makalio

Andrew Makalio (born 22 January 1992) is a New Zealand rugby union player who currently plays as a hooker for Tasman in New Zealand's domestic Mitre 10 Cup and for the Crusaders in the international Super Rugby competition.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Upekee wa Mwanamke ni chuchu embe na sura nzuri

    Hello JF family, Tusilazimishane, makalio si chochote kwa mwanamke, makalio sio innovation wala creativity, na sio unique attribute kwa mwanamke. Upekee wa mwanamke ama wanawake ni chuchu embe na sura nzuri. Tuwe wakweli, mwanamke mwenye chuchu bomba na sura nzuri ana mvuto wote, hata mashetani...
  2. JamiiForums Tanzania Je, Unajua kuwa kutikisa makalio kwa lengo la kumtega mtu ni unyanyasaji wa kingono? Jifunze hapa juu ya unyanyasaji wa kingono

    UNYANYASAJI WA KINGONO NA RUSHWA YA NGONO Kumekuwa na tabia isiyopendeza katika jamii hususani mahali pa kazi ambapo baadhi ya waajiri au mameneja wa waajiri wamekuwa na tabia ya kuwanyanyasa kingono na kuwaomba rushwa ya ngono wafanyakazi walio chini yao au watu wasio wafanyakazi wanaoomba...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Muhimbili Mloganzila yaanzisha huduma ya plastic surgery ikiwa ni pamoja na kuongeza matiti, makalio, nk

    Hospitali ya Taifa ya Muhimbili tawi la Mloganzila wameanzisha huduma ya upasuaji ya kurekebisha baadhi ya sehemu mbalimbali za mwili (plastic surgery). Baadhi ya aina za upasuaji ambazo zitakua zikitokewa hospitalini hapo ni pamoja na kuongeza/kupunguza matiti, kuongeza hips, kuongeza makalio...
  4. JamiiForums Tanzania Ni yapi madhara yatookanayo ya kemikali kali za kuchubua ngozi, kuongeza ndevu, kuotesha nywele kwenye vipara, kuongeza makalio na maziwa

    Kumeibuka wimbi la wafanyabiashara wengi wakiingiza nchini madawa mbalimbali yenye kemikali kali za kurefusha uume, kuongeza ndevu, kukupa six packs hata kama una mtumbo mkubwa kama wa Bujibuji Simba Nyamaume , dawa ya kuotesha nywele kwenye upara na nyingine nyingi. Na kuna madawa ya...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume: Hivi hizi nywele za makalio hunyolewa?

    Hazinyolewiiiii
  6. JamiiForums Tanzania Msaada: Nampenda kuwa mcha Mungu lakini makalio ya wanawake yananiangusha

    Naweza kusema dhambi UASHERATI ndiyo itakayonifikisha motoni. Zingine naweza kuzishinda. Nikiona tu Yale makalio yanavyotikisika nahama Chanel. Nimejitahidi kujikana nafsi yangu na kutumia mbinu mbalimbali kuutiisha mwili wangu lakini ni kama tu najaza maji kwenye chujio. Nilifanya maombi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake na mabinti wengi wana vipelepele na makovu mwilini hasa kwenye makalio?

    Hii kero imezidi sijui ni mimi nakutana nao wa aina hii au ni mnyumbuliko kwa ujumla wake, ni aibu sana unakuta mdada au binti kasura kazuri kana kishepu, salale ikija kwenye kiota cha mnyanduo vipele na makovu kama yote, kwenye makalio ndio usiseme ni hatari. Mimi na kinyaa changu naahirisha...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wanapopiga picha wanapenda kuonyesha makalio na sio sura zao?

    Wanawake wa kisasa wanapojirecodi video au kupiga picha wanapenda Sana kuonyesha makalio yao na sio kitu kingine Mfano mwanamke umeolewa ila unajirecord unaonyesha tako lako na unasambaza video au picha kwenye mitandao ya kijamii hii ina maana gani?
  9. JamiiForums Tanzania BASATA wapige marufuku wadada kucheza kwa kuinama wakitingisha makalio

    Imekua kero sana, nyimbo nyingi lazima wadada wainame mfano wa kuchuma mboga au walale mfano wa chura kisha wanatingisha makalio, huu ni udhalilishaji na kuchochea mmomonyoko wa maadili, kingine hizi nyimbo zinatumika katika mabasi ya mkoani, imekua tabu ukiwa na watu unaowaheshimu. Kutafutwe...
  10. JamiiForums Tanzania Makalio Chanzo kikubwa Kwa wanawake kuingiliwa kinyume na Maumbile

    Huwa nawashangaa Sana wadada wanalalamika wapenzi wao kutaka tigo. Ikumbukwe wanawake wa kileo wanaringa sana na mawowo Yao. Wanayatingisha tingisha na kuyabana ili kuvutia wanaume. Kumbuka kama mwanaume alikupendea trako, amini usiami Hata mkiwa ndani sita kwa sita atatamani akugeuze aone...
  11. JamiiForums Tanzania Sarah Baartman: Mwanamke mweusi kutoka Afrika Kusini aliyesafirishwa Ulaya kwa maonesho ya makalio makubwa

    Alitekwa miaka ya 1780 ivi huko South Africa akapelekwa ulaya kwenye madanguro, akafa, hakuzikwa ila alifanyiwa upasuaji wa ubongo, makalio yake makubwa na sehemu za siri zikawekwa maabara uko ufaransa na uingereza. Then Mandela alienda kurudisha mabaki ya mwili wake (chini ya mabishano makali...
  12. JamiiForums Tanzania Kuwa mnene au mwenye makalio makubwa isiwe kigezo cha mwanamke kuwa mchekeshaji (comedian)

    Ninaandika nikiwa na masikitiko makubwa kuona maumbile ya wanawake yanatumika kwenye mambo ya kijinga. Miaka ya hivi karibuni tasnia ya uchekeshaji (comedy) imezidi kuchanja mbuga na kufanya makubwa. Kwa sasa wachekeshaji nao wanaingiza pesa nyingi kama wasanii wengine tofauti na zamani...
  13. JamiiForums Tanzania Dawa za kuongeza makalio zinaua figo, maini na kusababisha saratani

    Wakati baadhi ya wanawake wakizichangamkia dawa za asili za kuongeza ukubwa wa makalio, watalaamu wamesema mpaka sasa hakuna dawa iliyothibitishwa na Mamalaka ya Dawa na Vifaatiba (TMDA) hivyo wajiepushe nazo. Tahadhari hiyo inatolewa huku matangazo ya dawa hizo pamoja na za kuongeza matiti na...
  14. JamiiForums Tanzania Kama una demu, mchumba au mke anapiga picha huku makalio ameyatazamisha kwenye kamera hapo ujue kabisa hauko peke yako.

    Mada inajieleza. Usije kusema sijakutonya. Ukiona makalio yametazamana na camera sijakuambia muachane ila nimekuambia tu kuwa wewe pia uko kwenye foleni.
  15. JamiiForums Tanzania Kwaanini baadhi ya Wanaume wanapenda makalio makubwa?

    Nalo ni swali hata wewe unaweza kujibu, Angalia avator nyingine za watumiaji wa jamiiforums wameweka picha za makalio ya wanawake. Nimejiuliza ghafla, kwanini baadhi ya wanaume wanapenda makalio ya wanawake. Pia wengine wamehesabu urembo wa dada ni makalio. Kwanini? Unaweza kunijibu.
  16. JamiiForums Tanzania Makalio makubwa yageuka kuwa silaha pekee kwa wasichana wengi siku hizi

    Nimefanya kajiutafiti nikagundua wanawake wengi wa Kitanzania au kiafrica wamekuwa tegemezi sana kwenye silaha moja tu. MAKALIO YAO",Asilimia kubwa ya wanawake wamekuwa wakitumia makalio yao"Wowowo"Kuwanasa wanaume haswa maofisini n.k. Nimejiuliza bila makalio mbinuko hawa watu wangetumia nini...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni ujinga. Kuvaa mipira hii ya makalio kuna madhara makubwa sana. Hizo kitu zinataka hewa

    Hata kama wahenga walisema ukitaka uzuri sharti udhurike lkn siyo kwa kuvaa mipira hii ya kukuza na kuonesha makalio. Ni hatari sana. Maumbile ya kike yanahitaji sana hewa. Ndiyo maana kwa enzi na enzi mwanamke amekuwa akivaa mavazi yenye kuruhusu hewa kufika kwa wingi kwenye sehemu zake za...
  18. JamiiForums Tanzania Kubinuka kwa makalio ya wanawake kwenye bodaboda

    Wasalaam Wakuu, Aisee naomba niende kwenye mada husika moja kwa moja juu ya wanawake kujibinua makalio yao wakiwa kwenye Bodaboda hasa hapa jiji la Joto- Darusalama Hii imekuwa ni kama fashion kwa kila mwanamke,hawezi kukaa kwa kunyooka bila sawasawa ila mpaka abinue kiuno chake na kalio lake...
  19. JamiiForums Tanzania Prince Harry aringishia Makalio yake!

  20. JamiiForums Tanzania Kadri mnavyopagawa na makalio na sisi ile miili ya mazoezi inatupeleka kona hiyo hiyo

    Nataka kuanza mazoezi nimekua kama mdudu wapendwa,kuna ka gym karibu na goli langu hapa ila sasa huwa nawashahudia ile miili jamani...mmh..nyie Inahitaji kujitambua sana kuiacha kama ilivyo. By the way nahitaji mwanamke anaepiga mazoezi tupeane changamoto na fursa katika hili swala la kupungua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…