makadirio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hotuba ya Makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, kwa Mwaka wa fedha 2024/25

    Hotuba ya Makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, kwa Mwaka wa fedha 2024/25
  2. Waziri wa Habari, Nape Moses Nnauye awasilisha Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi 2024/2025, Mei 16, 2024

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 27, leo Mei 16, 2024 ambapo pamoja na Maswali na Majibu, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye atasoma Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2024/25...
  3. Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa Mwaka 2024/25

    TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2023/24 NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2024/25 Upandishaji Vyeo Mheshimiwa Spika, kuanzia Julai, 2023 hadi Aprili, 2024 Wizara imewapandisha vyeo jumla ya watumishi 9,397 katika ngazi mbalimbali za uongozi. Hali hiyo...
  4. Mbunge Edward Ole Lekaita akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI 2024/2025

    MHE. Edward Ole Lekaita Akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ya Tsh. Trilioni 10.125 Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 "Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa heshima kubwa aliyotupa majimbo kupitia miradi ya maendeleo. Jimbo la Kiteto tumepata shule mpya...
  5. Martha Mariki akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ya Tsh. Trilioni 10.125 Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

    MHE. Martha Mariki Akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ya Tsh. Trilioni 10.125 Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 "Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa jinsi anavyofanya kazi kubwa katika Taifa letu la Tanzania na katika Mkoa wa Katavi kwa kuleta fedha...
  6. MHE. DKT. ALICE KARUNGI KAIJAGE, Akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mwaka 2024-2025 ya Tsh. Bilioni 350.9.

    MHE. DKT. ALICE KARUNGI KAIJAGE, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani Akichangia Bajeti katika Majadiliano ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mwaka 2024-2025 ya Tsh. Bilioni 350.9. "Ushauri wetu Wabunge utasaidia Serikali kuimarisha utekelezaji wa Vipaumbele ambavyo...
  7. Mbunge Esther Malleko akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi a Waziri Mkuu Mwaka 2024-2025 ya Tsh. Bilioni 350.9

    MHE. ESTHER EDWIN MALLEKO, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro Akichangia Bajeti katika Majadiliano ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu Mwaka 2024-2025 ya Tsh. Bilioni 350.9. "Natoa pongezi za dhati kwa Rais wetu Mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan kwa namna...
  8. K

    Uratibu mbaya wa makadirio ya kodi ndiyo sababu kubwa ya ukwepaji kodi

    Mimi ni mtaalamu wa fedha na kwa mawazo yangu tatizo la kodi na TRA linaanza na uratatibu mbaya wa ukusanyaji wa kodi. Kuna kodi za aina mbili kubwa 1. Kodi za mauzo. Kwenye kodi hizi ambazo kwa ulewa wangu ni 18% mlipa kodi sio mfanyabiashara mfano mwenye duka. Mlipa kodi ni mnunuzi na mwenye...
  9. Naombeni msaada wa makadirio ya nyumba hii hasa msingi. Eneo ni tambarare

    Habari ya asubuhi wakuu?. Naombeni msaada wa makadirio ya nyumba hii hasa msingi. Eneo ni tambarare Naombeni na mainjinia mnipe ushauri wa ukubwa wa chumba interns of ft/m au idadi ya blocks Ukuta wa kijani hapo kwenye choo itakuwa na tofali za nchi 6. Wataalamu Leteni maneno kama itafaa...
  10. Makadirio ya tiles

    Habari zenu! Kwa mafundi au mtu yeyote mwenye uzoefu, naomba kujua nyumba ya vyumba vinne inachukua tiles kiasi gani? Just makadirio.
  11. G

    Naombeni msaada wenu, Kila mwaka inabidi niende TRA kufanyiwa makadirio ya duka?

    Habari zenu jukwaa la biashara, nina duka nilifungua mwaka jana kuna rafiki alinisaidia kukata vibali vya TRA ila kwa sasa hayupo. Mwaka jana nilihusika tu kwenye kulipia zile kodi za kila baada ya miezi mitatu. Sasa kwa mwaka huu nimejuzwa kwamba inabidi niende kufanyiwa makadirio upya. Je...
  12. S

    Makadirio ya kenchi na bati

    Salaam wakuu, Naambatisha hapa picha ya ramani ya paa( hiddenroof) naomba wataalamu wetu wanisaidie kunipa makadirio ya idadi ya bao na mabati inayohitajika ya hiii nyumba. Ikiwezekana pia makadirio ya ujenzi kiujumla ya kumaliza paa. Nawashukuru sana na mbarikiwe.
  13. Naombeni makadirio ya ramani hii wakuu

    Habari ya muda huu, Naombeni wataalam wanisaidie kukadiria hesabu ya tofali ya kijuba hiki. Niko kwwenye hatua za awali za KUFIKIRIA kujenga, kiwanja nimeshanunua wakuu. Tuanzie hili la tofali, Nitashukuru sana
  14. Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika

    Hapa katika uzi huu nakupa Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika. Zipo nyumba nyingi, so angalia ktk comment kuona zaidi
  15. Ripoti Goldman Sachs: China na India zitaongoza Uchumi wa dunia mwaka 2075

    ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ China: $57 trillion ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ India: $52.5 trillion ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ United States: $51.5 trillion ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฉ Indonesia: $13.7 trillion ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Nigeria: $13.1 trillion ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฐ Pakistan: $12.3 trillion ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Egypt: $10.4 trillion ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท Brazil: $8.7 trillion ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Germany: $8.1 trillion ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฝ Mexico: $7.6 trillion ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง UK: $7.6 trillion ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต Japan...
  16. Jumaa Hamidu Aweso (mb), akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Maji kwa mwaka 2023/24

    Hotuba ya waziri wa Maji Jumaa Hamidu aweso (mb), akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Maji kwa mwaka 2023/24
  17. Makadirio ya mapato na matumiziya fedha ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2023/2024

    Hotuba ya Waziri wa Kilimo, Hussein Mohamed Bashe (mb), kuhusu makadirio ya mapato na matumiziya fedha ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2023/2024
  18. Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2023/2024

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2023/2024
  19. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, akiwasilisha bungeni mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2023/2024

    Abdallah Hamis Ulega (mb) Waziri wa Mifugo na Uvuvi, akiwasilisha bungeni mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha ya Wizara ya Mifugo na uvuvi kwa mwaka 2023/2024
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ