makamu wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi Wanachama

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi Wanachama wa Mkataba wa Amani, Usalama na Ushirikiano kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na eneo la...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt Emmanueli Nchimbi kumwakilisha Rais Samia mkutano wa dharura wa SADC

    Ndugu zangu Watanzania, Makamu wa Rais Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi,Anatarajiwa Kumuwakilisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika Mkutano wa Dharura wa SADC. Embu soma hapo👉Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais aongoza Waombolezeji katika mazishi ya Marehemu Jenista Mhagama

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MAKAMU WA RAIS AONGOZA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZISHI YA MAREHEMU JENISTA MHAGAMA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaongoza waombolezaji kwenye Mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi akishiriki katika ibada ya kuaga mwili wa Jenista Mhagama

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho Marehemu Jenista Joakim Mhagama.
  6. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Makamu wa Rais, Dkt. Nchimbi: Vijana wengi hawajui umuhimu wa Muungano

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi ameitaka Wizara ya Muungano na Mazingira kujipanga katika suala la elimu ya muungano hususani kwa vijana kwani wengi hawajui historia na umuhimu wa muungano. Dkt. Nchimbi ambaye alikuwa kwenye kikao kazi akizungumza na...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Je, una mshauri nini Dkt. Emmanuel Nchimbi Makamu wa Rais wa Tanzania?

    Wadau nyote karibuni tumshauri Mheshimiwa jambo ambalo unaweza mshauri. Kwangu mimi namshauri adumishe hekima kubwa aliyonayo.
  8. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuhakikisha kikatiba makamu wa rais harithi madaraka pale rais anapokufa ili kuepuka kurudia makosa

    Kama katiba yetu ingekuwa hairuhusu makamu wa rais kuchukua madaraka baada ya kifo cha rais, tusingekuwa kwenye balaa hili linalotusumbua sasa hadi kupoteza maisha ya watu wetu wasio na hatia. Wala tusingekuwa na rais pandikizi ambaye hatukumchagua. Tusingekuwa na utawala usiojua unachopaswa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dr. Emmanuel Nchimbi awasili Zambia

    19 November 2025 Lusaka, Zambia Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi awasili Zambia Kushiriki utiaji saini wa makubaliano ya ufufuaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania – Zambia (TAZARA) Makamu wa Rais wa Tanzania, John Nchimbi, amewasili nchini Zambia kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Vyombo vya...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nini maana ya kuwa na waziri mkuu pamoja na makamu wa Rais?

    Kuna maana gani ya kuwa na waziri mkuu ambae anakuwa appointed na president, wakati huo huo tuna vice president ambae pia anaingia kitini kupitia ticket ya rais. It's useless to have the PM as the head of the government, being appointed by an individual (President). It's even foolish to have...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Samia: Iundwe wizara ya tathmini, ufuatiliaji na udhibiti ubora na iwe Chini ya Ofisi ya Makamu wa Rais

    Kwako Rais wa JMT, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Awali ya yote natanguliza shukrani kwa Mwenyezi Mungu kutujalia afya njema na kutoa pole nyingi kwa wote waliopoteza Ndugu, jamaa na marafiki kutokana na maandamano. Mwenyeji Mungu aendelee kulijalia amani ya kutosha. Ni heshima kubwa kukufishia...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango amkabidhi ofisi ya Makamu wa Rais, Ikulu Chamwino Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Mzee wangu Mpango kapumzike! sasa tena ikiwezekana nenda tu ulipotokea huko Kigoma nenda kafanye kilimo na ufugaji na kucheza na wajukuu zako! Ila pakusema sema usiogope na wala usiwe kama wale wengine wanaleta uchawa na uzee wao! =============== Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Suala la Makamu wa Rais kuwa Rais pindi Rais anapofariki inaleta hali ya kutoaminiana na hivyo kupunguza kasi ya maendeleo

    Hii sheria ya Makamo wa Rais kupata mserereko wa kuwa Rais inapelekea madhara makubwa mno kama ikiwa makamo wa Rais akawa ni mtu wa uchu wa madaraka. Nchi za wenzetu huwa wanatumia mbinu za kupinduana, Rais wa nchi akiteleza kidogo tu makamo fasta anampindua na kuwa yeye ndiye Rais wa nchi na...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini yamfungulia mashtaka Makamu wa Rais Machar kwa tuhuma za uhaini

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini, Riek Machar, anakabiliwa na mashtaka ya uhaini na uhalifu mwingine mzito, mamlaka za sheria zilisema Alhamisi, hali ambayo imezua hofu ya kurejea kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe. Machar amekuwa kizuizini tangu Machi 2025 baada ya serikali ya mpito...
  15. R

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Trump akimfokea aliyekuwa Makamu wa Rais Kenya, Rigathi Gachagua

    Wakuu habari, Nimekwama hapa kupata details za kutosha kuhusu haya mazungumzo ya Rais wa Marekani Donald Trump na aliyekuwa makamu wa rais Kenya Rigathi Gachagua
  16. JamiiForums Tanzania Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu wanawezaje kushitakiwa/kuwajibishwa?

    Akizungumza Jumapili Agosti 24, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole alipendekeza kuwepo kwa sheria ya kuwawajibisha viongozi kwa matendo wanayofanya wawapo madarakani. Je, sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu viongozi wa juu akiwamo Rais wa Jamhuri ya Muungano, Makamu wa...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Makamu wa Rais wa JICA

    Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amefanya mazungumzo na Bw. Ando Naoki, Makamu wa Rais wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) pembezoni mwa Mkutano wa Tisa wa TICAD uliofanyika jijini Yokohama. Mheshimiwa Waziri Kombo...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Urais na Makamu wa Rais kupitia NCCR-Mageuzi wachukua fomu ya uteuzi

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama NCCR- Mageuzi, Haji Ambar Khamis akiwa ameambatana na Mgombea mwenza, Everylin Munisi, amechukua fomu ya Urais katika Tume Huru ya Uchaguzi Jijini Dodoma leo August 15, 2025 huku akiahidi kuwa endapo Watanzania watamchagua kuwa Rais atahakikisha...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Makamu wa Rais asisitiza jeshi la polisi kushirikiana na TAKUKURU kudhibiti vitendo vya rushwa uchaguzi mkuu

    Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amelitaka jeshi la polisi kushirikiana na Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) ili kupambana dhidi ya vitendo vya rushwa wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Dkt.Mpango ametoa kauli hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Haiwezekani makamu wa rais znz,akawa toka bara,na wa bara akawa mznz ili kubalasi mambo ya kiutawala?

    Kwa Tanzania bara hili halina mjadala,je kwa upande wa znz kwa nini hili lisiwezekane?,tujadili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…