makamu

  1. JamiiForums Makamu wa raisi ajaye ni Paul Christian Makonda.

    Paul Christian Makonda ni mwanasiasa mashuhuri na mwenye ushawishi mkubwa nchini Tanzania, ambaye kwa sasa anahudumu kama Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na pia ni Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini. Aliteuliwa katika nafasi hiyo ya uwaziri na Rais Samia Suluhu Hassan mnamo Januari 8...
  2. M

    JamiiForums Kwenye mapendekezo ya makamu wa Rais nawaona waislamu, hilo halitawezekana kwasababu Rais sio Muislam wa Bara

    1. Julius Nyerere Abeid Karume Rashidi Kawawa Aboud Jumbe Ali Hassan Mwinyi 2. Ali Hassan Mwinyi Joseph Warioba John Malecela Cleopa Msuya 3. Benjamin Mkapa Omar Ali Juma Ali Mohamed Shein 4. Jakaya Kikwete Ali Mohamed Shein Mohamed Gharib Bilal 5. John Magufuli Samia Suluhu Hassan...
  3. A

    JamiiForums Mh. Rais makamu wako asiwe mtu anayewaza kuja kuwa Rais

    Cheo cha makamu wa Rais ni cha pili kwa ukubwa nchi hii, si vizuri kumweka kijana anayewaza kuwa Rais kwa maana hakuna tena cheo chini ya hapo. Ukiangalia Prof. Mark Mwandosya, Dr. Harrison Mwakyembe wanafaa sana, shida arrogance ya wanyakyusa! Ukienda ukanda wa Rukwa kuna mzee anaitwa Kimathi...
  4. M

    JamiiForums Panapokuwa na Rais wa Bara Muislam panaweza kuwa na makamu mkristo kutoka Zanzibar ?

    Mfano kipindi cha Kikwete alilazimika kuwachagua Ali Mohamed Shein na Mohamed Gharib Bila
  5. JamiiForums Kwani ni lazima Makamu mpya wa Rais awe mkatoliki?

    Naona watu wanasema makamu wa Rais awe mkataliki je ni lazima makamu wa Rais awe mkatoliki Wakatoliki wanajikutaga wao ni watu wa muhimu sana kuliko madhehebu mengine ya wakristo Unajua watu wanawatuhumu wazanzibar kwamba wana nepotism ila hakuna watu wanaubaguzi kama wakatoliki huwa wanadhani...
  6. JamiiForums Prof Adolf Mkenda anafaa kuwa Makamu wa Rais (Msomi, Msikivu, Mkatoliki & Busara)

    PhD ya Uchumi toka University of Gothenburg, Sweden, Mkatoliki mfia dini, Mwanataaluma toka UDSM na Waziri wa Elimu mwenye maono kwa taifa. Busara ya uongozi na mtulivu. Rombo mtuazime tufanye maendeleo ya nchi nzima.
  7. JamiiForums Kikao cha Dharula: Kabudi atateuliwa kuwa Makamu wa Rais

    Anamuweka 1. Mtu atayeweza kumcontrol 2. Ambaye hana tamaa na Urais mwaka 2030 3. Mkristo hasa awe Mkatoliki 4. Mtanganyika 5. Mwanaume 6. Mkubwa kiumri kuliko yeye 7. Muongeaji sana (Propaganda)
  8. JamiiForums Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?

    Kufuatia kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Emmanuel John Nchimbi. Je, nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?
  9. JamiiForums Nafasi ya makamu wa Rais ilitumika kama kipozeo cha mtu aliyeuchukia muungano ILA akitokea zanzibari,Mungu aligeuza baada ya kifo cha Magu je walijua?

    Hii Nafasi ilikuwa ikitumika kama Nafasi ya kumpooza uchungu,mzanzibari yoyote AMBAE atagombea uraisi zanzibari na akakatwa na halimashauri kuu ya ccm baada ya kubaini yakuwa mgombea aliyekatwa alikuwa miongoni mwa wagombea lakini wenye vinasaba vya kutoupenda muungano WA Tanganyika na...
  10. JamiiForums Hawa hawawezi kushika madaraka ya Makamu wa Rais wa JMT kwa sbb zifuatazo

    Baada ya Dr Emmanuel Nchimbi kubwaga manyanga (kutema mbungo), Ramli chonganishi zinapigwa sana kutabiri nani atachukua nafasi yake Pamoja na uharamu wa serikali hii, lakini by all means necessary nafasi ya VP mwingine haramu ni lazima ijazwe.. Hawa hawawezi kuwa na sababu anuwai za kwanini...
  11. JamiiForums Makamu ajaye sasa awe Msabato au Mlokole

    Madaraka makubwa zaidi ya juu Tanzania katika vyeo viwili vya juu kabisa vya nchi yamekuwa yakikaliwa na yakipokezanwa kati ya Uislamu na Ukatoliki tu, ni wakati sasa wa kuvunja utaratibu huo makamu wa Rais atoke angalau kutoka kwa Wasabato, Walokole au Anglicana.
  12. JamiiForums Makamu wa Rais ni Mchengerwa

    Mohamed Mchengerwa ni Waziri mwenye kifua kipana. Ni Waziri mchapajazi kuliko mawaziri wote. Hakika Nafasi ya Makamu wa Rais inamtosha sana.
  13. S

    JamiiForums Mhe. Rais makamu wa Rais ni John Mongela

    Hakuna mtu anamfikia John Mongela kwa sasa. Ni mwadilifu, mnyenyekevu, mtiifu. Wanaoweza kufuatia Innocent Bashungwa, Dotto Biteko
  14. JamiiForums Tetesi: Nchemba kuwa Makamu wa Rais na Makonda kuwa Waziri Mkuu

    Mwigulu atateuliwa kuwa VP na Makonda anaenda kuwa PM" Uamuzi alishauamua tokea akiwa Zanzibar na ni Washirika wake wachache sana aliowajuza; mmoja-wao ni Abeid" Anamwona Mwigulu anapwaya kuwa PM na kwa sababu ya hilo la EN ku resign, anaona ni wasaa sahihi wa kumpa nafasi isiyo na kash-kash...
  15. JamiiForums Kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi: Mahojiano na Jambo FM

    https://youtu.be/HbPhXOsTTJI?si=hS_Hj3UZBVvvtJij
  16. A

    JamiiForums Mh Rais makamu wako ni John Mongela

    Mhe. Rais mtanzania namba moja kuwa makamu wako ni John Mongela. Wengine wanaofuatia ni Innocent Bashungwa, Dotto Biteko. Usiende nje ya hapo. Mama niajiri nitakusaidie
  17. K

    JamiiForums Kama ni kweli Makamu ajaye atakuwa kama Dolly tu

    Nchi ya Tanzania sasa ni koloni la wanzanzibari makamu wanaotaka ni kama awe Dolly la kukaa na kuzubaa na kula rojorojo. Yaani mtu akisema nchi ipiganie katiba ni tatizo tujiulize kwanini na tunaenda wapi?
  18. JamiiForums Civilian-Coin: Narudia tena, Kuna Rais Afrika Mashariki atajiudhuru na sio Makamu wake.

  19. JamiiForums Habari ya makamu kujiuzulu ipostiwe kwenye mitandao ya kijamii?

    Wakuu, Mimi binafsi bado siamini. How come simple like that? Yaani majamu ajiuzulu kama diwani? On social media? Akili yangu bado inagoma. Hii ilibidi iwe live. Kama kipindi kile cha lowassa. Hata kwenye page za ofisi ya makamu hakuna hii taarifa. Account yake iko hacked? Late is wait and...
  20. JamiiForums Kwanini taarifa za kifo cha Mpishi wa Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais zimefichwa?

    Ofisi ya Makamu wa Rais ilitangaza msiba wa mtumishi wake, Bi. Kulwa L. Ngusa, aliyekuwa akihudumu kama Mpishi katika Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Kulwa alifariki dunia Agosti 21, 2026, majira ya saa 12:00...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…