Kwa zaidi ya miaka miwili, wananchi wa Jiji la Mbeya wanaoishi na kufanya shughuli zao kando kando ya barabara ya njia nne kutoka Nsalaga hadi Ifisi, wameendelea kusubiri kukamilika kwa mradi huo waliyotarajia ungekuwa suluhisho la msongamano wa magari na kurahisisha usafiri, lakini badala yake...
"Wakulima kutambua kwamba kilimo sasa hivi ni biashara,” huu ni wito wa Afisa Kilimo wa Mkoa wa Geita, Mayunga John, ukibeba majibu ya mojawapo ya changamoto kubwa ambayo imeendelea kuwagharimu wakulima wa mkoa huo kwa miaka mingi, upotevu wa mazao ya chakula baada ya mavuno.
Katika sehemu...
Baada ya kufuatilia namna ambavyo uhifadhi duni unavyoendelea kusababisha upotevu wa mazao na hasara kwa wakulima katika mkoa wa Geita, swali linalobaki ni kwa nini tatizo hili linaendelea kujirudia mwaka baada ya mwaka? Licha ya kuwepo kwa sera ya kilimo, maafisa kilimo pamoja na teknolojia za...
Kwa wakulima wa mazao ya chakula katika wilaya ya Geita, mkoani Geita kuvuna si mwisho wa safari ya kupata kipato. Baada ya miezi kadhaa ya maandalizi, kupanda na kusubiri mavuno, hatua inayofuata ya kuhifadhi mazao ndiyo huamua kama jasho lao litageuka kuwa fedha au kupotea bila faida.
Baadhi...
Katika makala ya kwanza na ya pili, tuliona jinsi ugonjwa hatari wa Fungashada ya Migomba (Banana Bunchy Top Virus - BBTV) unavyoangamiza zao la ndizi na vyanzo vinavyochochea kuendelea kusambaa kwa kasi kwa ugonjwa huo. Katika makala hii ya tatu na ya mwisho, tunaweka mezani majibu na suluhisho...
Katika makala iliyopita, tulionyesha ukubwa wa tatizo la ugonjwa hatari wa Fungashada ya Migomba (BBTV) na madhara yake makubwa kwa wakulima na taifa kwa ujumla. Swali kubwa linalobaki bila majibu ni kwa nini ugonjwa huu usiokuwa na tiba wala chanjo unazidi kusambaa kwa kasi ya kutisha tangu...
Kilimo cha migomba ni tegemeo muhimu la kiuchumi na chakula kwa kaya nyingi nchini, lakini kwa sasa, ugonjwa wa Fungashada umegeuka kuwa tishio kubwa linalotafuna jasho la wakulima huku mamlaka zinazohusika zikiwa zimenyamaza kimya. Katika mfululizo wa makala hizi, tunaanza kueleza ukubwa wa...
Sehemu ya pili ya ripoti hii ya uchunguzi, wananchi walieleza namna miundmbinu, jiografia ya wilaya ya Uvinza na hali ya kiuchumi kuwa chanzo cha tatizo la mdondoko wa wafunzi, katika makala hii ya tatu na ya mwisho, wananchi wanaeleza kuwa licha ya uwekezaji mabilioni ya fedha katika sekta ya...
Baada ya uchunguzi wa awali kubaini zaidi wanafunzi 5,000 katika wilaya ya Uvinza wameshindwa kujiunga kidato cha kwanza katika kipindi cha miaka mitano iliyopita huku wengi wao wakionekana katika vibanda vya kurusha filamu, katika vibanda vya michezo ya watoto (gaming stations) na ubashiri...
Katika eneo la soko lililochangamka la Kata ya Kazuramimba, Wilayani Uvinza mkoani Kigoma, sauti za vicheko na vishindo vya furaha vinavyotoka ndani ya skrini za runinga vinapotezea mwelekeo wa watoto wenye umri kati ya miaka 12 na 17.
Wakati kengele za shule zikilia kuwaita wanafunzi...
Katika mfululizo wa makala hizi, tunaona ukubwa wa tatizo na ukosefu wa wakalimani wa lugha ya alama katika vituo vya matibabu vya Jiji la Mbeya, na athari zake za kisheria na kiafya kwa watu wenye ulemavu wa kusikia. Swali la msingi: Nini kifanyike ili kupata suluhisho la tatizo hili?
Sehemu...
Katika makala iliyopita, tuliona ukubwa wa tatizo la ukosefu wa wakalimani wa lugha ya alama katika vituo vya matibabu katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya. Katika mfululizo wa makala hii, leo tutaangazia kiini cha mgogoro huu wa kibinadamu na kisheria.
Sehemu ya kwanza ~ Mbeya: Wenye changamoto...
Katika Mkoa wa Mbeya wenye zaidi ya watu 12,000 wenye ulemavu wa kusikia, ni kituo kimoja tu cha kutolea huduma za afya chenye mkalimani wa lugha ya alama. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Chama cha Watu Wenye Ulemavu Mkoa wa Mbeya (CHAVITA).
Hata hivyo, nyuma ya hali hiyo, kuna maumivu makubwa...
Tatizo la upungufu wa matundu ya vyoo katika shule za Manispaa ya Shinyanga, limeendelea kuwa changamoto inayotishia afya na ustawi wa wanafunzi, huku baadhi yao wakilazimika kujisaidia vichakani kutokana na vyoo kujaa, kuchakaa na kutokidhi idadi ya wanafunzi.
Mbali na upungufu huo, baadhi ya...
Licha ya juhudi mbalimbali zinazofanywa na serikali katika kuwekeza na kuboresha sekta ya elimu nchini, hali halisi bado inaonyesha uwepo wa pengo kubwa la miundombinu.
Katika Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, shule nyingi za msingi na sekondari, zinakabiliwa na changamoto kubwa ya upungufu...
AFYA za wanafunzi wa shule za msingi na sekondari katika Manispaa ya Shinyanga zipo hatarini kutokana na tabia ya kujisaidia hovyo, hali inayochangiwa na upungufu mkubwa wa matundu ya vyoo pamoja na ukosefu wa vyumba maalumu vya kujistiri wakati wa hedhi kwa wanafunzi wa kike.
Uchunguzi...
"Wakulima kutambua kwamba kilimo sasa hivi ni biashara,” huu ni wito wa Afisa Kilimo wa Mkoa wa Geita, Mayunga John, ukibeba majibu ya mojawapo ya changamoto kubwa ambayo imeendelea kuwagharimu wakulima wa mkoa huo kwa miaka mingi, upotevu wa mazao ya chakula baada ya mavuno.
Katika sehemu...
Baada ya kufuatilia namna ambavyo uhifadhi duni unavyoendelea kusababisha upotevu wa mazao na hasara kwa wakulima katika mkoa wa Geita, swali linalobaki ni kwa nini tatizo hili linaendelea kujirudia mwaka baada ya mwaka? Licha ya kuwepo kwa sera ya kilimo, maafisa kilimo pamoja na teknolojia za...
Kwa wakulima wa mazao ya chakula katika wilaya ya Geita, mkoani Geita kuvuna si mwisho wa safari ya kupata kipato. Baada ya miezi kadhaa ya maandalizi, kupanda na kusubiri mavuno, hatua inayofuata ya kuhifadhi mazao ndiyo huamua kama jasho lao litageuka kuwa fedha au kupotea bila faida.
Baadhi...
Baada ya kubaini ukubwa wa tatizo la ukataji wa miti ovyo na kuchambua sababu zake pamoja na wajibu wa wahusika, swali linalobaki ni moja: Je, Tanganyika ina uwezo wa kuokoa misitu yake au itaendelea kushuhudia uharibifu hadi rasilimali hii itakapopotea kabisa?
Uchunguzi unaonyesha kuwa pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.