayo ya hypersonic yasiyo na mlingano (nadhani akusudia kuwa hakuna makombora mfano wake toka kwa US na NATO) diniani tayari yameingizwa kwenye mapambano...
  18. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Israel: Hizbullah ina uwezo wa kutupiga kwa maelfu ya makombora kila siku

    Israel: Hizbullah ina uwezo wa kutupiga kwa maelfu ya makombora kila siku Nov 04, 2021 12:02 UTC Kamanda wa Operesheni za Kambi ya Ndani ya utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa, harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ina uwezo mkubwa wa makombora ambao unaiwezesha kuushambulia...
  19. jollyman91

    JamiiForums Tanzania Kukiri Israel udhaifu wa "Ngao ya Chuma" na kutoweza kwake kujilinda na makombora ya Wapalestina

    Kamanda wa ulinzi wa anga wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kwamba, mfumo wa kujilinda na mashambulizi ya makombora uliopachikwa jina la "Ngao ya Chuma" hauwezi kudhamini usalama wa utawala huo mbele ya vipigo vya makombora kutoka kwa wanamuqawama wa Palestina. Kituo cha...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Balozi wa North Korea (NK) aiambia UN hakuna wa kuinyima NK haki ya kutest makombora, wakati huo huo (wa speech) NK yafanya jaribio jipya la kombora

    South Korea imesema kuwa North Korea (NK) imetesti kombora ambalo bado halijafahamika wakati ambao balozi wa NK wa Umoja wa Mataifa (UN) bwana Kim Song akizungumzia/akitetea haki ya nchi yake ya kutesti makombora/silaha ktk kikao cha pamoja cha UN kilichofanyika jana jumatatu mjini New York...
Back
Top Bottom