makomandoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Taifa Masikini na Bingwa wa Kuomba Pesa za Misaada kwa Wazungu hutakiwa kuwa na idadi Kubwa ya Makomandoo?

    Kuna nchi (taifa) moja Barani Afrika katika Mahafali yake ya Kijeshi Jumamosi hii pia watakuwepo 'Makomadoo' zaidi ya 3000. Nijuavyo Kiuchumi kuwatunza hawa ni Gharama Kubwa mno je, kwa Umasikini mkubwa wa hiyo nchi kuna haja ya kuwa nao Wengi kiasi hicho? Bahati mbaya na nchi yenyewe...
  2. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Naomba tushiriki kuwatakia heri Makomandoo wetu Adamoo na wenzake Mungu awape afya njema na nuru uraiani

    Jamani sina mengi nimewiwa kushiriki kuwatakia heri hawa makomandoo walimu na wazalendo, wawe na heri ya afya na nuru njema ya Maisha uraiani. Karibuni Sana Mungu awabariki note.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Luteni Jenerali Roger L. Cloutier wa Jeshi la Marekani atekwa na Makomandoo wa Urusi akiwa vitani Ukraine

    Zamotomoto kutoka katika uwanja wa Vita mji wa Mauripol, Makomandoo wa Urusi kutoka kikosi hatari zaidi Ulimwenguni cha Spetsnaz kilichochini ya KGB /FSB wamemteka Kamanda wa Jeshi la Marekani Luten General Roger L. Cloutier Jr, Pamoja na propaganda kadhaa za watu wasio rasmi wala wasemaji wa...
  4. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hawa Makomandoo wa Mbowe wamefanywa kama Wanasesere?

    👇👇👇
  5. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo makomandoo wa Mbowe?

    I mean, WTF!!! Huu ukomandoo Tanzania uko overrated sana. Sasa kwa mfano hawa makomandoo wa Mbowe bila silaha wanaweza nini? Kwa muonekano tu, hakuna hata mmoja mwenye uzito wa ratili 200. Not impressed at all!
  6. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Ofisa Biashara United alalamika kupigwa na 'makomandoo' wa Yanga

    Kabla ya mchezo wa Yanga dhidi ya Biashara United uliopigwa Jumanne Februari 15, 2022 kwenye Uwanja wa Mkapa, kulitokea mvurugani baina ya ofisa wa Biashara United na wale aliowaita makomandoo wa Yanga. Huyu hapa ofisa huyo anaelezea kilichotokea kabla ya mchezo huo wa Azam Sports Federation...
  7. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Nashauri baada ya kesi wale makomandoo wafungue kesi dhidi ya Luten Urio

    Mie sio mwanasheria Ila iko wazi Luten Urio ni mtu mwenye roho ngumu na ovu sana. Hajawatendea haki wanafunzi wake wa zamani jeshini. Amewatoa hawa watu kwenye shighuli zao binafsi za kujitafutia baada ya kuondolewa jeshini, Kawadanganya eti kuna kazi ya ulinzi kwa Mbowe kwa maneno yake...
  8. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe na wenzake: Makomandoo 'wanaonewa'

    Jana nilikuwepo Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi kuendelea kufuatilia kesi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Leo sikuweza kwenda kwakuwa ninatarajia kusafiri hivi punde. Nimemsikia na kumuona Luteni Denis Urio akitoa ushahidi wake. Nimemsikiliza kwa makini na kwa...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Nashauri Jen. Venance Mabeyo asome kitabu "Army of None" cha Paul Scharre ili atuondolee aibu ya kubebesha magunia makomandoo kwenye sherehe za uhuru

    Shalom from Jerusalem, Imekuwa ni kawaida sasa kwenye kila sherehe za uhuru wa Tanganyika ama mapinduzi ya Zanzibar jeshi letu la ulinzi la wananchi wa Tanzania kutuonesha siraha na mbinu za kivita. Miongoni mwa mbinu hizo ni makomandoo wetu kubebeshwa mizigo na magunia mazito kuonesha maguvu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa umahiri mkubwa wa Makomandoo wetu ilikuwaje wale wa Kesi ya Mbowe wakateswa na Jeshi la Polisi kama walivyodai?

    Kwa jinsi nilivyowaona jana katika Sherehe za Uhuru wa Tanganyika niseme tu ukweli wangu KEROZENE najiuliza maswali mengi sana juu ya hawa Makomandoo waliopo katika Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na Yule aliyepotea. Kwa mafunzo makubwa ya Kimedani ya hawa Makomandoo, Ukomavu pamoja na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Umahiri mkubwa tuliouona wa Makomandoo wetu Tanzania ilikuwaje wale wa Kesi ya Mbowe wakateswa na Polisi?

    Kwa jinsi nilivyowaona jana katika Sherehe za Uhuru wa Tanganyika niseme tu ukweli wangu KEROZENE najiuliza maswali mengi sana juu ya hawa Makomandoo waliopo katika Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na Yule aliyepotea. Kwa mafunzo makubwa ya Kimedani ya hawa Makomandoo, Ukomavu pamoja na...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hivi makomando wa JWTZ wako competent kweli kulinganisha na wenzao wa nchi nyingine?

    Nilikua nacheck maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika, na moja ya jambo lililonishangaza ni kuwaona the so called commandos wa JWTZ wanapita na mafurushi sijui ya vitu gani migongoni nikajiuliza hawa uwanja wa vita huwa wanaenda wakiwa hivyo walivyopita? Nikaona ngoja nicheck wenzao...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tusichoshane 'Hotuba' imeshatolewa jana na leo ni Siku tu ya Kuwashangaa 'Makomandoo' wetu na Rais 'Genius' Afrika Paul Kagame

    Mmeshaambiwa jana kuwa mpaka sasa kuna Vyuo Vikuu 30 badala ya Chuo Kikuu Kimoja ( 1 ) tu wakati wa Uhuru. Watanzania mnataka nini tena? Hebu acheni Nongwa! Mmeshaambiwa jana kuwa sasa tuna Balozi 44 na baadae akasema tuna Balozi nchi zote duniani. Watanzania mnataka nini tena? Hebu acheni...
  14. comte

    JamiiForums Tanzania Je, mateso ya Polisi yanaweza kuwa makubwa (excessive) kuliko mafunzo ya Makomando wa Jeshi letu?

    Adamoo na wenzake ni makomandoo waliohitimu. Kwa taarifa zilizopo mafunzo ya ukomandoo siyo mchezo. Ilikuwaje wakanyong'onyezwa na mateso ya polisi yakiwemo kunyimwa chakula, kufungwa kitambaa machoni na kutishwa na bastola iliyoko kiunoni mwa polisi mpaka wakasema wasiyopaswa kusema. Kama...
  15. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Jenerali Mabeyo, unayasikia yasemwayo na makomandoo wetu mahakamani kwenye kesi ya Mbowe?

    Mtani wangu na mkuu wangu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo, nakusalimu na kukutakia kazi njema. Nakuuliza tu kizalendo: unayasikia au kuyasoma maneno yasemwayo na makomandoo wetu walio washtakiwa na mashahidi kwenye kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Sheherekeeni Uhuru wenu Uwanja wa Uhuru na 'Makomandoo' wenu na Sisi CHADEMA tunasheherekea Makao Makuu Kwetu

    Na Sisi CHADEMA hatoishia tu Kusheherekea Siku hiyo ya Uhuru bali hata Kauli Mbiu yetu itakuwa ni Katiba Mpya kwa Tanzania tuitakayo. Halafu na nyie Watu fulani ambao huwa mnatumwa na mnapenda kuja Kutuvamia na hata Kutupiga taarifa iwafikieni kuwa wana CHADEMA wote Siku hiyo tumekubaliana...
  17. STRUGGLE MAN

    JamiiForums Tanzania Leo hii Marekani yajaribu kuteka meli ya mafuta ya Iran, Iran yaichukua meli yao kwa kutumia kikosi maalum cha Makomando katika pwani ya Oman

    Kikosi cha IRGC cha Iran chazima uharamia wa jeshi la Marekani katika Bahari ya Oman Nov 03, 2021 11:25 UTC Kikosi cha IRGC cha Iran chazima uharamia wa jeshi la Marekani katika Bahari ya Oman Operesheni makinii na iliyochukiwa wakati mwafaka na wanajeshi shupavu wa kikosi cha Jeshi la Walinzi...
Back
Top Bottom