makanisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Makanisa mengi ya kilokole ni kero, niliwahi kuacha kodi ya miezi minne kwasababu ya makelele, nilipoenda kulalamika niliitiwa polisi naleta vurugu

    Nipo tayari niishi karibu na makanisa ya waroma, wauteri, wasabato, n.k. lakini sio ya walokole. Nakumbuka dalali alinipeleka siku ambayo kumetulia sana, nilipaelewa mahali hapo nikalipia kodi miezi 6 na dalali nikampa hela yake, maisha yakaanza. Kanisa lilipofunguliwa hakuna rangi ambayo...
  2. JamiiForums Tanzania Je, Mungu wa walokole hasikii hadi apigiwe makelele Makubwa?

    Wakisali ni makelele makubwa sana, mpaka unashangaa, hivi haiwezekani wakiomba waombe kwa Sauti za kawaida tu na sio kupayukapayuka? Wakianza kuabudu sasa, muziki utawekwa full blast, buzuki kubwa sana halafu ndani ya kanisa unakuta wako watu wanne tu wa familia Moja, hapo watapiga makelele...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Taratibu za Uanzishwaji wa Makanisa Katika Maeneo ya Makazi

    Naomba msaada kujua mwongozo au kanuni rasmi zinazohusu uanzishaji wa makanisa katika maeneo ya makazi hapa Tanzania. Mimi ni Mkristo na ninaamini kwa dhati katika uhuru wa kuabudu. Hata hivyo, kuna nyakati ambapo ibada na maombi kutoka baadhi ya makanisa yanapita kiwango na kuwa KARAHA, hasa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania TZ nchi ambayo makanisa, vyama na watu wanafungwa na kufungiwa kabla ya ushahidi!!!!

    TZ nchi ambayo makanisa, vyama na watu wanafungwa na kufungiwa kabla ya ushahidi!!!!. Chadema imefungiwa hata kabla kesi yake haijasikilizwa, kanisa la gwajima limefungiwa bila yeyote kusikiliza kesi au onyo, Lissu kafungwa kama hata kesi yake haijasikilizwa, mshahidi mpaka leo wa siri na hakuna...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna makanisa mengine atulali usiku kwa kuomba

    Hivi kwanini iko hivi maana kama kuomba si iwe kwa watu husika sio kwa mtaa mzima au eneo zima amlali ni kwaya usiku kucha ukienda kuangalia kanisa ndani wapo watu awazidi watano Mtuonee huruma tunapishana kwenye Imani
  6. JamiiForums Tanzania Kuteka, Kuua, Kubaka na Kulawiti Kibiblia ni Dhambi. Kama Makanisa yanafungiwa wa kukemea dhambi basi Ukristo Umeshambuliwa na upo hatarini Tanzania

    Kwa mujibu wa Biblia Takatifu, Kuua, Kubaka, Kulawiti na kuonea watu ni dhambi. Kama nchi yetu imefikia hatua Makanisa yanafungiwa kwa kukemea dhambi kwa mujibu wa Biblia basi tukubaliane kuwa Ukristo unashambuliwa rasmi nchini Tanzania. Huu ni wakati Wakristo wa Tanzania wanapaswa kusimama...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Salaam kutoka Jimbo la Indiana Marekani kuhusu kufungiwa makanisa

    Nadhani huyu ni mtanzania kwa lafdhi yake. Msikilize.
  8. JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako aibuka, awaka serikali kufungia makanisa, asema 'vile mnavyowavumilia wakatoliki na hao muwavumilie vilevile'

    "Nataka niongee na serikali, isitufungiefungie makanisa, mbona katoliki hawafungagi jamani. Mnatuzalilisha mbona hamfungi katoliki. Tumesikia juzi katoliki wametoa waraka mzito wameamuru muwaachilie wafungwa sijui ni na nini, mbona hamuwafungii makanisa yao. Akina Bagonza sijui wanasema maneno...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna Makanisa na Makanisa Kuanzia Makanisa,Vikanisa,Kikanisa na Vijikanisa!, Je Makanisa Yote Yanaweza Kufungiwa?au Vikanisa, Vijikanisa na Kikanisa?

    Wanabodi, Moja ya faida za mitandao ni kuelimishana, hili ni bandiko la kutoa elimu kuwa japo kisheria makanisa yote yana hadhi sawa mbele ya sheria,lakini japo ni mchungu,lakini ndio ukweli wenyewe, kuwa makanisa hayafanani, Kuna Makanisa na Makanisa!,Makanisa makubwa, ,makanisa madogo, kuna...
  10. JamiiForums Tanzania Swali kwa msajili wa jumuiya za kiraia Je, muanzilishi wa kanisa akifariki kanisa litafutwa?

    Baba msajili wa makanisa hebu tueleweshe kuhusu hili. Endapo mwanzilishi wa kanisa amefariki je, kanisa litafutwa?
  11. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Rais Kufungia Makanisa ni Tusi kwa Katiba, Unajisi kwa Demokrasia na Vita Dhidi ya Mungu Mwenyewe

    Ni jambo la kutisha na la kuumiza kuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kutumia mamlaka ya ofisi ya juu kabisa ya utawala, akiamua kufungia nyumba za ibada kana kwamba ni maeneo ya kihalifu. Huu ni ushahidi wa wazi wa kuporomoka kwa heshima ya mamlaka ya dola, na zaidi ni dalili ya...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kama kweli makanisa na misikiti ni muhimu kwa WAAFRIKA kwanini serikali wafungiww?

    Habarini, Waafrika ifikie wakati tuanze kuwaza kwa akili na bongo zetu,hivi kweli kama makanisa na misikiti yangekuwa na UMUHIMU serikali za Afrika zingeyafunga? Je serikali zinazofunga makanisa na miskiti viongozi wao hawajui kuwa dini ni za Mungu na ndizo zitawapeleka Waafrika mbinguni?
  13. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuanzisha makanisa ,misikiti na NGOs utazamwe upya

    Kwa sasa imekuwa jambo rahisi sana katika kuanzisha hizi taasisi kupitia mifumo ya kieletroniki . Ni vyema Regulatory authorities kujitathmini na kufanya mapitio ya kina namna mtu au taasisi anavyoweza kuanzisha taasisi yake. Uwepo wa mifumo ya kieletroniki usitafsiriwe kuwa ni rahisi tu...
  14. JamiiForums Tanzania Kabla hamjayafungia hayo makanisa tayari Mungu atakuwa amemalizana na nyie

    Bashungwa Bashungwa Bashungwa Nimekuita kwa herufi ndogo ili nikupe onyo. Most of unregistered churches ni pentecostal churches. Wapentekoste ni watu wanaodharaulika sana katika jamii nyingi duniani lakini nikuambie kitu. Usicheze na walokole. Mungu wa Walokole yuko active mno zaidi ya miungu...
  15. JamiiForums Tanzania Kazi na Utu; Watu wanatekwa, Watu wanauawa, Makanisa yanafungiwa, Tunasonga mbele

    Kuna Mgombea mmoja 'Motto' wa kampeni zake na chama chake ni 'Kazi na Utu', wakati huohuo katika nchi anayoiongoza watu wametekwa, wameteswa, wameuawa, wengine wametekwa mchana kweupe na miili kukutwa imetelekezwa Wakati huohuo baadhi ya wachache wenye ujasiri wa kuisemea hadharani na kukemea...
  16. JamiiForums Tanzania Wapenda haki tunataka kusikia tamko la Umoja wa Makanisa Tanzania CCT

    Sina mengi kama heading inavyosomeka umoja wa makanisa Tanzania CCT utoke hadharani na tamko lake ili tujuwe msimamo wa kanisa ni nini juu ya haya yanayoendelea.
  17. JamiiForums Tanzania USHAURI: Serikali fungieni na makanisa ya Katoliki, Lutheri na Anglikana

    Sina haja ya kuleta ushahidi kwa viongozi wakuu wa haya makanisa kutoa kauli za "kiuchochezi" na "taharuki" kwa taifa kuhusu haya haya masuala ya utekaji na uuaji Katibu wa TEC "amechochea" mara nyingi Kalikawe Benson Bagonza naye ni "mchochezi" mkubwa Alex Malasusa naye tumemshuhudia...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya watekaji sio ya kawaida wanaweza zuia dola isichunguze na kuamuru dola kufungia makanisa

    Watanganyika sasa ni wakati wa kupatwa kwa dola, dola kumbe nayo inaweza kushikwa na kuwekwa kiganjani na madogo kama abduli wauza spea kariakoo. Kweli kua uyaone
  19. D

    JamiiForums Tanzania Kufungia Makanisa na Kushambulia Viongozi wa Kikristo ni Mashambulizi Dhidi ya Imani ya Kikristo, Hatutakubali

    Kama Injili inakuchoma moto hadi unakosa usingizi si urudi kwenu ukachome ubani na kupungia maruhani? Maana ndo mambo unayaweza. Kuwatawala watu wa Bara haiwi kazi rahisi kihivyo, kwa taarifa yako unashindana na watu mil.60+ kulinganisha na ndugu zako mnaojaa tu kwenye kiganja cha mkono; 60...
  20. JamiiForums Tanzania Fatma Karume aonya Gwajima kuaminika kama mtetea haki, akumbushia suala la kutaka kubadilisha misikiti kuwa makanisa!

    Hili suala la utekaji linazidi kuchukua sura mpya, Fatma Karume ameibuka na kusema Gwajima sio mtu wa kuaminika katika kutetea haki kwa sababu kuna wakati alitaka kuwanyang'anya Waislamu haki yao kuabudu aliposema atabadilisha misikiti kuwa makanisa! Sikuwahi kujua Fatma Karume ni mshika dini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…