makamba

  1. January Makamba, umeme umekatika mkoa wa Kilimanjaro masaa 6 hadi sasa

    January Makamba, eleza watanzania halisi, hakuna umeme Kilimanjaro sasa ni masaa sita tangu ukatike. Usitegemee wananchi waishi gizani wapige kura kuchagua chama Tawala na hakuna wizi wa kura tena . Uswahili ulisahaulika enzi za JK sasa usitegemee uswahili tena.
  2. Nakukumbusha Waziri Makamba, kama tuliweza kuileta crane yenye tani 70 tushindwaje tani 26?

    Mh Janury Yusuph Makamba nakukumbusha kuwa mwezi March, 28 2021 TPA ilileta Crane yenye uzuto wa Tani 70 ila kwa Bahati mbaya ilitumbukia baharini palepale Bandarini Jijin Dar es salaam, na TPA waliahidi kuwa wanauwezo wa kuitoa, sasa kama TPA walileta mzigo wa Tani 70 iweje useme Tanzania nzima...
  3. H

    Kutoka Ukumbi wa Mlimani City: Mkutano wa January Makamba Kutangaza nia ya Urais

    WanaJF, KAULI MBIU YA JANUARI MAKAMBA: TANZANIA MPYA Ikiwa ni muendelezo wa watangaza nia kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), sasa ni zamu ya January Makamba kutangaza nia kutokea Mlimani City. -January Makamba anaomba ridhaa ya chama kusimamishwa kuwa mgombea wa urais kufuatia wana CCM 15...
  4. Waziri Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini, amtaka Mkurugenzi wa TPDC akajieleze kabla hawajachukua hatua

    January Makamba: Hakuna uhaba wa mafuta nchini. Hakuna sababu ya kuwa na taharuki. Utaratibu wa kuingiza mafuta unahakikisha kwamba mahitaji yapo wakati wote. Serikali inaendelea kuchukua hatua kuongeza uhakika wa upatikanaji na unafuu wa bei. Akijibu swali la mdau alieuliza mkanganyiko kati ya...
  5. January Makamba, Tanesco Hakuna nguzo wala meta kwa wateja wapya nchi nzima , habari hizi unazo?

    Kwa masikitiko makubwa sana Tanesco nchi nzima hakuna nguzo wala mita kwa wateja wapya. Tatizo ni nini? Cha kushangaza na kufurahisha mteja mpya akishapimiwa umeme kama line yake inahitaji nguzo mteja haruhusiwi kulipia wala hapewi control number. Kalemani alikuwa anapata wapi nguzo na...
  6. January Makamba unaturudisha Misri

    Hapo vip!! Kwanza huwa na kukubali kwasababu ni moja wa viongozi vijana unayejielewa na unabusara pia. Ila lazima nikuchane inapotokea jambo ambalo halijakaa vizuri!! Hili swala la mgawo wa umeme tena ya kushtukiza na kimya kimya..ni tafsiri mbaya kwa wanzania. Kumbuka swala la umeme ni swala...
  7. Kwa nia njema kabisa, Rais Samia mfute kazi Waziri Makamba

    Samia,una habari Nchi ipo gizani? Hivi unatambua umeme ni bidhaa adhimu mno Tanzania kote kwa sasa? Una habari unapo kuwa kule batani ambapo sasa ndipo ulipopapenda wenzako huku wanajipigia tu pesa kwa kuainisha vi projects fulani fulani? Natambua utakuwa nje ya Nchi zaidi katika Utawala wako...
  8. S

    January Makamba, Lissu, Mbowe na Profesa Assad kwa akili walizonazo hawakupaswa kuzaliwa Tanzania

    Watu hawa wana uwezo mkubwa sana wa kifikra mpk nikawaza walizaliwa kimakosa hapa Tanzania. Hawa kwa akili walizo nazo ni ngumu sana kufanikiwa wanachokiamini kwenye taifa hili la wajinga. Nieleze kwa uchache sana kuhusu Makamba Jr. Huyu nilimpima uwezo wake wa kiakili wakati akizindua kampeni...
  9. Waziri Makamba: TANESCO mpya imezaliwa leo, tunataka iendeshwe kibiashara

    Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema ni wakati sasa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kuanza kujiendesha kibiashara, kwa ufanisi ili kuchangia uchumi wa Taifa. Mhe. Makamba amesema hayo leo Septemba 26, 2021 wakati akizungumza na Mameneja wa TANESCO wa ngazi ya Kanda, Mikoa, Wilaya...
  10. Waziri Makamba: Sasa Serikali itanunua shehena ya mafuta moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji

    TAARIFA KWA UMMA KUTOKA WIZARA YA NISHATI KUHUSU ZIARA YA WAZIRI JANUARY MAKAMBA Kama inavyofahamika, bei ya mafuta ghafi duniani imeendelea kupanda kwa kasi na kwa kiwango kikubwa, kutoka dola 50 kwa pipa mwezi wa Januari mwaka huu hadi dola 86 kwa pipa leo tarehe 31 Oktoba 2021. Hali hii...
  11. Urais unamfaa January Makamba kwa sasa

    January Makamba kwa mtazamo wangu namuona ni mtu ambaye yupo smart sana kichwani, ana busara, mtulivu, si mpenda sifa bali ni mchapa kazi, si mtu wa media sana na hakurupuki kataka maamuzi yake bali ni mtu wa kujiridhisha Kwanza hivyo anafaa sana. Huyu anawajua matajiri vizuri. Antony Mutaka...
  12. B

    Waziri January Makamba unakwenda kufeli kutokana na sababu hizi

    Nikiri January ana uwezo mkubwa wa akili ila siyo mjuvi wa mambo yote. January siyo mtaalamu ila ni Kiongozi wa kisiasa. Januari anazo sifa zote za Kiongozi wa kisiasa lakini Hana sifa zote za Kiongozi wa taasisi. Ana mapungufu, na mapungufu aliyonayo ndiyo yaliyopelekea muundo wa taasisi za...
  13. F

    Kwanini Waziri January Makamba anaongoza majadiliano ya Wizara peke yake?

    Habari zenu Wana wa JF. Ukiingia katika ukurasa wa Twitter wa Mheshimiwa January Makamba Waziri wa Nishati, utabaini Jambo. Jambo hilo sio jingine bali ni yeye kualika wataalamu na wadau wa Nishati kutoka maeneo mbalimbali duniani. Wataalamu hawa wamekuwa wakija wizarani ama waziri kukutana...
  14. TANESCO wilaya ya Kibaha ni wababaishaji sana

    Waziri Makamba Ukipata wasaa wa kupitia UZI huu basi usisite kutembelea hii ofisi ya TANESCO Kibaha. Wiki mbili zilizopita nilifika ofisi ya TANESCO Kibaha nikirejesha fomu yangu ya maombi ili niweze kupangiwa Surveyor, nikiwa pale ofisini kwao nikaona Tangazo ambalo lilihusu upimaji (surveyor)...
  15. Mbagala muda huu tupo gizani, nikisema Makamba hafai mnaona nina nongwa

    Toka saa 4 kamili usiku umeme umekatika, wananchi wa Mbagala tupo gizani na ni muda wa kukabwa. Huyu waziri ana faida gani kwetu? Nikisema mnaona mimi namchukia.
  16. January Makamba anajisikiaje kusimamia Bwawa la Umeme la Nyerere?

    Ama kweli mchawi mpe mtoto akulelee. Hapo mwanzoJ Makamba akiwa kwenye mazingira alikuwa kwenye jopo la kuandaa report Uharibifu wa mazingira ya bonde la mto rufiji ambako bwawa la Umeme la Nyerere linajengwa. Katika report ile pandekezo yalikuwa ni kutojenga lile bwawa kwa sasa litaharibu...
  17. January Makamba acha uongo na unafiki, maneno yako kuhusu umeme huyatekelezi

    Sijajua rais Samia alimpendea nini. Nakumbuka siku ameingia ofisini alisema umeme ukikatika meneja wa eneo hilo hana kazi. Jambo la kushangaza toka ameingia ofisini umeme umezidi kukatika kuliko alivyokuwa Kalemani. Mbagala kila umeme unakatika bila hata taarifa sijasikia meneja kafukuzwa kama...
  18. M

    Waziri Makamba, Tatua suala la kodi ya pango kupitia ununuaji wa LUKU

    Mheshimiwa Waziri Makamba Inavyoonekana vijana/watu waliotengeneza mfumo wa kulipia kodi ya jengo kupitia ununuaji wa LUKU walichokifanya, ni kukata pesa kupitia kila namba ya simu itakayonunua LUKU bila kujali namba hizo tofauti zinanunua umeme kwa ajili ya mita moja. Mathalani kama Namba X...
  19. Safari ya Makamba Wizara ya Nishati, Rushwa, Kuachia ngazi na Mengineyo toka 2010

    Alipoingia bungeni kwa mara ya kwanza mwaka 2010, January Makamba alipata nafasi ya kuhudumu katika nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati nyeti ya Nishati na Madini ikiwa ni Wiki chache tu tangu kuingia kwake bungeni. Ilikuwaje akaaminiwa katika nafasi hiyo? Na nini kilipelekea kamati hiyo kuvunjwa...
  20. U

    Makamba futa tarif 4 na tarrif 6, ambapo Bei ya unit moja ni sh 100 na sh 12 ilihali TANESCO wanaonunua zaidi ya 200

    Hii tarif 4 ambapo umeme unanunua unit 1 shilingi 100 ni hasara kwa shirika, kwani Bei ya umeme tanesco anauziwa 200 kwenda juu yeye anawapa watu kwa shilingi 100 kigezo ni umasikini na matumizi madogo. Matajiri na watu wenye uchumi juu ndo wanaongoza kwa kuwa tarrif hii, huku mikoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…