Naombeni mnieleweshe Kipindi au zama ambazo alikuwa anaishi bwana yesu kulikuwa hamna picha na huyu bwana yesu ambaye tumemuona au tanamuona makanisani picha yake ilipatikana VP? Na ukiangalia brian deacon amefanana na huyu yesu ambae tunaenda madhabauni kumuabudia ? Naombeni mnieleweshe mwisho...
Mwigizaji Olivia Hussey maarufu kama Juliet , aliyepata umaarufu kupitia filamu ya Romeo and Juliet ya mwaka 1968, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73.
Mwigizaji huyo ambaye amewahi kuuvaa uhusika kama mama wa Yesu katika filamu ya 'Jesus Nazareth' ya mwaka 1977, amefariki siku ya Ijumaa...
Nimesoma baadhi ya coments kwenye video kuna comments zijazielewa .
Kwani huko Misikitini na Makanisani tunafundishwa nini ?
https://youtube.com/shorts/rshL-5gKQWA?si=sxfJ-ai-adqRFYtt
https://youtu.be/CcsuxHwzHnM?si=PGHKECduCsGHNkvG
Swali. Hawa walioengua wapinzani wanaingia misikitini na makanisani kusali au ni wapagani?
Kwa binaadam wa kawaida ambae anaingia misikitini au makanisani hawezi kufanya hivi
NIMEULIZA HIVYO KWA SABABU
Qur'an inatoa mafundisho muhimu kuhusu kutenda haki hata wakati wa chuki au hisia nyingine...
UMEWAHI kusikia kanisa liitwalo KANISA HALISI LA MUNGU BABA? Wanavaa nguo nyeupe kanisa zima, ibada zao nyingi zinarushwa STAR TV?Hawataji jina MUNGU wala YESU wao wanaita CHANZO HALISI 😁Hapa nakuletea historia fupi ya kiongozi huyo maarufu kwa jina la ELISHA ELIYA MIAKA 1000 (anaandika michuzi...
Injili ya sasa ni tofauti kabisa na zamani makuhani walitufundisha neno la Mungu lenye kutujenga kiroho zaidi na kutukumbusha tuache dhambi tuishi maisha ya kumpendeza Mungu
Injili hii kwa sasa imekuwa ni nadra sana kuipata Kuna kitu sikielewi kwa sasa hii ni jumapili 6 tangu nimerudi tena...
Askofu Dr Shoo amenena ukweli kuwa Rushwa za uchaguzi zimeanza kupenyezwa kwenye makanisa na misikitini, bila aibu watumishi wa Mungu na waumini chukueni tahadhali za kutosha ili msije mkajidhalilisha kwa umma wa Tanzania.
Wananchi wanaona yanayotendeka kipindi hiki kwa viongozi wetu...
Unaingia kanisani na shida zako kwa kutegemea upunguziwe mastress ya maisha matokeo yake unaenda kubebeshwa madeni tena.
Kanisa siku nzima linachangisha fedha, bado kuna sadaka kama 7 hivi aloo. Hawa majamaa hapana aisee. Mungu hajaagizo mambo ya hivyo. Sadaka ni hiari ya mtu ila siku hizi...
Shalom ndugu zangu, huko makanisan ni kutamu balaaa, watu wanapelekeana moto hakuna mfano.
Nimeshahudumu kwenye kwaya hivyo michezo yote naijua, tena ukute mwalimu wa kwaya ni(me) na hajaowa basi mabinti wengi hujisogeza hapo ili wapate upendeleo wa kuimba.
mwalimu mwenyewe wa kwaya awe hana...
Sababu kubwa ni laana za kuwapa wanadamu wenzao nafasi ya au karibu na Mungu.
Hii laana husababisha wahusika kutoridhika na matunzo ya Mungu wao.
Hivyo kumkinai Mungu, kuwakinai wanaowafuata wakiujua ubinadamu wao na kugeukia atheism kama faraja mbadala. Yesu akija atakuta kundi hili kubwa...
Huu ni ujumbe wa wazi ninaoupeleka kwa Dr Mpango , ambaye ni Makamu wa Rais wa Tanzania.
Tangu itokee sintofahamu ya kutoonekana kwake, Mh huyu alijitokeza kwa mara ya kwanza Kanisani , jambo lililoshangaza wengi , Sisi wengine tulitarajia labda atokee ofisini kwake au kwenye majukumu mengine...
Kucheza tutakavyo ni ruhusa, Ruhusa hii tumepewa kwa kanisa kubariki tukio la Mfalme Daudi alipocheza mpaka nguo zikamdondoka.
Tuwe huru,
Ukichukia mapendekezo haya labda uwe msabato, hakuna kucheza ni kusimama tu
Waislam wengi ni waarabu, viongozi na makao makuu yapo uarabuni.
Wahindu wengu ni wahindi, Viongozi na makao makuu yapo India.
Ajabu ni kwamba wakristo wengi ni sisi waafrika lakini viongozi na makao makuu yapo ulaya.
Ulaya imeshakuwa kawaida makanisa yanakuwa matupu kabisa, si ajabu kusikia...
Kwani Wewe umekuja Kanisani Kusali ( Kuabudu ) au Kumchunguza GENTAMYCINE anatoa Sadaka ipi na Kiasi gani?
Tafadhali Benki Kuu ya Tanzania ( BOT ) kama ikiwapendeza rejesheni zile Noti za Tsh 500/= na mkiweza pia bunini na za Tsh 200/= kwani mtatufichia Aibu Sisi akina Choka Mbaya ambao wakati...
Mimi ni muumini wa kanisa la KKKT, sasa Kuna Shida Moja inanisumbuaga Kanisani ni pale Mchungaji anakuwa anahubiri mara ghafla anakwambia mgeukie mwenzako au Mshike mkono Mwenzako.
Yaani unageuka unakutana na mdada mzuri mweupee ana shepu pale pale unahama Kanisani. Tena akiwa na yeye yupo...
Nadhani ni muhimu sana kuendelea kukumbushana mara kwa mara na kwa kina juu ya nini hasa kinahojiwa kuhusiana na kuuzwa kwa Tanganyika kwa ujumla wake.
Japo ukisema Tanganyika imeuzwa wanakwambia lete ushahidi kwamba nchi imeuzwa, sasa tujiulize, lengo la kutaka kubadili sheria ya kulinda...
Kama ni kusali nenda kasali ukipewa nafasi ya kusalimia waumini toa fungu la biblia au msitari wa Quran lkn ukianza kuongelea siasa au kuwananga wanasiasa kwenye kibweta na wewe unaingiza siasa kanisani. Nyerere kila Jumapili alikuwa anahudhuria misa St. Peter’s lkn ilikuwa nadra sana kupanda...
GENTAMYCINE tayari nimeshawahi na nimekaa zangu Siti za mbele mbele kabisa nikitanguliwa na Kwaya yetu nzuri yenye Nyimbo za Kukufanya uwe karibu zaidi na Mwenyezi Mungu na akupunguzie Dhambi zako japo hatozifuta zote ili Akakuadabishe vyema Mbinguni Siku ya Hukumu.
Leo Makanisani ( kwa wenye...
Injili ya kale ya akina Petro ilikuwa rhema.
Rhema ni neno la Mungu kwa wakati husika. Yaani Mungu anasema kwa kinywa cha mtu. Anaweza kutumia neno hili la kila siku (logos) ila anaposema Mungu mwenyewe hulitia uzima na kutimiza kusudi lake kwa haraka kama umeme.
Ndio maana ukisoma kitabu cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.