makini

Jully Makini (also known as Jully Sipolo) (born c. 1953 (age 64 in 2017)) is a Solomon Islander poet, writer and women's rights activist. The author of poems such as Civilized Girl (1981) and Praying Parents (1986), in June 2017 she received the International Women of Courage Award from the US Secretary of State for her work in promoting women's rights in the Solomon Islands.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Shule ya Msingi Ndoleleji ina miundombinu iliyochakaa na Walimu wasiowiana na idadi ya Wanafunzi

    Hii ni Shule ya Msingi NDOLELEJI iliyopo Wilaya ya ITILIMA, Mkoa wa SIMIYU, Shule ina Walimu 12 ikiwa na Wanafunzi takribani 1,500 ambapo madarasa mengi wanasomea nje. Upungufu wa Vyumba vya Madarasa ni mkubwa mno katika shule hii, kwani vyumba vilivyopo vyopo vyote vimechakaa. Naomba ujumbe...
  2. Angalia kwa makini sana namna tumehusika kuanzia design mpaka ujenzi, Airbnb hizi Moshi, 2Bedroom kila unit tupigie 0624004650

    HIZI NI AIRBNB APPARTMENTS, CONTAIN 2UNITS EACH UNIT HAVE , GROUND FLOOR INA SEBULE,OPEN KITCHEN DINING NA PUBLIC TOILET JUU INA 2BEDROOMS ALL WITH SPECIOUS BATHROOM ,AND BALCONY. MPAKA HAPO MATERIAL + LABOR COST 175M
  3. GE2025 Mgombea Urais, Coaster Kibonde: Nikishinda Urais, Rais Samia atabaki Ikulu

    Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Demokrasia Makini Coaster Jimmy Kibonde amesema "nikishinda urais, Rais Samia atabaki Ikulu"
  4. M

    Cctv video: Kuweni makini mnapokuwa mnarudi majumbani usiku, Anusurika kuvamiwa na majambazi Getini

    Hii imetokea 10/08/2025, Goba madale karibu na Joy Eslava , mdada alikua anasubiri kufunguliwa geti alisahau remote ndani. Wakati anasubiri, hao jamaa wa boda wakamvamia. aliweza kuwakimbia ila kaumia mkono walimkata na kisu, pia kaumia jicho, vioo viliingia kwenye jicho moja. Asubuhi amesema...
  5. M

    Mechi ya awali dhidi ya Williete Club De Benguela Yanga kuweni makini kule Angola sio kibonde ni timu iliyojiimarisha!

    Baada ya droo ya caf ccl nimeona niwaonye yanga wawe makini na wachukue tahadhali zote dhidi ya timu hii ya Wiliete club de benguela ya Angola kwani sio timu kibonde ni timu iliyosukwa vizuri na Iko timamu kweli kweli! Timu hii msimu uliomalizika 2024/2025 imemaliza nafasi ya pili kwenye...
  6. Kuwa makini ni hivi vitu usipuuze

    Kucha zako, nywele , nguo yako ya ndani ni vitu muhimu sana usitope hovyo katika ulimwengu wa kichawi vitu hivyo vinakuwakirisha wewe mwenyewe kama ukitokea mubaya wako amevipata basi wewe umeangamia . Unalalamika huzai kila siku mimba zinashuka kumbe nguo yako ya ndani ilichukuliwa na wabaya...
  7. H

    Nchi Yetu Ingekuwa Makini, Hakuna Aliyekuwa Mbunge Angestahili Kurudi Bungeni.

    Bunge hili lililomaliza muda wake ndiyo lilikuwa bunge la hovyo kuliko bunge lolote lililowahi kuwepo. Hili ndiyo bunge: 1. Lililoidhinisha uporwaji wa rasilimali za Tanganyika na kupewa waarabu. 2. Hili ndiyo Bunge lililokaa kimya wakati Watanganyika wakitekwa na kuuawa, kupotezwa na kuteswa...
  8. Mulamula alitolewa Marekani akaja akapewa ubunge na uwaziri ila leo anakatwa juu kwa juu , wasomi muwe makini ni ngumu sana kufanya kazi na akil ndogo

    Sikutegemea msomi, mwanadiplomasia Kama Mulamula kuishia kukatwa na wajumbe. In short don't trust politicians hasa ukiwa smart . Kwakuwa watu wenye akili Sana hawapendwi Tanazania.
  9. Wakili Nassoro Katuga kuwa makini yasije kukukuta kama yaliyomkuta jaji aliyemuhukumu Sadam Hussein

    Machawa wanaweza kuchukulia simple, lakini tuwakumbushe ata Gadaff, Hussein Mubarak,Bashar al Hasad, Idd Amin walichukulia mambo simple. Huyu bwana mdogo Nassoro Katuga, tunamjua in and out toka yupo sekondari Arusha, Hadi anaunga Certificate ya law mpaka degree ya law pale Mzumbe University...
  10. Kama wewe ni makini?

    Andika sababu ya umaskini wako na njia za utatuzi👇👇👇
  11. Heche kuwa makini usiharibu mambo.CHADEMA hii sio ya kupokea makapi ya CCM

    Nimesikitika sana kusikia kuwa Heche angewakaribisha waliookatwa CCM kama CHADEMA ingeshiriki uchaguzi. Heche kumbuka CHADEMA hii sio kama ya Mbowe ya kuwa inakaribisha mamluki alafu baada ya uvhaguzi wanarudi CCM Umekosea sana.
  12. Kuwa makini na usijenge aina hii ya fence nyumbani kwako

    Hizo isolated posts ni rahisi kutumika kama ndoano ya kamba za panya road ili kupanda ukuta na kufanya yao
  13. Mvutano ndani ya CCM ni alama ya kuvifungua akili vyombo vya dola. Vikiwa makini huu ndo wakati wa kusimika mifumo imara

    Siasa za Tanzania chini ya Chama cha Mapinduzi ni siasa za makundi kugombania Madaraka na Ulaji. Makundi yote yanafanana kwenye jambo kuu moja. Uchu wa madaraka ili kuila keki ya Taifa vizuri. Makundi yote haya yanaamini yakishika utawala wa nchi basi watapata hela wapendavyo, wataishi vizuri...
  14. Abtali Mwerevu, Mtu mwema, Makini na Mwaminifu Kupitiliza

    Nimekuwa nikiitumia JamiiForums tangu inaanza. Kwanza niliitumia kawaida bila kujiunga, mpaka nilipoamua kujiunga rasmi mwaka 2013. Kila ninapoingia mtandaoni mtandao wangu wa kwanza ni JamiiForums. Mara zote nilipoingia, nilikuta habari za watu wengine mpaka hii leo nilipoingia na kukuta tuhuma...
  15. Samia kwa makini yasijekukukuta kama ya Rais John Kennedy wa Marekani

    Kubali ukatae kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CCM. Kuna kundi kubwa linalompinga Samia ndani ya CCM. Hakuna kitu kibaya kama kuwa na mpinzani wa ndani hii ni kitu mbaya sana. Mtu anae kujua vizuri ni rahisi kukumaliza .. Donald Trump pamoja na kuwa na Secret service protection ila hali manusra...
  16. Onyo la CDF: Ilikuwaje CCM ikampitisha Ssebuyoya (mrundi anayejaza warundi nchini) kuwa mwakilishi wa vijana?

    Família yake ilihamia ngara miaka ya 1970 ikitokea Burundi na kuishi nchini kama wakimbizi bila kupewa uraia yeye na kaka yake wakasomea Ngara na kujichanganya na watanzania na kuingia kwenye Siasa . Japo wanangara walimkataa akiwa CHADEMA kwa sababu ya uraia wake akiwa Dk Mkuu wa hospital...
  17. Rais Samia asipokuwa makini CCM itamfia

    Chama cha Mapinduzi kinaenda kufa rasmi mikononi mwa Rais Samia. Rais Samia hapendwi, simpendi, hatumpendi. Ni aibu kuona chama tawala kilichodumu miaka na miaka kwenda kumfia mgombea ambaye hata wanachama wenzake ndani ya chama hawakubali uongozi wake ila kakikundi ka watu wachache wenye...
  18. Mtu anajiita 45 ukifatilia kwa makini hata 45 yenyewe hajui ni nini

    Unakuta MTU anajiita 45 , ukifatilia huyu Ana anachojua anajua hata 45 yenyewe au ni nini au nikufatilia trending za kishamba. Badala ya kufuatilia mambo ya msingi ya kuwainua kiuchumi wao wanafatilia cheap issues.
  19. Kanisa ni Bibiarusi, twende nalo kwa makini

    Unapogusa kanisa, unamkusa Kristo mwenyewe kwa sababu ila hilo ukristo duniani hautambuliki, bila hilo, ukristo dunaini hauhubiriwi, watu hawaabudu Mungu kwa njia ya ukristo, fanya vyote ila usiguse kanisa, kwa sababu utapambana na mwenye kanisa mwenye ambaye ni Yesu Kristo. Hii ndio sababu...
  20. S

    Katika watu 20 utakao kutana nao msoga 18 wana HIV . Kuweni makini na msoga.

    Huku si watoto,si watu wazima wengi wanaishi na VVU tena zile advanced stages (stage 3-4) Ogopa unaenda hospitali unakuta top ten diseases miongoni mwao ni HIV.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…