makazi

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Bandari kavu kwenye makazi ya watu Mtaa wa Magogoni – Kigamboni ni hatari na kero kwa Wananchi

    Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Magogoni Wilaya ya Kigamboni, mtaa wetu umekuwa na changamoto za kuwa na bandari kavu karibu na makazi ya watu katika njia zinazoingia mtaani kwetu. Mojawapo imekuwa ikileta changamoto malori yanayosubiri kupakia na kushusha kontena yana-park barabarani na kutuachia...
  2. JamiiForums Tanzania Responded Wananchi wa Mbagala Rangitatu wadai kubomolewa makazi, vibanda vya biashara wakati kesi iko mahakamani

    Wananchi hawa wa Mbagala Rangitatu, Dar es Salaam, wamedai kubomolewa makazi, vibanda vya biashara zao na Manispaa ya Temeke wakati kesi iko mahakamani, tukio hilo limetokea Mei 2, 2026. Wananchi wanadai wana zuio la Mahakama Kuu na kesi ipo mahakamani ila Manispaa ya TEMEKE walifika ghafla Mei...
  3. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kampuni ya makazi Solutions inauza Ardhi Kinyemela kwa Wageni

    Sasshivi wanamiradi iko Tanga na wanaiuza kwa raia wa Zanzibar, nimekwenda kuuliza endapo wana miradi Zanzibar wameniambia ipo, baada ya kuonesha nia ya kununua wakaniambia siruhusiwi maana mimi ni Mtanzania bara. Nikawauliza kwanini wananchi wa Zanzibar wananunua ardhi bara, akaniambia hata...
  4. JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia unapojenga nyumba ya makazi kwenye eneo lenye udongo wa mfinyanzi

    vitu vya kuzingatia unapojenga nyumba ya makazi kwenye eneo lenye udongo wa mfinyanzi Udongo wa mfinyanzi (clay soil) ni mgumu kujengea kwa sababu huvimba ukiwa na maji na kusinyauka ukikauka. Hii husababisha nyufa kwenye kuta na msingi. Haya mambo 8 muhimu ya kuzingatia ukijenga kwenye udongo...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Hifadhi ya makazi ya muda kwa mpambanaji

    Maisha yana mambo mengi sana, upatapo nafasi na wasaa wa kumsaidia mtu usisite kufanya hivyo. Ninatoa fursa ya makazi kwa mtafutaji/mpambanaji (Jinsi yoyote), mwenye tabia njema, mwenye mtaji na shauku ya kufanyia harakati zake Dsm na hajui aanzie wapi kwa upande wa makazi. NB: Awe na mtaji.
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO UBOVU WA BARABARA – Kahana Mjini Kati na Maeneo ya Makazi ya Watu

    Ninaomba kuwasilisha kero kubwa inayotukumba sisi wafanyabiashara wa Kahama Mjini Kati. Barabara zetu ziko katika hali mbaya sana, zimejaa vumbi kupita kiasi. Kila gari linapopita linachochea vumbi kubwa ambalo linaingia moja kwa moja kwenye maduka yetu na kusababisha madhara yafuatayo: ❌...
  7. JamiiForums Tanzania Shetani kaweka makazi yake ya kudumu kwenye kubeti

    Liverpool, Real Madrid na Arsenal ni timu za mpira za hovyo sana kuwahi kutokea. Ila Mungu nimwema angalau leo nimeamka na nguvu na kuwaza mambo mengine nakusahau yalioyonitokea jumamosi. Mkeka ulikuwa uchanike lakini hizi timu bure kabisa. Mnaosoma huu uzi nataka tu niweke wazi shetani...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri wa ulinzi Israel, Katz: Wakazi 600,000 wa Lebanon kusini hawataruhusiwa kurudi kwenye makazi yao tena

    Waziri wa Ulinzi wa Israeli Katz: amesema; "Wakazi 600,000 wa kusini mwa Lebanon ambao wamehamishwa hawataruhusiwa kurudi hadi usalama wa wakazi wa kaskazini mwa Israeli utakapohakikishwa. Nyumba zote katika vijiji vilivyo karibu na mpaka wa Lebanon zitaharibiwa. Israeli itaunda eneo la ulinzi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kwa wadau, serikali, na watunga sera kuangalia upya mfumo wa upangaji wa makazi ili kulinda maslahi ya wananchi

    Katika hatua za maisha, karibu kila mtu hulazimika kuwa mpangaji katika makazi ya mtu mwingine kabla ya kujenga au kumiliki makazi yake mwenyewe. Kutokana na umuhimu mkubwa wa soko la makazi (real estate) na kupanda kwa gharama za maisha kila siku, ipo haja ya kuwepo kwa sheria madhubuti za...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa UDOM tukibaki hosteli wakati wa likizo tunalipishwa japo tumeshalipa hela ya makazi

    Wanafunzi wa UDOM tunalipishwa hela ya Makazi tunapobaki wakati wa likizo ingawa tunakuwa tushalipa hela ya makazi (accommodation fees) ya mwaka mzima kwenye direct cost. Sasa swali ni je kama tunalipa hela ya makazi ya Mwaka mzima kwanini tulipishwe wakati walikizo? Au hii likizo haupo kwenye...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Takribani watu 1,300 wameuawa na Mamilioni kupoteza makazi Iran

    Shirika la la habari la Kimataifa Al Jazeera imetoa ripoti inayoonyesha kiasi gani Iran imeathirika katika mashambulizi yanayoendelea dhidi yake katika mashambulizi yaliyoanzishwa na Israel pamoja na mshirika wake Marekanin yaliyoanza February 28, 2026 na mpaka sasa yanaendelea Ripoti hiyo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Tabia ya kujenga Bandari Kavu kwenye makazi ya Watu inaongezeka Buza na Mwanagati, mamlaka zimeruhusu?

    Maeneo ya Buza pamoja na mji mpya wa Mwanagati kumekuwa na wimbi kubwa sana la kupachika hizi ICD (bandari kavu) katika makazi ya watu jambo linaloleta kero kubwa sana ya malori maeneo ya makazi na kuleta foleni kubwa sana. Tunaomba mamlaka ituangalie Wananchi na kuangalia namna ya kuzisogeza...
  13. JamiiForums Tanzania Siku hizi Watanzania wanajitahidi kujenga nyumba standard

    Kiukweli licha ya kuwa kuna makazi mengi duni Tanzania lakini sikuhizi watu wanajenga nyumba standard na nyumba nzuri Kwenye miji yetu yenye mazingira ya uswazi utagundua kuwa uswazi huo ulijengwa miaka mingi iliyopita, ila ukisikia kuna mtaa wowote mpya unajengwa, basi lazima utakuta nyumba...
  14. JamiiForums Tanzania UN imeshuhudia Wayazidi 10,000 wakiuawa, 7,000 wakitekwa nyara na kubakwa huku 500,000 wakikimbia makazi yao. UN is comprised!

    Kila wakati trump anaipiga chini sana UN kutokana na unafiki wao, hadi akaamua kujitoa katika baadhi plans ambazo amekuwamo miaka mingi. Ni nani anae control UN? UN imegeuka chombo cha kulaani na kutoa matamko kwa watu wengine ila kama jambo linahusu itikadi ya mrengo wa kulia, israel na US...
  15. JamiiForums Tanzania Mtanganyika usikate tamaa hata huko Marekani kuna watu wasio na makazi wanalala barabarani

    Los Angeles Homeless Crisis: How Fentanyl Is Fueling a Growing Crisis in 2025 | Documentary 2025 fuatilia youtube......
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mbwembwe nyingi mitandaoni, lakini makazi ya Baba Mkoani Iringa pa kawaida Sana

    Ni mtu mashuhuri JIJINI Dar es Salaam anayesifika kwa biashara ya nguo na dawa za Binadamu ndizo zilizompa Maarufu na kutamba Mjini Kwamba ana hela, lakini ukweli ni Kwamba nimefika msibani kwa Baba yake hapa Iringa Mjini alikuwa anaishi Maisha ya kawaida Sana. Sasa sijui ndiyo masharti ya...
  17. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba ya makazi Mbeya

    Habari za asubuhi Ndugu zangu, Naombeni mnisaidie bajet ya kununua tofali za block 3000 hapa mbeya.
  18. JamiiForums Tanzania Urusi yasema Ukraine ilishambulia makazi ya Putin

    Waziri wa mambo ya nje Urusi Bwana Lavlov adai kuwa usiku wa kuamkia leo Ukraini ilijaribu shambulia makazi Putin Amesema kuwa mazungumzo ya amani yanasitishwa Hayo yakitokea Rais wa Ukraini adai Urusi inadanganya na ina lengo la kushambulia majengo ya serikali huko Kyiv Putin aagiza jeshi la...
  19. JamiiForums Tanzania Mauaji baada ya Maandamano pia yamefyeka Omba-omba na wasio na makazi

    Yaan ilikua wewe ukionekana unakula Shaba ya kichwa, tumbo au mkoundouni. No discussion. RIP wote
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen z waliwashinda nguvu polisi kwa asilimia 100% Oct 29, badala yake polisi walianza kuvizia makazi na vikundi vidogo lakini kwenye uwanja walikimbia

    Gen z waliwashinda nguvu polisi kwa asilimia 100% Oct 29 badala yake polisi walianza kuvizia makazi na vikundi vidogo lakini kwenye uwanja walikimbia. Ikumbukwe polisi waliuwa maelfu ya gen z na wanawake oct 29 wengi wakiwa majumbani. Je, Tutegemee nini #D9 polisi watakutana na visasi vya gen...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…