makamu mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa CUF Bara, Othman Dunga: Hatuwezi kufanya siasa za kishamba za kumkashifu Rais

    Othman Dunga akiongea na Clouds FM amesema Hatuwezi kufanya siasa za kishamba za kumkashifu Rais. Mtu anapanda jukwaani anasema 'Eti Samia'. Huwezi kumuita Samia, huyu kiongozi wa nchi, ni 'icon' ya nchi. "Lazima apewe heshima yake. Tunasema tunamuomba Rais Samia Suluhu Hassan na mtu ukimpa...
  2. Adverse Effect

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuchaguliwa Tundu Lissu Makamu Mwenyekiti IDU

    UMUHIMU WA KUCHAGULIWA LISSU KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA IDU KATIKA SIASA ZA UPINZANI NCHINI TANZANIA! Watu wengi wanajadili kuhusu Tundu Lissu kuchaguliwa Makamu Mwenyekiti wa IDU. Kilichovutia wengi ni kitendo cha kuchaguliwa kwake akiwa gerezani hivyo kuthibitisha uwezo na mvuto wa Lissu hata...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA imeazimia kutofuata maagizo ya Msajili wa vyama vya siasa. No reforms No election kuchanja mbuga

    https://www.youtube.com/live/wUVtQ2kDck8 Makamu Mwenyekiti wa Chama Bara John Heche ni mgeni rasmi katika kongamano la wasomi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar Es Salaam. Pamoja na mambo mengine ataeleza maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kilichoketi kwa siku mbili Makao Makuu ya Chama tarehe 23...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla (CCM): Mzee Wasira hajakata moto, hana jambo lolote ni ratiba tu ya mapumziko

    Katibu Mwenezi, itikadi na mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Amos Makalla akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam amejibu kuhusu ukimya wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Masato Wasira.
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vinaua CHADEMA kwa kuripoti wanaohama — asema Heche, Makamu Mwenyekiti CHADEMA bara

    VYOMBO VYA HABARI VINAUA CHADEMA KWA KURIPOTI WANAOHAMA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameibua hoja nzito inayolenga mahusiano ya vyombo vya habari na vyama vya siasa, akidai kuwa baadhi ya vyombo vya habari vinahujumu...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: CHADEMA haileti Wanaharakati Kutoka nje, LHRC ndio inawaleta

    CHADEMA HAILETI WANAHARAKATI KUTOKA NJE, LHRC NDIO INAWALETEA — ASEMA HECHE, MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA BARA Katika mkutano uliojaa msisimko wa kisiasa uliofanyika leo Mei 23, 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, ameweka wazi msimamo wa chama hicho kuhusu tuhuma...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Hali ya kisiasa Tanzania ni Tulivu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema hali ya kisiasa nchini ni tulivu, ambako amemjibu mwanazuoni mmoja aliedai kuwa hali ya siasa ni mbaya. Mkongwe huyo wa siasa nchini amesema mwanazuoni huyo anachanganya hali mbaya ya chama chake na Tanzania kwa...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Benson Kigaila apewa nafasi ya Makamu Mwenyekiti CHAUMMA

    Halmashauri Kuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) imemteua Benson Kigaila kuwa Makamu Mwenyekiti mpya wa chama hicho. Kigaila ambaye alikuwa akiunda kundi la G55 lililoanzisha harakati na kwenda kinyume na uongozi wa sasa wa Chadema, ametangazwa leo kwenye kikao cha Halmashauri Kuu ya...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Serengeti adai walio katika ziara ya Heche wanalipwa 200,000 /kila siku

    Ndio maana nashangaa Mwamakula, Mwanamapinduzi, Dk Slaa, Lemma wamekomaa, kumbe kuna hela ya chama inaliwa. Heche anatembea na genge la watu kama 50 mara 200,000,sawa na 10,000,000 kwa siku Kesho kesi ya Lissu, hawajali wako barabarani tu, hawakai kupanga mikakafi. Kumbe mikutano ibaandaliwa...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya kukamatwa Kisutu, Naibu Katibu Mkuu CHADEMA-Zanzibar apatikana, adai kupelekwa Pori la Mabwepande na kupigwa sana

    Makamu Mwenyekiti Zanzibar Mhe. Said Mzee Said, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Ali Ibrahim Juma na wengine 10 wakiwemo waandishi wanne walikuwa wamekamatwa mapema leo wameachiwa maeneo ya pori la Mabwepande, Kawe wakiwa wamepigwa na kuumizwa sana na Jeshi la Polisi. Wameumizwa sana na sasa...
  11. Mayor of kingstown

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika kusimamishwa barabarani nusu saa kisa Stephen Wasira anapita

    Tukio limetokea leo asubuhi Dodoma, tumesimamishwa na Polisi magari yote yakae pembeni nikadhani ni kiongozi mkubwa anapita kumbe ni Mzee Stephen Wasira
  12. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Makamu Mwenyekiti wa CCM Steven Wasira kugombea Ubunge Bunda 2025

    Siyo umbea sikiliza mwenywe NCHI HII TUMELOGWA. NA HII NI KWA VILE ANAJUA ATAIBA KURA ATASHINDA! TUME IKO UPANDE WAKE ATAIBA KURA ATASHINDA
  13. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti CHADEMA Zanzibar asema Chama chao hakiwezi kufa kwa njama za CCM na serikali yake

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA TAifa upande wa Zanzibar, Said Mzee ameeleza kuwa Chadema haiwezi kufa kwa hila za CCM, aidha amewapongeza watia nia waliojitokesza katika mkutano huo wa kuwajengea uwezo kuhusu ajenda ya No reforms No election. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  14. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 NCCR – Mageuzi kimemtangaza Haji Ambar Khamis kuwa Mwenyekiti Taifa, wasema watashiriki uchaguzi

    Chama cha NCCR – Mageuzi kimemtangaza mwanachama wake Haji Ambar Khamis kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Taifa huku Joseph Selasin akichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho ngazi ya taifa. Mbali ya uchaguzi wa waili hao kushika hatamu za uongozi pia NCCR – Mageuzi imewatangaza wawili hao...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Selasini: Hatususii uchaguzi, muda uliobaki hautoshi kufanya mabadiliko

    Wakuu, Panazidi kuchangamka huko, Baadhi ya vyama vya siasa nchini vimesema haviko tayari kususia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu kwa kigezo cha marekebisho ya katiba mpya. Haya yamebainishwa mkoani Morogoro na Makamu Mwenyekiti Taifa Chama cha NCCR Mageuzi Joseph...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania TANZIA Makamu mwenyekiti wa TLP, Zanzibar Hamad Mkadam afariki dunia

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Zanzibar Hamad Mkadam amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, wakati akipatiwa matibabu ya afya kwenye moja ya hospitali kisiwani Pemba. Mkadam amefariki ikiwa ni mwezi mmoja na siku nne umepita tangu achaguliwa kuendelea kuhudumu...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kiongozi wa TLS Kagera, Seth Niyikiza akutwa amekufa nyumbani kwake

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Mkoa wa Kagera, Seth Niyikiza amefariki dunia akiwa kajifungia ndani mwake. Akithibitisha tukio hilo leo Jumatano Februari 26, 2025 Kamanda wa Polisi mkoani humo, Brasius Chatanda amesema mwili wa wakili huyo ulibainika baada ya mteja...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya Makamu Mwenyekiti (Zanzibar) ACT, Ismail Jussa alipozungumza na Wanahabari Makao Makuu ya Chama, Vuga, Zanzibar, Februari 27, 2025

    UTANGULIZI: Nimewaita hapa leo kuzungumzia kashfa kubwa (major scandal) inayozunguka kile kilichopewa jina la uwekezaji wa kimataifa katika Bandari ya Zanzibar ambacho sasa kinawatafuna wananchi masikini wa Zanzibar walioangushiwa zigo kubwa la kubeba gharama za mradi huo wa kashfa. Zigo hilo...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kasi ya mikutano ya kisiasa ya makamu mwenyekiti wa CCM bara ndugu Stephen Wasira imewakosesha wapinzani agenda

    Kasi ya Wasira CCM imeharibu mipango, malengo na uelekeo wa upinzani kabisa nchini. Imewadhoofisha na kuwapotezea matumani kabisa, kiasi kwamba wamekosa na hawajui la kufanya. Kwa kipindi kifupi mno, na ni katika maeneo machache sana nchini, ziara za makamu mwenyekiti wa CCM taifa bara...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Lissu alikuwa akiongea popote akiwa makamu mwenyekiti humu Jamii Forums alikuwa akipata support maelfu sasa anapata kiduchu kulikoni?

    Nimekuwa mfuatiliaji wa comments za ku.support alichoongea Lisu akiwa makamu mwenyekiti na sasa akiwa mwenyekiti Lisu alikuwa akiongea popote akiwa makamu mwenyekiti humu jamii forums alikuwa akipata support maelfu kumu support na likes nyingi mno sasa anapata kiduchu kulikoni? Toka...
Back
Top Bottom