makombora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Meli ya Marekani ililipuliwa na makombora ya Irani ukweli ni huu

    Ni kweli Meli ya Marekani ililipuliwa na makombora ya Irani kwa ushahidi wa vigezo vifuatavyo,unaweza kuondoa siraha muhimu katikati ya vita?na hii vita Mmarekani anaenda kupoteza na ndiyo utakuwa mwisho wa Israer na Marekani maana Komeni Mwenyewe Vijana wake walimuomba watengeneze makombora...
  2. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Kila upande moto unashuka,hivyo tuseme haina maana kuwa na vipangua makombora??

    Miaka mingi tulikuwa tukihabarisha kwamba kila mtu ana mitambo ya kujilinda,wapo waliotolea mfano nchi ya ahadi hata ukitupa jiwe haliwezi kufika kwenye ardhi yao,yaan linapanguliwa juu kwa juu. Huku baba wa dunia akisema yeye ndio kiboko wa mitambo ya kudungulia takataka zote zinazoelekezwa...
  3. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio marubani wetu wanaoachilia makombora huko Iran, wape 5 zao

    Hizo fighter jets za USA mnaona ziki paa Kwa kasi huko Iran kumbe zinaendeshwa na madame,uneeza fikiria zinaendeshwa na majamaa wazito wenye nguvu, kumbe ni these young ladies ambao wako na very high skills!
  4. MK254

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Iran na makombora yao wamefaulu kuua mama mmoja Israel

    Iran wamerusha makombora kwa nguvu zao zote na kuelekeza kwenye makazi ya raia wa Israel, ila mpaka sasa wamefaulu kuua mama mmoja tu, hata hivyo upande wa Iran hakuna kiongozi aliyesazwa hadi hata yule mzee na lile livazi lake. Inasemakana hata rais wao hayupo, maana kuna maandalizi ya...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni.

    Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni ikiwa ni pamoja na UAE na Qatar, ikiwa inasema mashambulizi hayo ni ukiukaji mkubwa wa usalama na wa sheria za kimataifa na ikionyesha ushirikiano kamili na nchi zilizoathirika.
  6. I

    JamiiForums Tanzania Mtambo wa Kichina wa kurusha makombora walipuka na kuua wanajeshi 8 wa Cambodia.

    https://www.instagram.com/reel/DSuT14MCbJf/?igsh=ZnBzOGh3bGhpOW51
  7. dronedrake

    JamiiForums Tanzania Ripoti mpya yaweka wazi uharibifu uliofanywa na makombora ya balistiki ya Iran nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion

    Ripoti mpya iliyotolewa na kituo cha televisheni cha Israel Daily hivi karibuni yaweka wazi uharibifu mkubwa nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion kutokana na mashambulizi ya makombora ya balistiki ya Iran wakati wa vita vya siku 12 mapema miezi michache iliyo pita Uharibifu huo ni...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hizbullah wasema mvua ya makombora kuanza kuinyeshea tena Israel isipoacha kuishambulia Lebanon

    Naim Qassem ambaye ni kiongozi wa Hizbullah amesema kundi lake halijaona umuhimu wa kusalimisha silaha zake kwa serikali ya Lebanon wakati Israel imevunja mkataba wa kusitisha vita na inaenndelea kuishambulia Lebanon. Katika hotuba yake kupitia televisheni,kiongozi huyo ameitaka serikali ya...
  9. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Wahouthi warusha tena makombora kuelekea Israel

    Jeshi la Israel linasema limefanikiwa kulidunguwa kombora lililorushwa kutoka nchini Yemen mapema leo. Taarifa hiyo imekuja baada ya milio ya ving'ora vya hadhari kusikika kwenye maeneo kadhaa ya Israel, kutokana na kombora hilo. Jeshi hilo halikusema ikiwa kombora hilo lilidunguliwa kwenye...
  10. Jackal

    JamiiForums Tanzania Ukraine Yadai Kuiba Taarifa za Siri(Classified Information) Za Manuari Mpya Kabisa Za Kurusha Makombora Ya Nyuklia Za Urusi

    Wataalamu wa Shirika la Ujasusi la Kijeshi la Ukraine (HUR) wamefanikiwa kuvunja ulinzi wa Jeshi la Majini la Urusi na kupata nyaraka za ndani zinazohusu manowari mpya ya daraja la Project 955A Borei, Knyaz Pozharsky, iliyowekwa rasmi kwenye huduma chini ya wiki mbili zilizopita. Kwa mujibu wa...
  11. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump asema makombora ya Patriot tayari yametumwa Ukraine

    Rais wa Marekani Donald Trump alisema Jumanne, bila kutoa maelezo, kwamba makombora ya Patriot tayari yalikuwa yametumwa Ukraine chini ya utaratibu mpya wa utoaji. "Tayari wametumwa," Trump alimkatiza mwandishi wa habari ambaye alikuwa ameanza kuuliza swali juu ya makombora ya Patriot...
  12. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Vifaru, ndege za kivita na makombora: Fahamu silaha zilizotumwa Ukraine

    Tangu uvamizi kamili wa Urusi nchini Ukraine Februari 2022, mataifa ya magharibi yametenga zaidi ya $250bn, (£205bn) za kijeshi, kibinadamu na misaada mingine ya kifedha kwa Ukraine. Hebu tuangazie aina ya vifaa vya kijeshi ambavyo vimepewa Ukraine. Ukraine imekuwa ikitumia makombora ya ATACMS...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Meli ya tatu yazamishwa na Houth sambamba na kuipiga Israel makombora mawili yaliyotua shabaha yake Tel Aviv na Jerusalem

    Meli moja kubwa ya mizigo ikielekea Israel kupitia Red Sea imepigwa kwa njia tofauti kulazimsiha mabaharia wote kujiokoa wakiicha meli hiyo ikiwaka na kunywa maji. Njia zilizotumika ni kutumia droni za baharini ambapo mbili zilifanikiwa kuigonga meli hiyo wakati moja iliwahi kuharibiwa na...
  14. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump asema Ukraine itahitaji makombora ya Patriot kujilinda

    Rais wa Marekani Donald Trump alisema Ukraine itahitaji makombora ya Patriot kwa ajili ya ulinzi wake, baada ya kuzungumza na Rais Volodymyr Zelensky siku ya Ijumaa, na kueleza kukatishwa tamaa na Rais wa Urusi Vladimir Putin kushindwa kusitisha mapigano. Trump aliwaambia waandishi wa habari...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Breaking news magaidi wa kihusi wa Yemen wanaosaidiwa na Iran warusha makombora ya masafa marefu kuelekea Israel

    IDF says missile fired by Houthis apparently downed; no reports of injuries By Emanuel Fabian Follow Today, 7:29 am A ballistic missile launched at Israel by the Iran-backed Houthis in Yemen was likely intercepted by air defenses a short while ago, the military says. The IDF says attempts were...
  16. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Urusi yaendelea kuishambulia Ukraine kwa makombora

    Urusi imerusha kombora katika mji wa viwanda wa Samar kusini mashariki mwa Ukraine na kusababisha vifo vya watu watano huku wengine zaidi ya 20 wakijeruhiwa. Gavana wa mji huo Serhiy Lysak, amesema katika mtandao wake wa Telegram kwamba watu wanne kati ya waliojeruhiwa wako katika hali mahututi...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kama waifanyiavyo Israel, nilitegemea kuona al jazeera wanaishutumu siku nzima Iran kwa kurusha makombora katika anga yao.

    Hapo ndipo unapoona itikadi ndio inacheza vizuri. al jazeera ipo nchini qatar. Al Jazeera imetumika kama chombo cha habari cha Hamas, Houthis, Hezbollah - na sasa kwa Iran. Inaeneza habari potofu na propaganda za vita kwa niaba ya Iran, ikifanya chochote kinachoweza kudhuru Israel, U.S., na...
  18. Sun Zu

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Morocco wauawa kwa Makombora Huko Haifa

    K Katika mfululizo wa mashambulizi ya Makombora ya Iran huko Israel duru zinaeleza kuuawa kwa maofisa wawili wakubwa wa kijeshi Wa Jeshi la Morocco waliokuwa katika mafunzo ya pamoja na IDF huko Haifa. Aidha mwanajeshi mmoja alinusurika kwa majeraha na yupo anatibiwa. My take: Hawa waisrael...
  19. Pearce

    JamiiForums Tanzania Iran yarusha makombora kuelekea Israel, baada ya USA kuingilia kati

    Kadili siku zinavyosonga mbele idadi ya makombora yanayorushwa inazidi kupungua, kutoka makombora na drone 1000 kwa siku Sasa IRAN anarusha 30 tu Ndani ya muda mfupi ataanza kujaribu kutumia artillery
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Kuna member aliwahi kusema Iran ikiguswa, ina uwezo wa kutuma maelfu ya makombora kwa mpigo, niliogopa sana

    Mikwara ya makobaz humu kuna wakati hunibabaisha sana, muda wote nilikua na uwoga hawa jamaa labda kuna kitu wanakijua ambacho hatukijui, aidha labda Iran ina uwezo wa kubonyeza na kufyatua makombora 3,000 kuelekea Israel au kuna kitu watafanya na kuishangaza dunia. Kuna kuguswa gani kwingine...
Back
Top Bottom