makala za utpc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. UTPC

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Machinga watamba vituo vya 'Daladala', masoko yakibaki matupu

    Karibu vituo vyote vya mabasi madogo ya abiria (maarufu kama daladala) katika Manispaa ya Morogoro, ni kawaida kukutana na wafanyabiashara wadogo (wamachinga) wakitembeza bidhaa zao mikononi. Huwafuata wateja huku na huko, wakitangaza bidhaa kwa sauti za kuvutia ili kuwashawishi wanunuzi kabla...
  2. UTPC

    JamiiForums Tanzania Masoko ya Manispaa ya Morogoro ni kama yamegeuka kuwa mahame yasiyo na uhai wa kibiashara

    Unapofika kwenye baadhi ya masoko katika Manispaa ya Morogoro ni kama mahame au yamegeuka kuwa mahame yasiyo na uhai wa kibiashara uliotarajiwa. Badala kusikika kwa kelele za wanunuzi wakibishania bei, vicheko vya wafanyabiashara na harufu ya bidhaa mpya, unakutana na ukimya ‘unaosindikizwa’ na...
  3. UTPC

    JamiiForums Tanzania Biashara holela shubiri kwa usalama Morogoro

    Machi mwaka 2019, maisha ya Bi. Mwajuma Rajabu mkazi wa Tubuyu, Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro yalibadilika ghafla. Akiwa anauza samaki pamoja na wafanyabiashara wenzake pembeni ya barabara ya Boma, gari lililokuwa likipita lilipoteza mwelekeo na kuwavamia. Ajali hiyo ilimjeruhi vibaya...
  4. UTPC

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Pengo la uwajibikaji na changamoto ya miundombinu kwa watoto wenye ulemavu katika shule za Mwanza

    Katika shule za msingi na sekondari mkoani Mwanza, watoto wenye ulemavu bado wanakabiliwa na mazingira ya kujifunzia yasiyo rafiki, kutoka vyoo visivyofikika hadi madarasa yasiyo na njia salama za kupita. Hali hii imeendelea kujitokeza licha ya uwepo wa sera na sheria zinazotambua haki ya watoto...
  5. UTPC

    JamiiForums Tanzania Tani 100 za taka zinavyobaki mitaani Morogoro

    Maisha ya wakazi takribani 59,939 wanaoishi katika Kata za Magadu, Mafisa na Chamwino ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro yako katika hatari kubwa ya kiafya kutokana na kukithiri kwa uchafu wa taka ngumu katika makazi yao. Uchunguzi uliofanywa na Nipashe umebaini kuwa katika maeneo...
  6. UTPC

    JamiiForums Tanzania Mitazamo Hasi juu ya Elimu chanzo cha Utoro Shuleni

    Kutokana na kukithiri kwa tatizo la wazazi kutelekeza watoto wao na kwenda kwenye makambi ya kilimo wilayani Kasulu Mkoa wa Kigoma, uchunguzi umeonyesha kuwepo kwa mtazamo hasi kwa elimu. Awali ilibainika kuwa zaidi ya watoto 2,000 huacha masomo kila mwaka katika wilaya ya Kasulu, mkoani...
  7. UTPC

    JamiiForums Tanzania Kambi za kilimo Kasulu zinavyochochea utoro shuleni

    Kasulu. Licha ya kilimo kuwa shughuli kuu ya uchumi kwa wakazi wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, ikiwahakikishia usalama wa chakula na kipato kwa kuuza mazao, shughuli hiyo sasa inatishia hatima ya elimu kwa baadhi ya watoto wilayani huyo. Hiyo ni kutokana na baadhi ya wazazi kutelekeza watoto...
  8. UTPC

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Miundombinu duni yakwaza elimu kwa Watoto wenye ulemavu Mkoani Mwanza

    Mwanza. “Changamoto ya ngazi na vyoo, halafu kuna mawe, kwa hiyo ukienda vibaya unaweza kujikwaa. Katika ufaulu mtu asipofikisha wastani wa 64, anapata viboko, wakati huku mwanzo hajapata vitabu vya kutosha.” Kauli ya Joasen Julius, mwenye ulemavu wa miguu na kuzungumza, ikiweka wazi uhalisia...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Dar: Gharama zinavyowaweka njiapanda akina Mama wanaojifungua kwa upasuaji

    Makala👇🏼 Simulizi za akina mama Waliojifungua kwa Upasuaji (Dar); Licha ya Serikali kusisitiza kuwa wajawazito hawapaswi kutozwa gharama wakati wa kujifungua, hali ni tofauti kwa baadhi ya wanawake wanaojifungua kwa upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili pamoja na baadhi ya hospitali...
Back
Top Bottom