makamu mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kinana kujiuzulu, CCM itampata Makamu Mwenyekiti wa CCM kijana

    Ni kweli kwamba katika uongozi wa CCM, vijana wamekuwa wachache ikilinganishwa na wazee. Hata hivyo, uchaguzi wa makamu mwenyekiti mpya wa CCM kijana unaweza kuwa na athari chanya katika kuunganisha na kujenga ushawishi miongoni mwa vijana, hasa kundi la Generation Z. Baadhi ya faida zinazoweza...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inawezekana tukapata KATIBA MPYA Mizengo Pinda akiwa Makamu Mwenyekiti wa CCM

    Pamoja na mapungufu yake mengi, ninachomkubali Mizengo Pinda ni uumini wake kwenye Katiba Mpya. Nilishawahi muangalia akitoa maoni TBC akiwa mjumbe wa kikosi cha kutazama hali ya demokrasia nchini na kusema kweli aliunga mkono suala la Katiba Mpya. Pamoja na mapungufu yake mengi ,ninachomkubali...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti taifa kumuachia kiti makamu mwenyekiti taifa

    Kama kuna mistake ambayo kama mwenyekiti wa chama hawezi kuifanya, Kwa mfano, wa chama cha demokrasia na maendeleo, chadema, ngazi ya taifa ni kwamba, kamwe haitatokea, wala hata thubutu kuifanya akiwa kiongozi mwenye dhamana na mamlaka Chadema, kwamba eti aachie uenyekiti wa chama mikononi mwa...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Gari la mchango la makamu Mwenyekiti CHADEMA

    kumekua na maswali mengi sana, kuhusu gari la mchango la makamu mwenyekuti wa chadema, kwamba gari hilo la mchango ni kwaajili ya matumizi na kazi za chama au kazi zake binafsi? ni vema chimbuko la jambo hili likawekwa bayana vizuri wengi hawaelewe vizuri. Na kwamba wachangiaji wa gari...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Ni Aibu na Fedheha kubwa sana kwa CHADEMA Nzima kushindwa kumpatia Gari la Ofisi Makamu Mwenyekiti wake Mpaka anaamua kutumia la kukodi

    Ndugu zangu Watanzania, Inasikitisha sana,ni aibu kubwa ,inafedhehesha,inaleta maswali mengi sana juu ya umakini na akili za chama hiki cha CHADEMA. Hii ni baada ya kusikika kwa taarifa kuwa Lissu alikuwa hana gari la kutumia katika shughuli za chama, na kwamba gari alilokuwa akitumia lilikuwa...
  6. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa makamu mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi Tanzania bar

    Makamu mwenyekiti mzee kinana anahutubia taifa kwenye mkutano mkubwa ulioandaliwa katika ukumbi wa CCM Watu wa kila kada Ni wengi Sana Tazama TBC ujione mwenye jins anavyo pqngua hoja za chademq
  7. Tryagain

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti CHADEMA ni paka na panya

    Vita ya urais kati ya Lissu na Mbowe yaipasua CHADEMA. Mgogoro mkubwa wa madaraka waibuka kuwania ugombea urais 2025 Lissu akianika chama chake hadharani, asema CHADEMA imekithiri rushwa. Ashutumu uongozi wa chama kumnyima pesa za maandamano na mikutano ya hadhara ======== Mei 3, 2024 Na...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Makamu mwenyekiti UWT CDE. Zainabu Shomari atoa salamu za upendo za Rais Dkt. Mwinyi kwa UWT

    MAKAMU MWENYEKITI UWT CDE. ZAINABU SHOMARI ATOA SALAMU ZA UPENDO ZA RAIS DKT. MWINYI KWA UWT Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndugu. Zainab Shomari akizungumza na Maelfu ya Wanawake waliojitokeza kwa wingi kwenye Kongamano la kumshukuru Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kuna nafasi hazijawahi kutwaliwa na wanawake, Makamu mwenyekiti CCM na Katibu mkuu CCM, kwanini?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sijawahi kusikia makamu mwenyekiti ccm mwanamke, pia Katibu mkuu ccm mwananmke. Tumeona makamu wa rais mwanamke na akawa rais ki bahati bahati tu. Hizo nafasi haziwezi kutwaliwa na mwanamke huko ccm? vipi katibu mkuu ccm haiwezekani akapewa mwanamke pia...
  10. Dr Shekilango

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti wa CCM Kinana anauma na kupuliza kuhusu maendeleo ya Mkoa wa West Lake (Kagera)

    Kuwa na Maprofessor wengi siyo kigezo cha kuongeza kipato Mkoani West Lake (Kagera). Makamu Mwenyekiti anaongelea tangu Uhuru Serikali imeweka miundombinu gani kuwezesha Mkoa wa West Lake (Kagera) kuzalisha. Nadhani hasikwepeshe wajibu wa serikali kwa walipakodi wa West Lake (Kagera) kwa...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kama ifuatavyo:- Amemteua Dkt. Jones A. Killimbe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Chato: Makamu Mwenyekiti UWT Akagua Miradi ya Maendeleo

    Dondoo Mradi wa maji Bilioni 5.6 Mradi wa Bwaro Shule ya Sekondari Mil. 100 Mradi wa kituo cha Afya. Mil. 526 Viongozi wa UWT Taifa leo Septemba 28. 2023 wamefika wilaya ya Chato katika muendelezo wa Ziara ya kikazi inayoendelea mkoani Geita, yenye lengo la kuzungumza na wana CCM, kuimarisha...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti UWT Taifa Atembelea Kituo cha Afya cha Kagongwa, Kahama

    MAKAMU MWENYEKITI UWT MNEC. ZAINAB SHOMARI ATEMBELEA KITUO CHA AFYA KAGONGWA-KAHAMA Makamu mwenyekiti wa UWT MNEC. Zainab Shomari mapema leo Agosti 28.2023 akiwa wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga ametembelea na kukagua kituo cha Afya cha Kagongwa Kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Kahama,ikiwa...
  14. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Makamu Mwenyekiti UWT Taifa Mkoa wa Tabora, Igunga

    📍Igunga, Tabora Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Zainabu Shomari (MNEC) akiwa ameambatana na Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mhe. Sauda Mtondoo, Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Bw. Francis Msabila, Mganga Mkuu wa Wilaya, Mganga...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti UWT Taifa Akagua Ujenzi wa Hospitali Wilaya ya Itigi

    MAKAMU MWENYEKITI UWT TAIFA ZAINAB SHOMARI AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI. Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa, Zainab Shomari ameipongeza Serikali ya awamu ya 6 kwa kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Itigi iliyopo Kata ya Tambuka reli...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu, na Mkutano wa Hadhara Temeke Leo Jumatano 25/1/2023

    Ni Asubuhi tulivu siku ya Jumatano, Katika Jiji hili kuu la Kibiashara la Dar es Salaam leo majira ya saa 7:35 mchana anatarajiwa kutua mwanamapinduzi wa kweli Tundu Antipas Lissu ambaye anarejea nchini mwake baada ya kulazimika kuwa uhamishoni kwa takriban miaka 6 kutokana na Jaribio la...
  17. Ritz

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti CHADEMA, comrade Tundu Lissu mbona upo kimya kwenye maridhiano?

    Wanaukumbi. SULUHU aliyoleta Rais Samia inamuacha upande gani Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Tundu Lissu. Je, huu ni USHINDI kwa CCM na serikali yake au Upinzani. Thinkers” ni lazima tujiulize maswali magumu. Je, yaliyotokea hayajawahi tokea miaka ya nyuma? Kikwete hakuwaita wapinzani...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Victoria Charles Mwanziva, Makamu Mwenyekiti UVCCM Taifa 2022-2027

    KWA NINI VICTORIA CHARLES MWANZIVA MAKAMU MWENYEKITI UVCCM TAIFA 2022-2027 Kuna mambo Matano Muhimu sana katika Maisha ya kawaida mtu anapotaka kununua kiwanja katika eneo Fulani na kujenga nyumba lazima azingatie upatikanaji wa huduma muhimu za Kijamii kama Maji, Umeme, Nyumba za Ibada, Shule...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Joseph Selasini achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi

    Mkutano Mkuu wa dharura wa chama cha NCCR-Mageuzi umemchagua Joseph Selasini kuwa makamu mwenyekiti wa chama hicho. Selasini amechaguliwa katika uchaguzi uliofanyika leo Jumamosi Septemba 24,2022 katika ukumbi wa St Gasper jijini Dodoma. Katika uchaguzi huo, Selasini amepata kura 173 kati ya...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania RPC Kilimanjaro na Arusha wapuuza agizo la Mzee Kinana

    Sasa nimejifunza na kutambua kauli inayosema ‘ ni kauli za kisiasa’. MaRPC wa mikoa ya Arusha na kilimanjaro wameamua kupuuza kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mh Kinana kwa kufungulia trafic wa kutosha ndani na nje ya miji. Idadi ya matrafiki bara barani imezidi tena na mijini wanazunguka...
Back
Top Bottom