makamba

  1. U

    Kitendo Cha Roma Kusema Hadharani Waziri Makamba anavutia Sigara , ni kuingilia uhuru wake

    Wimbo wa Roma ni Mzuri, na umeongea mambo yenye ukweli, ila mambo mengine ameyasema hakupaswa kuyasema. Katika wimbo wake amesema January kugongeana Sigara, sawa sote tunajua January ni Chain Smoker, lakini hajawahi kuvuta Sigara katika hadhara yoyote Wala kumbugudhi mtu, kitendo Cha Roma...
  2. Wanachapana mitandaoni Mwigulu na Makamba itakuwaje Rais akawa Mwinginee kama ilivyotokea kwa Lowassa na Membe

    Nimewaza yale ya Lowassa Vs Membe alafu mwingine ndo akaongoza nchi! Kwa kifupi hawa vijana hawajaiva kushika madaraka makubwa kivile ya nchi wanatakiwa kuwa chini ya Uangalizi, wana familia na kila kitu Ila Uvulana bado unawatawala sana Mtu ambaye umeshakuwa unakuwa na Dalili zifuatazo 1...
  3. J

    Ripoti ya CAG: Mkulima kuwafungulia kesi vigogo Mwigulu, January, Kabudi na Mbarawa

    Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi, Maharage Chande, Masanja Kadogosa, Habinder Seth na wengineo waliotajwa na CAG. Chanzo: Jambo TV
  4. T

    CCM, Siku mtuwekee January Makamba apeperushe bendera ya Urais, ni kutudharau watanzania

    CCM, tunawasaidia ili kuendelea kutawala hii nchi, na itabidi muanze kutulipa tunaosaidia na kuwapa mbinu za kuendelea kuaminiwa, bado mna watu makini. Tukianza kuifanya nchi yetu kuwa ya majaribio, ni kutudharau Watanzania, sio kila mtu aweza kuwa kiongozi, Mungu ametupa vipawa tofauti...
  5. Tetesi: Baraza la Mawaziri kufanyiwa mabadiliko karibuni

    Kuna source yangu Muhimu huenda nami nashiriki, niiweke ilivyo Mama Samia ambaye ni Rais wa Tanzania atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na cha kufurahisha kuna sekta kazigusa Zaidi ya Mawaziri 5 watabadilishwa, Makatibu wakuu 7 watabadilishwa Na wakurugenzi mbalimbali Je, BASHIRU...
  6. N

    Mzee Makamba anasema Watanzania tukae tutulie Rais Samia anafanya kazi nzuri

    Mzee Yusuph Makamba amesema "Tusimfundishe namna ya kufanya kazi hatumtendei haki...niulize kwa haya yanayoendelea je kuna mwenye mashaka tena na uwezo wake hadi sasa? Rais Samia kwetu Watanzania ni kiongozi bora, anatosha. Wakae watulie sasa" Ameongeza kuwa "Muhimu tumwombee kwa kuwa ni...
  7. NGUVU YA MSAMAHA: Stori niliyosikia kwa January Makamba mwaka 2021

    Anasema mwaka 2008, akiwa Msaidizi wa Rais Kikwete, alikuwa ziarani Makete. Alikuwa anatumia gari na dereva wake wa Ikulu, aliyeazimwa kutoka Jeshini. Jioni moja, kuna document ya Rais alitaka aifanyie kazi na kumpelekee kesho yake saa 1:00 asubuhi. Akamwambia dereva amfuate saa 12:30 asubuhi...
  8. K

    Yusuph Makamba: Tusimfundishe Rais Samia kufanya kazi, hatumtendei haki

    Wakati serikali ya awamu ya sit chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu ikianza kuchukua hatua kutokana na mapungufu yaliyoainishwa katika ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)watu mbalimbali wametoa mitazamo yao ikiwemo Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba anasema...
  9. January Makamba: Majadiliano mradi wa kuchakata na kusindika Gesi Asilia (LNG) yakamilika

    Waziri wa Nishati, January Makamba, amesema kuwa, majadiliano yanayohusu Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi Asilia baina ya Serikali ya Tanzania na wawekezaji Kampuni ya Shell ya Uholanzi na Equinor ya Norway na washirika wao yamekamilika na kwamba sasa wataalam wapo katika kazi ya kuandika...
  10. Hizo MW 5,000 unazozipigia chapuo Waziri Makamba zipo?

    Watanzania tuna tatizo kubwa sana la upatikanaji wa maji safi na salama lakini serikali haifanyi juhudi kubwa kulitatua tatizo, huko Manyara, Arusha na Kilimanjaro wananchi wanatumia maji yenye kemikali hatari kwa maisha yao lakini Serikali inaona ni sawa tu, shukurani ziifikie Japani kwa...
  11. Waziri Makamba: Uzalishaji wa Umeme na Gesi Asilia umeongezeka

    Imeelezwa kuwa uwezo wa mitambo ya kuzalisha umeme iliyoungwa katika mfumo wa Gridi ya Taifa umeongezeka na kufikia megawati 1,777.05 Desemba 2022 sawa na ongezeko la asilimia 4.87, ikilinganishwa na megawati 1,694.55 zilizokuwepo hadi kufikia Septemba 2022. Aidha, katika kipindi cha Julai hadi...
  12. L

    Mliomshambulia January Makamba njooni mumpongeze baada ya hali ya umeme kutengemaa

    Ndugu zangu watanzania, Uongozi Unahitaji kuwa na ngozi ngumu, Unahitaji kuwa na msimamo, Unahitaji kuwa mvumilivu na mwenye Subira, Unahitaji kuwa na Nidhamu ya kimaamuzi, Unahitaji kutoyumbishwa na upepo uvumao, Unahitaji kujuwa unasimamia Nini, Unahitaji kujuwa kuwa huwezi ukawafurahisha...
  13. January Makamba, miradi ya umeme yenye dhamani ya 57 Bilioni imekwama kanda ya ziwa au hujawalipa wakandarasi?

    Kuna shida inayoendelea kunyemelea uongozi wa awamu ya 6. January Makamba, waziri wa Nishati alipita mikoa ya kanda ya ziwa na kusema ametuma fedha za miradi ya umeme takribani 57 Bilioni. Cha kushangaza na kusikitisha hakuna mkandarasi site mikoa yote ya kanda ya ziwa na wanaccm wanasubiri...
  14. Gerald Hando amuuliza Januari, Dkt. Kalemani aliweza vipi umeme haukukatika?

    MTANGAZAJI MAHIRI nchini Tanzania, Gerald Hando amemuuliza Januari Makamba kwanini alipoingia kwenye Wizara hiyo umeme ukaanza kukatika hovyo kwanini asimuulize Kalemani aliwezaje. "Januari Makamba tumuulize swali moja dogo sana Kalemani amekaa miaka 6 umeme haujakatika yeye ameingia tu umeme...
  15. M

    Nukuu muhimu ya Januari Makamba kwa watanzania 2022

    NUKUU MUHIMU YA JANUARY MAKAMBA KWA WATANZANIA Mh Rais kazi hii uliyotupa ya kusimamia mradi huu na sekta nzima ya nishati sisi tunaimudu, tunaiweza mipango tunayo mikakati tunayo namna ya kutafuta fedha kukusaidia tunayo na nataka nikuhakikishie wengine sisi ni washindani dhidi ya matatizo na...
  16. Mwigulu na Makamba wamesema uongo utekelezaji wa Bwawa la Nyerere. Mamlaka zichukue hatua

    WAZIRI MWIGULU amesema wakati Rais Samia anaingia madarakani Mradi wa Bwawa la Nyerere ulikuwa umefikia 12% lakini Waziri Januari Makamba mbele ya Mh Rais anasema wakati Rais Samia ulikuwa umetekelezwa kwa 37. Taarifa ya Wizara ya Nishati iliyowasilishwa bungeni Juni 2021 ilisema Mradi ulikuwa...
  17. Makamba unampa taarifa za uongo Rais kwa faida ya nani?

    Kwa Mujibu wa Hotuba ya Bajeti ya Waziri wa Nishati kwa mwaka 2021/2022 nanukuu "Kuendelea na Ujenzi wa Mradi wa Julius Nyerere Hydro Power Project (JNHPP) MW 2,115 ambao hadi kufikia mwezi Mei, 9 2021 utekelezaji wake kwa ujumla umefikia asilimia 52'" mwisho wa kunukuu. Sasa juzi Januari...
  18. J

    Kwanini Magufuli aliwaogopa sana Nape na January Makamba?

    Wote waliohusika kumsema Magufuli kwenye zile sauti zilizovuja, wote walipotezwa kisiasa kasoro Nape na Makamba. Ngeleja japo hakuwa mshiriki mkubwa na kuwa wa kwanza kuomba msamaha lakini alipotezwa kwenye ubunge baada ya Magufuli kumfadhili mshindani wake. Membe alifukuzwa, Kinana nae akawa...
  19. Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

    Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu? Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo. Hayati Magufuli kwa...
  20. D

    Warning call Makamba na Mwigulu, unganeni au mtoswe wote 2030

    Iko hivi Celebrities waliojitokeza kwa wingi kwenye kinyang'anyiro hiki walipigiwa simu wakaombwa waje kugombea UNEC kimkakati, target ni kudhibiti mjadala baada ya matokeo yenu waadhibiwe pamoja na nyie ili umma uamini matokeo ni sahihi, lilikuwa ni igizo. 2030 amueni muungane au mkubali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…