makazi

  1. K

    Ni wakati sasa kwa wadau, serikali, na watunga sera kuangalia upya mfumo wa upangaji wa makazi ili kulinda maslahi ya wananchi

    Katika hatua za maisha, karibu kila mtu hulazimika kuwa mpangaji katika makazi ya mtu mwingine kabla ya kujenga au kumiliki makazi yake mwenyewe. Kutokana na umuhimu mkubwa wa soko la makazi (real estate) na kupanda kwa gharama za maisha kila siku, ipo haja ya kuwepo kwa sheria madhubuti za...
  2. A

    KERO Wanafunzi wa UDOM tukibaki hosteli wakati wa likizo tunalipishwa japo tumeshalipa hela ya makazi

    Wanafunzi wa UDOM tunalipishwa hela ya Makazi tunapobaki wakati wa likizo ingawa tunakuwa tushalipa hela ya makazi (accommodation fees) ya mwaka mzima kwenye direct cost. Sasa swali ni je kama tunalipa hela ya makazi ya Mwaka mzima kwanini tulipishwe wakati walikizo? Au hii likizo haupo kwenye...
  3. R

    Takribani watu 1,300 wameuawa na Mamilioni kupoteza makazi Iran

    Shirika la la habari la Kimataifa Al Jazeera imetoa ripoti inayoonyesha kiasi gani Iran imeathirika katika mashambulizi yanayoendelea dhidi yake katika mashambulizi yaliyoanzishwa na Israel pamoja na mshirika wake Marekanin yaliyoanza February 28, 2026 na mpaka sasa yanaendelea Ripoti hiyo...
  4. A

    KERO Tabia ya kujenga Bandari Kavu kwenye makazi ya Watu inaongezeka Buza na Mwanagati, mamlaka zimeruhusu?

    Maeneo ya Buza pamoja na mji mpya wa Mwanagati kumekuwa na wimbi kubwa sana la kupachika hizi ICD (bandari kavu) katika makazi ya watu jambo linaloleta kero kubwa sana ya malori maeneo ya makazi na kuleta foleni kubwa sana. Tunaomba mamlaka ituangalie Wananchi na kuangalia namna ya kuzisogeza...
  5. Traxtion

    Siku hizi Watanzania wanajitahidi kujenga nyumba standard

    Kiukweli licha ya kuwa kuna makazi mengi duni Tanzania lakini sikuhizi watu wanajenga nyumba standard na nyumba nzuri Kwenye miji yetu yenye mazingira ya uswazi utagundua kuwa uswazi huo ulijengwa miaka mingi iliyopita, ila ukisikia kuna mtaa wowote mpya unajengwa, basi lazima utakuta nyumba...
  6. ELI COHEN

    UN imeshuhudia Wayazidi 10,000 wakiuawa, 7,000 wakitekwa nyara na kubakwa huku 500,000 wakikimbia makazi yao. UN is comprised!

    Kila wakati trump anaipiga chini sana UN kutokana na unafiki wao, hadi akaamua kujitoa katika baadhi plans ambazo amekuwamo miaka mingi. Ni nani anae control UN? UN imegeuka chombo cha kulaani na kutoa matamko kwa watu wengine ila kama jambo linahusu itikadi ya mrengo wa kulia, israel na US...
  7. MakinikiA

    Mtanganyika usikate tamaa hata huko Marekani kuna watu wasio na makazi wanalala barabarani

    Los Angeles Homeless Crisis: How Fentanyl Is Fueling a Growing Crisis in 2025 | Documentary 2025 fuatilia youtube......
  8. K

    Mbwembwe nyingi mitandaoni, lakini makazi ya Baba Mkoani Iringa pa kawaida Sana

    Ni mtu mashuhuri JIJINI Dar es Salaam anayesifika kwa biashara ya nguo na dawa za Binadamu ndizo zilizompa Maarufu na kutamba Mjini Kwamba ana hela, lakini ukweli ni Kwamba nimefika msibani kwa Baba yake hapa Iringa Mjini alikuwa anaishi Maisha ya kawaida Sana. Sasa sijui ndiyo masharti ya...
  9. Bwege2030

    Ujenzi wa nyumba ya makazi Mbeya

    Habari za asubuhi Ndugu zangu, Naombeni mnisaidie bajet ya kununua tofali za block 3000 hapa mbeya.
  10. HIMARS

    Urusi yasema Ukraine ilishambulia makazi ya Putin

    Waziri wa mambo ya nje Urusi Bwana Lavlov adai kuwa usiku wa kuamkia leo Ukraini ilijaribu shambulia makazi Putin Amesema kuwa mazungumzo ya amani yanasitishwa Hayo yakitokea Rais wa Ukraini adai Urusi inadanganya na ina lengo la kushambulia majengo ya serikali huko Kyiv Putin aagiza jeshi la...
  11. and 998 others

    Mauaji baada ya Maandamano pia yamefyeka Omba-omba na wasio na makazi

    Yaan ilikua wewe ukionekana unakula Shaba ya kichwa, tumbo au mkoundouni. No discussion. RIP wote
  12. Genius Man

    PostGE2025 Gen z waliwashinda nguvu polisi kwa asilimia 100% Oct 29, badala yake polisi walianza kuvizia makazi na vikundi vidogo lakini kwenye uwanja walikimbia

    Gen z waliwashinda nguvu polisi kwa asilimia 100% Oct 29 badala yake polisi walianza kuvizia makazi na vikundi vidogo lakini kwenye uwanja walikimbia. Ikumbukwe polisi waliuwa maelfu ya gen z na wanawake oct 29 wengi wakiwa majumbani. Je, Tutegemee nini #D9 polisi watakutana na visasi vya gen...
  13. Fbn

    Siku ICC ikiomba google itaje wasiojulikana walikuwa wanatumia google map location kujua makazi mtabaki midomo wazi. Nawapa stori ya kweli

    Hii ni kweli kuwa dunia unaweza kujiona umejificha kumbe hupo uchi. Kuna kijana mmoja huko Marekani mwenye asili ya asia raia wa Marekani, ni kijana mdogo wale vijana wanaopitia ujuaji na ujanja wa UVCCM mfano tu. Wakati wa matembezi alitokea kibaka na kupora simu yake ya iphone na ile simu...
  14. Lord Denning

    Mwenye taarifa za Makazi, Mali na Familia za Jaji Mwambegele na Ramadhani Kailima wa Tume ya Uchaguzi atusaidie

    Mwenye taarifa za makazi yao, ndugu zao, familia zao kama mke na watoto au wazazi na mali zao hawa watu wawili atusaidie tukawasalimie
  15. Lord Denning

    Uzi Maalum: Weka hapa makazi wa Mawaziri, Wabunge na Chawa wote

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza tunaomba wanabodi mtiririke hapa. Tuna kazi kubwa iliyotukuka Oktoba 29. Mimi ninashughulika na makazi ya Mbunge wangu wa Ukonga Jerry Silaa.
  16. S

    Tetesi: Chaji simu yako, weka bando na usilale. Magari mengi yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Tesha's effect is really

    Kuna magari mengi sana yanaelekea kwenye makazi ya CDF muda huu. Haijafahamika mara moja kama ni viongozi wa kiserikali ama ni wanajeshi. Sasa wewe lala upitwe!
  17. Fbn

    Wapalestina sio watu wakuwapa msaada makazi ndio maana waarabu wenzao waligoma

    Wenye imani na kuwaonea uchungu wapalestina nendeni mkawachukue ila siku mtajikuta nyie ndio mkipigwa viboko. Hawa watu bora tu mataifa yawatambue waachiwe taifa lao ila sio kwenda kwenye mataifa mengine.
  18. A

    DOKEZO Ni sahihi mwananchi kutozwa hela ili apate Anuani na Makazi (NaPA)?

    KUNA SUALA LA WANAFUNZI KUOMBA MKOPO WA ELIMU YA JUU WANAAMBIWA BILA KUWA NA NaPA (National Physical Addressing) - anuani Na Makazi hawawezi kuendelea na kufanya maombi na ukienda kufatilia hiyo NaPA unaambiwa utoe Shilingi 10,000/= ili uweze kuhudumiwa. Kupata hiyo NaPA katika Ofisi za...
  19. D

    Unapotaka kuhamia sehemu au kununua makazi, kuna umuhimu wa kuangalia aina ya majirani?

    Unahama kutoa sehemu A kwenda B, kuna umuhimu wa kuangalia utapakana na majirani wa aina gani?? Kabila au dini zao?? Financial status?? I'm just asking.
  20. Sales man

    Utaratibu wa kuanzisha kiwanda upoje, je ni sahihi mtu kuweka kiwanda katikati ya makazi ya watu ambacho kinazalisha environmental pollution?

    Leo , nipo kawe katika Siasa . Ila nimefika mtaa fulani nimekuta kuna kiwanda kipo na kina zaidi ya mwaka mmoja kinaleta environmental pollution. Je ni sahihi naomba watu wa mazingira tuwasiliane haraka.
Back
Top Bottom