majira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. USSR

    Ushamba: Inakuwaje Azam anashindwa kuonyesha mashindano ya Olimpiki ya majira ya baridi yanayoendelea kule Italy

    Hadi leo hakuna michezo/mashindano hayo huku dunia ikiyajadili kila saa ,hapa ndio unaona tofauti ya azam media na makampuni mengine Startimes ,dstv, kanal na wengine wanaonesha ila hawa jamaa wa buguruni bado sana Wako busy na simba na Yanga kila siku na vitu muhimu wanashindwa USSR
  2. Manyanza

    Usihukumu Maisha ya Mtu: Kila Maisha Yana Majira Yake

    1. Kamwe usimdharau mtu kwa sababu ya umaskini au hali yake ya maisha Kila mtu anapitia mapambano yake. Leo unaweza kuwa umebarikiwa, una nafasi nzuri na unaishi kwenye mafanikio, lakini kumbuka fedha zina mabawa. Maisha yanaweza kubadilika ghafla. Tajiri wa leo anaweza kuwa maskini wa kesho...
  3. R

    Majira yametimia ambapo viongozi watakataa viti vyao…

    Salaam! Ule mwisho uliotarajiwa, unakuja kwa njia ngumu sana na ya kutisha. Ni majira yameruhusiwa kutokea duniani Ili kuwakusanya watu pande kuu mbili. Na pande hizi ni pande mbili za kiimani, SI kidini. Yameruhusiwa majira ya vita, ufunguo wa vita hii ulianza 2020 Corona iliporuhusiwa...
  4. bibliatimes

    Mungu hufanya kazi kwa majira

    Haleluya Haleluya Haleluya. Nimejifunza: KUFANYA JAMBO SAHIHI KATIKA WAKATI USIO SAHIHI SIYO SAHIHI. MUNGU wetu ni MUNGU wa ratiba ni MUNGU WA wakati hafanyi mambo kienyeji maana yake kama ninasikia kiu ya kuomba leo ama msukumo wa kuomba niombe nisiseme nitaomba kesho maana MUNGU anaachilia...
  5. Yoda

    Kuna kada watu wanatakiwa wasome alama za majira, wasisome wakilenga ajira za serikalini tena

    Walimu 200,000 kugombania nafasi 14,000 ni kiashiria hii sekta haihitaji kuzalisha Walimu tena kutoka vyuoni, walioko wanatosha na kupitiliza. Hata serikali ikiwa inaajiri walimu 10,000 kila mwaka(kitu ambacho hakiwezekani) itahitaji miaka 20 kuweza kuwachukua wote katika ajira.
  6. Davidmmarista

    Mamilioni ya Wamarekani wamearifiwa kujiandaa kwa hali ya hewa ya majira ya baridi

    Mamilioni ya Wamarekani wamearifiwa kujiandaa kwa hali ya hewa ya majira ya baridi. Jimbo la West Virginia limejiunga na majimbo mengine matano kutangaza hali ya dharura. Baadhi ya picha zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha ndege zimefunikwa na theuji na kusabisha safari 2,000 za...
  7. S

    Tundu Lissu kuhutubia Taifa leo 01/01/2025 majira ya saa 6 mchana

    Habari ndio hio wadau kwahiyo kaeni mkao wa kula.
  8. Brojust

    Ubongo wa mwanadamu na majira ya mwezi: Dhana ya mwezi mchanga ni kweli ipo ? Je, kuna mahusiano gani kati ya majira ya mwezi na uchizi/utahira ?

    Huwa najaribu kutengeneza heading fikirishi ili tujaribu kudadisi ukweli. Nilisikia watu wanaongea kwamba kuna uhusiano kati ya majira mbali mbali ya mwezi na akili/ubongo wa binadamu. Wengine wanasema kuna supernatural power ambayo ukikaa sehemu tulivu kama mlimani au sehemu yoyote tulivu...
  9. J

    MO Dewji: Kwa kila Jambo kuna Majira yake na Wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu

    Huu ujumbe alioandika MO Dewji ukurasani X unawahusu Sana Wanachama wa Chadema na viongozi wao waliong'ang'ania madarakani. "Kwa kila Jambo kuna Majira yake na Wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu, Wakati wa kuzaliwa na Wakati wa kufa, Wakati wa kupanda na Wakati wa kung'oa yaliyopandwa" Muh...
  10. 2 of Amerikaz most wanted

    Separation time: Majira ya kutengana na watu

    Majira ya kuhachana na watu, kutengana na kitu au vitu fulani katika maisha yako, sio lazima kutokea ugomvi au Hali yeyote mbaya ndio utengane na vitu au watu fulani katika maisha yako. Separation wakati mwingine inaweza kutokea kwenye tabia fulani ulizo zizoea au kufanya kitu kwa mtindo fulani...
  11. ward41

    Tulichofichwa ni siku na saa, siyo majira

    Biblia imeficha siku na saa Kahusu ujio wa Yesu Christ. Haijatuficha majira. Ni kama kifo cha mwanadamu tumefichwa siku na saa lakini sio miaka. Kifo cha mwanadamu ni miaka 70-80. Kuhusu unyakuo wa kanisa na mwisho wa dunia, Biblia imetoa ratiba za wazi kabisa. Kama husomi ni wewe tu umeamua...
  12. Uhakika Bro

    Je, unajua kuwa mwaka wa Wasukuma una siku 364 + 11?

    Tena mwaka wao walimaji huanzia mwezi wa 11. Miaka huhesabiwa kulingana na shughuli za kilimo. Mwezi wa kwanza ni mwezi ninaoandaa mashamba maana hiyo ndiyo shughuli ya kwanza. Ukiwa mbabe na unajitambua, hadi mwaka unaweza kuubadili tu kufuata matakwa yako. Wasukuma sio wa kwanza kufanya...
  13. GENTAMYCINE

    Mhariri wa Gazeti la Majira umewaza nini hadi kuja na Kichwa cha hovyo hiki cha Habari leo?

    Rais Samia afikia rekodi ya Mwalimu Nyerere Yaani Mtu aliyeifanyia makubwa Tanzania na kuwa Statesman kwa miaka 23 leo hii anaweza Kufananishwa na Mtu aliyeingia tarehe 17 Machi, 2021 hadi leo tarehe 11 Oktoba, 2023? Media ya Tanzania ni kwanini mnapenda sana Kudanganya, Kujipendekeza na...
  14. L

    Kambi ya majira ya joto ya wanafunzi wa sekondari ya Taasisi ya Confucius UDSM yafunguliwa rasmi mkoani Zhejiang

    Halfa ya ufunguzi wa kambi ya majira ya joto ya wanafunzi wa sekondari ya Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ilifanyika Julai 19 katika Chuo Kikuu cha Ualimu cha Zhejiang, China. Wanafunzi na walimu 20 kutoka Tanzania wameshiriki kwenye kambi hiyo iliyoandaliwa na...
  15. IamBrianLeeSnr

    Nimeumwa ghafla majira saa sita(6) mchana wa leo, Nipo hospitali nimetundikiwa drip!

    Hapa sasa ndio nimepata nafuu kidogo, Ni tumbo lilikua linanisumbua/linakata sana usawa juu kushuka kitovuni, Nimeshindwa kula chochote siku nzima ya leo... Maombi yenu please nipate ahueni mapema.. Ahsante..
  16. Meneja Wa Makampuni

    Lebanon leo wameamka na majira mawili tofauti ya saa yanayopingana

    Wananchi nchini Lebanon wameamka leo wakiwa na majira mawili ya nyakati yanayopingana, huku kukiwa na mzozo kati ya viongozi wa kisiasa na kidini kuhusu ni wakati gani saa zinapaswa kurudishwa ama kusogezwa mbele. Waziri Mkuu wa Muda Najib Mikati alitangaza kuwa mabadiliko ya yataanza mwishoni...
  17. L

    Sherehe ya Uvuvi wa Majira ya Baridi katika Ziwa Jingbo yafanyika mkoani Heilongjiang, China

    Sherehe ya Uvuvi wa Majira ya Baridi katika Ziwa Jingbo imefanyika tarehe 27 mkoani Heilongjiang, China, ambapo takriban kilo laki 1.2 za samaki zilipatikana kwa kutumia wavu wenye urefu wa mita 2,400. Shughuli hiyo imeonesha utamaduni wa jadi wa uvuvi wa samaki wa kabila la Wahezhe.
  18. P

    Saa mbovu Chalamila wakati mwingine inapatia majira

    Hotuba za mkuu wa Mkoa wa Kagera zinajaa aina fulani ya ucheshi na ni wa kipekee. Huwa ni wa kwake mwenyewe haufanani na wa mwanasiasa mwingine yoyote. Maongezi yake yanafikirisha lakini yanawekwa hadharani kwa njia ya kuchekesha. Wapo wanaodhani kuwa ameupata ukuu wa Mkoa kama bahati tu, kama...
  19. Narumu newz

    Majira ya baridi ndiyo yataamua hatma ya vita ya Ukraine

    Ni ukweli usiopingika ,achilia mbali mahaba tuliyonayo ,maana kila binadamu ana chaguo lake ,pro NATO na pro Russia wote wana haki ya kuwa na mahaba ,kwa kadri ya ufahamu na mitazamo ya namna mbalimbali. Ila sasa wakuu hii vita tuambiane ukweli tuu majira ya baridi ndiyo yatatoa matokeo halisi...
  20. L

    Watoto wajifanya kuwa "madaktari wadogo" wakati wa mapumziko ya majira ya joto ili kufahamu utamaduni wa dawa za jadi za Kichina

    Agosti 9, huko Hohhot Mkoani Mongolia ya Ndani, watoto walitazama utengenezaji wa dawa za jadi za Kichina. Watoto walitumia fursa ya mapumziko ya majira ya joto kujifunza, kuelewa ujuzi wa dawa za Kichina, na kuelewa utamaduni wa dawa za jadi za Kichina.
Back
Top Bottom