Ni jambo dogo hili ninalokuambia lakini please take care.
Watu hawasamehi, hawasahau kwahiyo kama kuna mtu alikutendea ubaya kuwa naye makini, hajasahau. Ipo siku atatamani akutendee tena ubaya uleule au ubaya mwingine.
Kuhusu kutokusamehe , yes watu hawasamehi, kama ulimfanyia mtu mafisango...