makamu mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tundu Lissu hajasimamisha mgombea wa Makamu mwenyekiti?

    Heri ya mwaka mpya wanajukwaa, tukielekea uchaguzi mkuu wa chadema ngazi ya taifa nimekua najiuliza sana kwanini Tundu Lissu hajasimamisha mgombea wa makamu mwenyekiti?. Ipo wazi wenje ni endorsement ya Mbowe, ina maana hata akishinda atafanya kazi na Wenje ambaye anampinga hata kabla ya...
  2. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Wakati wowote Godbless Lemma atatangaza na kuchukua fomu ya kugombea Makamu Mwenyekiti CHADEMA ili kumkabili Hezekiah Wenje ambae ameshatangaza

    Habari ndio hiyo Wenje kupambana na Lemma Makamu wa Mwenyekiti CHADEMA Taifa. Wajumbe kazi kwenu ni ama dalali ama mchungaji wa Mungu.
  3. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi nafasi ya Makamu Mwenyekiti ni Wenje tu aliyechukua fomu na hakuna mwingine? Hii hatari

    Mimi kwa mawazo yangu huyu wenje ni pandikizi la Mbowe tuombe mtu mwingine achukue fomu kama Heche kwa nafasi hiyo mbona kimya. Nawatakia Krismas njema PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
  4. Nandagala One

    JamiiForums Tanzania Vichekesho ,CCM haina Makamu Mwenyekiti, wapo busy Kushupalia Lissu ashindwe.

    Heshima kwenu, CCM no sawa na mtu aliyeshindwa kulea na kuhudumia watoto wake, lakini anaomba kujitolea kumtunza Yatima IL Hali watoto wake wamemshinda. Angalia, Kipara kipya, Magonjwa Mtambuka,lakini na wana CCM kiujumla wanavyoshupalia kumponda Lissu,na kutamani Mbowe agombee na aendelee kuwa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wenje kasuburi mpaka Lissu aliposema anaegombea nafasi ya makamu mwenyekiti ndio aliempleka Abdul nyumbani kwake ili amuhonge?

    Leo Wenje ndio anajitokeza kujitetea ila siku zote alikuwa kimya. Swali: Unaweza kuzushiwa tuhuma nzito kama hizo halafu ukakaa kimya kisa tu hukutajwqlwa kwa jina lako? Mwanzoni watu walidhani Lissu anaongea kitu ambacho hakipo, ila sasa ni wazi yote aloyoyasema yana ukweli na namshauri...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Za ndani kabisa, Biteko kuwa makamu mwenyekiti wa ccm

    Tetesi za ndani kabisa kutoka viunga vya Kizimkazi zinasema mama anamtaka Biteko kuwa ndiye awe makamu mwenyekiti wa ccm. Endapo itakuwa kama inavyosemekana, je, nani atachukuwa nafasi ya unaibu waziri mkuu? Au nafasi hii itafultiliwa.mbali??
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mara paap! Kinana kawa makamu mwenyekiti wa chadema. Inhiiiiiiii!

    Sijui maccm wataficha wapi nyuso zao? Makonda na Samia kama nawaona vile wanavuonuna.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Endapo Lisu atakuwa Mwenyekiti, Makamu mwenyekiti Heche na Katibu Mkuu awe Lema. Patachimbika!!

    Tutashuhidia maccm yakiomba uraia nchi jirani kukimbia moto wa chadema. Mungu ibariki chadema.
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Makamu Mwenyekiti wa ACT Bara: CCM imekuwa ni genge la wahalifu. Kazi pekee wanayoweza ni kuiba rasilimali za umma!

    Wanaukumbi, ACT imeendelea kutoa spana kwa chama tawala yaani CCM. Akiwa anazungumza kwenye kampeni Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita alitoa tuhuma kali dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), akidai kuwa chama hicho kimegeuka kuwa genge la wahalifu linalojinufaisha na...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti Umoja wa Wazazi CCM ampongeza Rais Samia kwa maagizo ya maafa ya Kariakoo

    Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dogo Iddi Mabrouk (MNEC) alifika Kariakoo eneo ambalo jengo la ghorofa lilipoanguka na kusema kuwa wanamshukuru Rais Samia kwa maagizo aliyoyatoa kuhusu kadhia hiyo.
  11. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu nenda taratibu, tumia hekima na busara kumaliza tofauti zako na Freeman Mbowe. Vinginevyo mnaiua CHADEMA

    Mimi The Palm Beach si mwanachama wa CHADEMA ila ni mpenzi na mfuasi wake na nakiunga mkono kwelikweli chama hiki... Ni wazi kuwa Kuna mgogoro mkubwa kati ya Mwenyekiti Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wake Tundu Lissu ndani ya CHADEMA Nitasikitika na kuumia sana kama chama hiki cha siasa...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Silaa ateua Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania na Wajumbe wa Bodi hiyo

    TAARIFA KWA UMMA Kwa mujibu wa Kifungu cha 5(1) kikisomwa pamoja na jedwali la Sheria ya Shirika la Posta ya Mwaka 1993 Kipengele cha 1(1)(b) pamoja na Tamko la Waziri Na. 845 lililochapishwa kwenye Gazeti la Serikali la tarehe 15 Novemba, 2019 vinampa Mamlaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Isihaka Mchinjita: Katika baadhi ya maeneo wagombea wetu wametakiwa ili wapewe fomu ni lazima wapeleke vitambulisho vya uraia

    Hali inakuwa si nzuri kwa vyama pinzani nchini kwenye uchaguzi huu wa serikali za mitaa ambapo kila leo unasikia wanakutana na vibwanga. Leo ACT Wazalendo wanasema wagombea wao bila NIDA basi fomu awapati. Mbona tuliambia kwamba uchaguzi huu utakuwa wa uhuru na haki! Lakini hali na kasoro kibao...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Nashauri makamu mwenyekiti CHADEMA apumzike tu siasa, yanini kujilazimisha na haiwezekani kamanda?

    Anatia huruma sana for sure. Ni ngumu kwake, lakini anajaribu kua jasiri kuonyesha ni rahisi kwa namna ambayo haimpi ahuweni wala faida ya kisiasa, nadhani anajiumiza zaidi na kujiongezea udhaifu. Succession plan ichukue mkondo na nafasi yake kuimarisha ustawi wa Chadema ijayo sasa. Upo...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Njia nyeupe kwa Ezekia Wenje makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

    ikiwa hali ya kisiasa nchini na mipango mikakati kuelekea uchaguzi mkuu 2025 itakwenda kama ambavyo iko hivi sasa, basi ni dhahiri mgombea makamu Mwenyekiti Chadema taifa atabaki Ezekia Wenje pekee.. Je, ni ishara ya pumzi mpya, fikra mpya, mawazo mapya, harakati mpya na zama za hayati Chacha...
  16. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dr Bashiru Makamu Mwenyekiti Bara

    Heshima sana wanajamvi, Taarifa nyeti chini ya carpet Dr Bashiru Katibu Mkuu Mstaafu na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafishwa anatarajiwa kuchukua mikoba ya Lt Col Kinana. Katika hatua ya kujiondoa taratibu kutoka kambi ya Wazee wa kulamba asali Mama wa Kizimkazi kaamua kijikita zaidi huko Kanda ya...
  17. Nkarahacha

    JamiiForums Tanzania Dkt Bashiru aliyeokotwa kwenye jalala anaweza kutangazwa makamu Mwenyekiti wa CCM.

    Vyanzo vyangu vinanitonya kuwa Dkt Bashiru Ally anaweza kutangazwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa kuchukua nafasi ya Kinana. Shida niliyogundua kwake kipindi akiwa Katibu mkuu ni kuamini kuwa bado wananchi wana mawazo ya enzi za mwalimu,ameachwa sana na wakati. Haendani na kasi ya...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kilicho dhahiri shahiri CHADEMA ni kwamba, makamu mwenyekiti taifa anamuogopa mno mwenyekiti taifa

    ni zaidi ya mara moja sasa huyu muungwana analalamikia nje ya reli kutuhumu chama chake mwenye kwa rushwa. na safari hii ameenda mbali zaidi na kutishia kukihama chama hicho. sasa sijui anamtisha nani pale chadema.. na mara zote amepuuzwa na viongozi waandamizi wenzake dhidi ya aina yake ya...
  19. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Tujadili kwa uwazi kisheria kuhusu kujiuzulu kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Abdulrahman Kinana. Sheria, Katiba na Kanuni zihusike

    Ibara ya 19(b) ya Katiba ya CCM ya 1977, Toleo la 2022 inatoa fursa ya Kiongozi KUJIUZULU. UTARATIBU Makamu Mwenyekiti CCM anapojiuzulu hutakiwa kukabidhi barua ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa chama Taifa. Kisha, Mwenyekiti anatakiwa Kikatiba (CCM) kuipeleka kwenye Halmashauri Kuu ya CCM Taifa...
  20. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru Ally Kakurwa anatufaa kuwa Makamu Mwenyekiti Bara

    Mama kama utasoma mwandiko wangu huu hapa jukwaani! Mtu pekee ambae atakuwa loyal kwako kutokana na hofu aliyonayo baada ya yale ya kipindi kile ni Dkt. Bashiru Ally kakurwa hebu mpe nafasi naamini hatokuangusha! Unachohitaji ni ushindi TU na ushindi unapatikana Kwa kiteua wale waliodhaniwa...
Back
Top Bottom