makombora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sun Zu

    JamiiForums Tanzania Inasadikika China Yapeleka Makombora na Silaha Hatari Iran

    Siku moja baada ya Israel kushambulia Iran siku ya Ijumaa, ndege ya mizigo ilipaa kutoka China. Siku iliyofuata, ndege ya pili iliondoka kutoka mji wa pwani, Kisha Jumatatu, nyingine ikaondoka, wakati huu kutoka Shanghai - safari tatu za ndege kwa siku tatu. Takwimu zilionyesha kuwa katika...
  2. kiss daniel

    JamiiForums Tanzania Bandari Abbas ya Iran yashambuliwa kwa makombora ndege na Israel

    Ndo bandari kubwa kuliko zote imepigwa ikachakaa.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la anga Israel ilishambulia kwa mabomu kituo cha chini ardhini cha Iran kilichohifadhi makumi ya makombora

    Wadau hamjamboni nyote. Jeshi la anga la Israel ilishambulia kwa mabomu kituo cha chini cha ardhi cha Iran kilichohifadhi makumi ya makombora magharibi mwa Iran leo. Jeshi la anga la Israel limeshambulia kwa mabomu kituo cha silaha za...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Israel Katz amemuonya kiongozi wa Iran, Ali Khamenei, kwamba iwapo makombora yataendelea kurushwa kwa Israel, Tehran itaungua.

    Wadau hamjamboni nyote. Live Update arrow right icon From the Liveblog of Saturday, June 14, 2025 Katz: ‘If Khamenei continues to fire missiles at the Israeli home front, Tehran will burn’ By Emanuel Fabian Follow Today, 12:16 pm Defense Minister Israel Katz warns Iran’s leader, Ali...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Marekani Yaipa Onyo Iran. Mataifa ya Kiarabu Yaungana na Marekani Kudungua Makombora ya Iran

    Baada ya Israel kuishambulia Iran Kwa ndege, na kuteketeza vituo vya kurutubisha nuclear energy. Shambulio ambalo pia limeua makamanda 6 wa juu wa jeshi la Iran, akiwemo mkuu wa majeshi ya Iran, Rais wa Marekani ameipa onyo Iran na kuitaka kukubali mkataba na Marekani utakaoizuia Iran...
  6. W

    JamiiForums Tanzania baadhi ya makombora ya masafa marefu ya Iran yametua Israel muda huu, Israel yajiandaa kufanya shambulio zito zaidi usiku wa manane

    Baadhi ya makombora ya masafa marefu kutoka Iran yamefanikiwa kutua Israel huku mengi yakidakwa angani na mitambo ya ulinzi wa anga. Mashambulio haya yamelenga maeneo yenye wakazi wengi, lakini hadi sasa hakuna taarifa za vifo, kwani watu wamekuwa wakitafuta hifadhi kwenye vyumba maalum vya...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran yajibu kwa drones, uwezo wa kutuma makombora umeshindikana maana walipigwa maeneo yote ya kutuma makombora

    Muda huu Iran imetuma drones zitakachokua masaa kufika, walipigwa maeneno yote ambayo walikua wanatumia kutuma yale magobore yao.....Wamebaki na nguvu ya kutuma vi-drones tu IDF Spokesman Effie Defrin on Friday morning told a press conference that Iran had launched over 100 drones toward Israel...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa makombora ya Israel yarushwa maeneo kadhaa kukabiliana na ballistic na droni kutoka Yemen

    Houth wamebadili mtindo wa urushaji wa makombora yao kuishambulia Israel.Tofauti na zamani wapiganaji hao kutoka Yemen wameongeza kasi ya kusihambulia Israel hasa uwanja wa Ndege wa Ben Gurion. Kwa sasa Houth wamefanikiwa kumudu kurusha hata kombora 3 za ballistic kila baada ya siku 2. Katika...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Waasi wa kihusi wa Yemen waishambulia Kwa makombora mazito ya masafa marefu maji ya Jerusalem na Tel Aviv

    Wadau hamjamboni nyote? Hali ni mbaya Kwa Mayahudi tuwaombee sana IDF walidhani kupiga airport na kuharibu kiwanda cha mbolea wamemaliza kila kitu kumbe wenzao ni wajuzi zaidi yao Suluhu pekee ni ayahudi kuwarejeshea Wapalestina ardhi yao tukufu na kuondoa haraka majeshi yao huko Lebanon na...
  10. dem boyz

    JamiiForums Tanzania India warusha makombora 6 ya balistiki kuelekea pakistani lakini yakaishia kuangukia kwenye ardhi yao wenyewe

    Luteni Jenerali Ahmed Sharif Chaudhry, mkurugenzi mkuu wa kitengo cha habari cha jeshi, Inter-Services Public Relations (ISPR), amedai kuwa India imefyatua “makombora sita ya balistiki” ambayo yaliangukia kwenye ardhi yake yenyewe.⁠ .⁠ Msemaji huyo wa jeshi alitoa taarifa hiyo katika saa za...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Huu ni ubabe, si tena kujilinda, Yemen walifanikiwa kupenyeza kombora moja tu, kulikuwa hakuna sababu Israel kujibu kwa ndege 30 na makombora 48

    Kulikuwa na ulazima ? hiki kinachofanyika sio haki, hata vitani kuna rsheria zake, Yemen kapenyeza kombora moja kwenye anga la Israel kulikuwa kuna haja gani Israel kutuma ndege 30 na kulipua makombora 48 ? Ni sawa na adui yako yupo mbali anakurushia jiwe moja, badala ya kuokota jiwe umrushi...
  12. Ritz

    JamiiForums Tanzania Makombora ya Houthi yatua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben Gurion nchini Israel uwanja umefungwa

    Wanaukumbi. Vyombo vya habari vya Israel vinaripoti kuwa mifumo ya Arrow-3 na THAAD inayotolewa na Marekani ilishindwa kuzuia kombora la Houthi. Licha ya mashambulizi makali ya anga yanayoendelea, uwezo wa makombora na ndege zisizo na rubani za Houthis unaonekana kubaki bila kuathiriwa...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Houthi wana pesa ya kurusha makombora ila hawana ya pesa ya kuponesha vidonda kutokana maasi waliofanya Yemen.

    Wazee wa vita takatifu dhidi ya marekani na israel na blah blah nyingi ili waonekane civilized ila kiuhalisia wao ni matapeli, makatili na wauaji. Unaendaje kusaidia mtoto wa malaya unaetembea nae wakati wa kwako wa kuzaa anaumwa na hajapata pesa ya kutibiwa. AKILI UOZO.
  14. Bams

    JamiiForums Tanzania Israel yafanya Mashambulizi Mazito Lebanon, Jeshi la Lebanon Laangamiza Vituo vya Kurushia Makombora vya Hezbollah.

    Kufuatia kitendo cha makombora kurushwa tokea Lebanon kuelekea Israel, Israel imeshambulia targets mbalimbali za Hezbollah kusini mwa Lebanon. Hezbollah hawajasema kuwa ni wao ndio waliorusha, lakini Israel inaamini ni Hezbollah. Netanyahu ameahidi kufanya mashambulizi makubwa zaidi dhidi ya...
  15. Sun Zu

    JamiiForums Tanzania Hamas warusha makombora kulenga Tel Aviv

    #gaza: Kundi la Wanamgambo wa Hamas limefyetua maroketi kuulenga mji wa Israel wa Tel Aviv ikiwa ni hatua yake ya kwanza ya kijeshi tangu Israel ilipoanza kuushambulia tena Ukanda wa Gaza baada ya kuvunjika kwa mkataba wa kusitisha vita. Jeshi la Israel limesema limedungua roketi moja na...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Rais Biden aidhinisha msaada wa kijeshi kwa Israel wenye thamani ya Dola billion 8, yapo makombora hatari na droni za kisasa na mabomu mazito

    Wadau hamjamboni nyote? Rais Biden amebakiwa wiki 2 tu kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais Trump Ameamua kuidhinisha msaada wa Mwisho Kwa taifa takatifu kabla ya kuondoka Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Biden administration prepping $8 billion arms package...
  17. Ritz

    JamiiForums Tanzania Video inaonyesha ving'ora viliposikika Tel Aviv na uwanja wa ndege wa Ben Gurion Waisrael wakikimbia makombora ya Yemen

    Wanaukimbi. Video inaonyesha ving'ora viliposikika Tel Aviv na uwanja wa ndege wa Ben Gurion huku Wahouthi wakirusha makombora dhidi ya Israel kutoka Yemen. Kundi linalojihami na Iran linasema mashambulizi yao yanapinga mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza. =============== Video shows the...
  18. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Silaha, Makombora na Vifaa vya Kijeshi Zaidi ya 85,000 vya Hezbollah Vimetwaliwa na Jeshi la Israel IDF Kusini mwa Lebanon

    Tangu Oktoba 2024, vikosi vya IDF vilifanya kazi dhidi ya Hezbollah katika zaidi ya maeneo 30 kusini mwa Lebanon. Wanajeshi hao walitambua na kuharibu miundombinu ya magaidi, wakaondoa magaidi, na kupata na kunyang'anya silaha. makombora na vifaa vya kijeshi zaidi ya 85,000. Silaha...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Israel ilivyo angamiza uwezo wa Iran kutengeneza makombora

    Mkuu wa majeshi ya Uingereza amesema katika shambulio lake la Oktoba 26 dhidi ya Iran, Israel ilizima karibu mfumo wote wa ulinzi wa anga wa Iran na ndege za kijeshi za kizazi cha tano mia moja na kuharibu uwezo wa Iran wa kutengeneza makombora ya masafa marefu kwa mwaka mmoja. Ndege za...
  20. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Israel yasambaratisha kituo kikubwa zaidi cha kutengeneza makombora cha Hezbollah

    Jeshi la Israel limesema limeharibu kituo kikubwa zaidi cha kutengeneza makombora cha Hezbollah huku ikiwa wameingia makubaliano ya usitishwaji wa mapigano kati yao Hii hapa animation ya kituo hicho chenye eneo la upana wa kilomita 1.4 na kina cha mita 70 kwenda ardhini: SOURCE...
Back
Top Bottom