Mungu hufanya kazi kwa majira

Mungu hufanya kazi kwa majira

bibliatimes

Member
Joined
May 13, 2025
Posts
7
Reaction score
9
Haleluya Haleluya Haleluya.

Nimejifunza: KUFANYA JAMBO SAHIHI KATIKA WAKATI USIO SAHIHI SIYO SAHIHI.

MUNGU wetu ni MUNGU wa ratiba ni MUNGU WA wakati hafanyi mambo kienyeji maana yake kama ninasikia kiu ya kuomba leo ama msukumo wa kuomba niombe nisiseme nitaomba kesho maana MUNGU anaachilia hiyo kiu ya Mimi kuomba muda huu sababu anajua nini kitatokea

Baada ya mimi kutokuomba, nisipoomba tayari adui anakula muda na majira, anapanda pando na MUNGU atarejesha majira na nyakati vilivyoibiwa na adui. Nikiamua kufanya toba na kumrudia yeye.

Shetani ni time keeper hana muda wa kupoteza tuwe watu wa toba Mifungo na sadaka ili tusikie sauti ya Mungu Ndani yetu kwa kila majira Mhubiri 3:1 ili nzige, madumadu na tunutu wasiweze Kura mda na majira Yetu Amina.
 
Back
Top Bottom