makabila

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ninatamani iwepo sheria ya kulazimisha watu kuitwa kwa majina yao ya asili ya makabila yao badala ya haya ya kizungu na kiarabu

    Katika mazuri machache aliyofanya dikteta Mobutu wa DRC (Zamani Zaire) ni kulazimisha wananchi wote kutumia majina asili ya makabila yao badala ya haya ya kigeni. Imesaidia sana kulinda utamaduni wao na inarahisisha kutambulika bila kujieleza sana. Tanzania tukiendelea hivi tutapoteza kabisa...
  2. M

    Makabila yanayosifika kwa kutokuwa na ubinafsi

    Ubinafsi sio kuwa mchoyo tu, hata ile hali ya kutanguliza sana watu mnaofanana kabila kuna element za ubinafsi WASUKUMA - Sehemu unayoweza kwenda hata ukiwa mgeni na ukapewa ushirikiano kwenye fursa, ila hapa nigusie kidogo hawa ni wasukuma wa Shinyanga, Geita, vijiji Mwanza na maendo ya...
  3. M

    Imekuwa ni nadra sana kukuta waislam katika makabila haya

    1. Wachaga - kumkuta mchaga muislam labda kwa mbali sana awe wa machame 2. Masai 3. Wakinga 4. Wangoni 5. Wajita 6. Wagogo Wanyakyusa hapo zamani na wao ilikuwa ni nadra sana lakini sikuhizi imeanza kuwa kawaida utawakuta Mashehe kina Mwaipopo, wachezaji kina Azizi Andambwile, makocha kina Juma...
  4. Mikoa / Wilaya za Dar es Salaam na Makabila

    ♤ Ilala Maeneo: Kariakoo, Buguruni, Ukonga, Kinyerezi, Tabata Makabila yanayopatikana: Zaramo Ndengereko Matumbi Makonde Nyamwezi Sukuma Chaga Hehe ☆ Kinondoni Maeneo: Sinza, Mwananyamala, Mikocheni, Msasani, Kimara, Kawe Makabila: Zaramo (wenyeji wakuu) Luguru Chaga Haya Hehe...
  5. M

    Makabila yanayokeketa mabinti yanajitetea ni kuwatuliza waishi na mwanaume mmoja ila kwa sifa walizonazo huku mitaani ni tofauti kabisa

    Kuna makabila bado yanaendelea na hizi tamaduni za kikatili za kuwakata clitoris mabinti wakiwa na imani kwamba watatulia kwenye ndoa Mfano kuna baadhi ya maeneo ya Singida, Dodoma na Manyara, yamekuwa yakiendelea na huu utamaduni lakini kwa intelejensia zinazokusanywa mitaani imefikia hatua...
  6. M

    Makabila yanayofanya tohara kwa wanawake yana maendeleo duni, lini yatabailika ?

    Ukifuatilia makabila yanayoanya tohara bado yapo nyuma sana kimaendeleo
  7. S

    Tafsiri ya neno “MAMA” kwa makabila mengi hapa nchini ni "NYOKO"

    Neno mama:- 1. Kwa kiha (watu wa Kigoma) ni "nyoko". Mfano. (a) Ndamhamagala nyoko wawe (namuita mama yako). (b) Jewe ndi nyoko wawe (mimi ni mama yako). 2. Kwa lahaja nyingi za kiswahili; neno "mama" ni nyoko. Mfano. K*ma"nyoko" ni tusi la kiswahili lenye muunganiko wa maneno mawili; "k*ma" na...
  8. W

    PreGE2025 POTOSHI Dulla Makabila aimba matusi kwenye mkutano wa CCM

  9. K

    Makabila na mahusaiano

    Vijana wengi kwenye familia wameshaakanywa mwanamke wa kabila flani acha hawana tabia nzuri lakini awajasema endapo ukimpata ishi nae hivi swali endapo mtu kadondokea sasa huko unaweza kumshauri nini?
  10. Nataka kuunda AI Wrapper itakayoelewa lugha za makabila yote Tanzania.

    Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza... nataka kuunda AI Wrapper itakayoelewa lugha za makabila zaidi ya 125 yanayopatikana Tanzania. Ukweli ni kwamba haitawezekana kwa makabila yote kutokana na aina ya lugha zenyewe, mfano HADZABE. Kwa wasiofahamu, AI Wrapper kwa lugha nyepesi, ni kuunda mfumo wa...
  11. M

    Mzungu mwanadamu pekee anaejitahidi kuisaidia dunia, waliobaki wapo kwajili ya matumbo yao, makabila yao, dini zao, n.k.

    Wachina wakienda nchi flani watatengeneza pesa kwa njia yoyote bila kujali afya za watu au mazingira. Waarabu mpaka leo wana mindset ya kuwaona waafrika ni watumwa hata uwe mna dini sawa, waafrika wengi mahousegirl hulalamika kunyanyaswa, nchi za kiarabu kama Libya biashara ya utumwa...
  12. Hivi nini chanzo cha makabila na lugha za makabila?

    Hivi nini chanzo cha makabila na nini chanzo cha hizo lugha za makabila nimekaa chini nimetafakari ila nimeshindwa kupata jibu wajuzi wa mambo naomba mnisaidie aisee
  13. Wanguu ni watu wa kabila dogo mno waliozalisha makabila makubwa

    Nikupe utangulizi kwanza Nguu/ngulu inamaanisha kabila husika au eneo/mamlaka ya kabila husika. Nikitoa mfano utanielewa zaidi, yaani ukimuuliza kijana wa kinguu wewe ni kabila gani atasema mimi ni mnguu/mngulu ambapo kwa kiingereza atasema tu nguu/ngulu. Kadhalika akiulizwa kwenu ni wapi...
  14. Je kuoa makabila ya mbali kuna punguza magonjwa ya kijenetikia?

    Unajua kwanini ndugu na ndugu hawaoani? Hii si sababu ya kidini tu bali sababu ya kisayansi pia. Kuoa ndugu wa karibu au jamii ya karibu kunasababisha kuendeleza au kuambukizana magonjwa ya kiurithi ambayo yanayembea kwene kabila au ukoo flani
  15. Top 10 ya Makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tanzania

    Mko poa? Nimebahatika kuishi na jamii nyingi za Kitanzania, na hii ndiyo orodha yangu ya top ten ya makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tanzania: 1. Wasukuma 2. Wanyakyusa 3. Wasafwa 4. Wajita 5. Wahaya 6. Waha 7. Wajaluo 8. Wakurya 9. Wangoni 10. Wagogo
  16. W

    Wakoloni waliyahusisha baadhi ya makabila kwenye Elimu, Ulinzi, Dini na Uongozi, kwanini wasukuma hawakuhusishwa licha ya idadi yao kubwa ?

    Nimekuwa nikijiuliza hili swali tangu nikiwa Sekondari na sijawahi kupata jibu. Wakoloni walikuwa wanahusisha baadhi ya jamii kwenye elimu, Biashara, Uongozi, Kueneza Dini, Ulinzi, n.k. lakini inashangaza kuona wasukuma ambao ni kabila kubwa zaidi hawakuhusihwa, why ? Ni kwamba nje ya...
  17. W

    Ni hatua zipi za kuchukua kupunguza upotevu wa mali kwa mzazi mwenye mashamba na nyumba nyingi lakini hashirikishi mke wala watoto ?

    Sio lazima arithishe familia yake, Tatizo hashirikishi hata ndugu zake. Ni kwa lengo la kupunguza upotevu wa mali, Matapeli kujimilikusha vitu kiholela, n.k. Wala hakuna ugomvi familia inaishi vizuri lakini unakuta mzee hataki kabisa kuzungumzia ishu za mali, Mali mnazijua kupitia watu...
  18. W

    Makabila makubwa yanazidi kudominate nafasi kubwa za uongozi, Turejee ushauri wa Nyerere lasivyo kuna hatari vizazi vijavyo

    Nyerere aliwahi kutuhusia sana kutojaza makabila makubwa nafasi kubwa, Enzi hizo kuna makabila aliyaweka wazi lakini hali imebadilika, kwa sasa yamo baadhi aliyowahi kuyataja na kuna mengine yameongezeka. Kipindi chake alishakuta makabila flani yameshapata elimu lakini ali fight sana...
  19. Orodha ya makabila yenye lafudhi mbaya hapa Tanzania.

    1.Wachaga 2.Wakurya 3.wasukuma 4.Wamasai 5.Wanyakyusa 6.wahaya 7.Wajita 8.wasambaa 9.wapare 10.waha
  20. R

    Kwa research niliyofanya makabila yaliyofanikiwa zaidi hapa Afrika yana utamaduni wa kurudi kwao kwa wingi kila mwisho wa mwaka,

    Wakati familia mbalimbali za jamii flani zinapokuwa kwenye misururu ya foleni ya kwenda vijijini kwao unajua sikukuu za mwisho wa mwaka zimekaribia, watu hao hutoka kila kona ya dunia kusherehekea mwisho wa mwaka kwa pamoja. Ni wakati wa kukutana na ndugu wapya, familia mpya, jamaa mliopotezana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…