majibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Samizi asimama bungeni kupigania ujenzi skimu ya nyendara, serikali yatoa majibu

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence Samizi Ijumaa Februari 07, 2025 amesimama Bungeni kuiulizia Serikali kuhusu ukamilishaji wa Skimu ya Nyendara. Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. David Silinde amemjibu Mhe. Mbunge Samizi kwa niaba ya wananchi wa Muhambwe kwamba Serikali iko...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Majibu ya vipimo Electrocardiogram (ECG)

    Mssaada wenu wakuu nimerud kwenu baada yakuwa napata maumivu makali ya mgongoni nkiinamisha kichwa au kuinua.
  3. JamiiForums Tanzania Kukosa Majibu Katika Ujenzi wa Majengo ya Elimu na Afya, bila kujali matumizi Bora ya Ardhi upande wa Tanzania Bara

    Katika kipindi hiki, kumekuwepo na hali ya kushangaza kuhusu sera za serikali, hasa zinazohusiana na ujenzi wa majengo ya taasisi za elimu na afya. Serikali ya awamu ya sita imeweka marufuku juu ya ujenzi wa majengo ya ghorofa, jambo ambalo linaweza kuonekana kuwa na athari kubwa katika...
  4. JamiiForums Tanzania Tuhuma alizozitoa Wenje na majibu aliyoyatoa K/Mkuu John Mnyika, kwa nini Wenje bado ni mwanachama wa CHADEMA?

    Wenje ametoa tuhuma nzito kuwa pesa za Join The Chain pamoja na Chadema digital zinatumika kwa ajili ya kufanya mapinduzi ndani ya CHADEMA. Katibu Mkuu wa upande wake amemjibu Wenje kuhusu ukuswaji,matumizi na ukaguzi wa CAG wa fedha hizo. Hivyo Wenje amedhihirika kutumia uswahiba wake na Abdul...
  5. JamiiForums Tanzania Waha tupeni majibu ya hii kauli ya Lissu; 'Kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli'

    Akihojiwa na Charles William wa Wasafi TV, Lissu alisema 'kuna kijiji kinaitwa Kazura Mimba kipo Kigoma, kina watoto wengi kweli kweli. Mpaka mwandishi kacheka na mimi mwenyewe nimecheka kweli kweli. Embu Waha njooni tulijadili hili, hapo Kazura Mimba kunani?? Au ni mbegu za majini...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msaada, Majibu ya vipimo vya mkojo PROTEIN +,KETONES + ni ishara ya kitu gani mwilini

    Wakuu nakuja kwenu msaada wenu mdogo wangu kanipigia sm Yuko dar kwamba majuzi kichwa kilimuuma sana akashindwa fanya chochote akalazimika kwenda hospital kupima ..alienda hospital mbili tofaut siku mbili tofaut majibu yakaja mkojo una protein + na ketones+ . Wakamuandikia dawa akinywa anakua...
  7. JamiiForums Tanzania Siri ya kuomba Mungu kwa usahihi ili upate majibu

    Kuna dhana ipo katika watu wengi kuangaika kutuma maombi yao kwa Mungu (ulimwengu wa kiroho) ili kuweza kupata majibu ya maombi yao. Tatizo ni jinsi ya kutuma maombi. Shida kubwa kwa watu ipo katika namna ya kuongea na Mungu/ulimwengu kwani wengi hawajapewa siri ya kuongea na muumba wa kweli...
  8. JamiiForums Tanzania Nilimuelewa yule kijana swali lake kwa Dr. Zakir Naik na namuomba apitie humu namsaidia majibu yake

    Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu. Kuna kijana alipewa nafasi ya kuuliza swali akataka kujua ufafanuzi wa aya na inaonekana alikusudia aya mbili za surat naml (27:39-40). Kijana yule kwanza nampongeza maashaallaah anajua kusoma quran, alianza kwa kuzisoma hizo aya na bahati mbaya akaishia aya...
  9. JamiiForums Tanzania Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa

    Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa Hili tatizo linawasumbua sana Watanzania wenzangu inawezekana hawajafundishwa shuleni namna ya kujibu maswali kama sivyo wamejawa na dhihaka...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba majibu tafadhali

    Kwa mujibu wa quruan ni kwamba mwanaume wa akislamu akifa mwema anapewa wanawake bicra 72 hukoo peponi sada jee mwanamke akiwa mwema yeye atapewa wanaume 72? .
  11. JamiiForums Tanzania Naomba majibu tafadhali watu waminio dini hizi 2 yan ukristo na uislamu

    Huwa napata shida sana tangu niko mtoto na hii inaniumiza sana binafsi mm Siamini dini yeyote kati ya ukristo wala uislamu sasa hivi mnaavyosema ety Jerusalem maka na madina ni miji mitakatifu mna maana gan kwaiyo huku kwetu africa dar es salaam nairobi Accra Lusaka adis Ababa Kampala Ni...
  12. JamiiForums Tanzania BADO SIJAPATA MAJIBU YAPATA MIAKA MIWILI SASA

    https://www.jamiiforums.com/threads/chadema-tunaombeni-majibu-ya-swali-hili.2035250/
  13. JamiiForums Tanzania Kwa haya majibu ya lissu itoshe kusema Chadema ni wa kuogopwa kama ukoma

    Ifike mahali tuwaache wapasuane wavuane nguo hawa ni genge la wahuni, Genge la watu wasio na busara je hii vita ya maneno ni uenyekiti tu au kuna jengine limejificha, Lissu yupo kwenye koma ya hasira ameamua kurusha kila silaha bila staha lissu hana tofauti na slaa ile siku ya hotuba yake serena...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Idara ya Elimu kuanzia Julai, Agosti na Septemba 2024 aliyehusika na upandishaji wa madaraja kwa walimu aje atoe majibu

    Waziri wa utumishi na Tamisemi mnatakiwa kutoa majibu ni nani aliyehusika na hili. Umeajiriwa mwaka mmoja na mtumishi mwenzio mwingine umemtangulia lakini kilichotokea july-septemba kuna watumishi walipanda madaraja ya mishahara kwa lugha ya mserereko, waliobaki majibu yaliyotolewa na HR na TSC...
  15. JamiiForums Tanzania WANA CHADEMA TUSAIDIENI/MNISAIDIE KUJIBU HAYA MASWALI MAANA SIPATI MAJIBU.

    1. Kwanini baadhi ya wanachadema hawataki Mbowe agombee uenyekiti? Kama katiba ya Chama inamruhusu? 2. Kwanini wasionyeshe kutokuridhika kwao na kazi aliyoifanya Mbowe[kama wanavyosema] kwenye sanduku la kura kwa kutokumpigia kura? 2. Au hawana Imani na mfumo wa uchaguzi ndani ya Chama chao...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Sijalipwa malipo yangu ya Vita ya Kagera, kila nikifuatilia naambiwa hakuna anayedai

    Nikirejea tamko la Waziri wa Ulinzi katika Bunge la Tanzania tarehe 13 -06-2024, siku ya Alhamisi. Bunge la 12 kikao cha 15. Taarifa ya Waziri ya Ulinzi katika taarifa yake moja ni wanajeshi wote waliopigana katika vita vya Kagera wote wameishalipwa. CPL NGUSSA GULINJA 692 DET ni mmoja wa...
  17. JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Majibu ya kitendawili cha 'Governor's Dilemma' yanamkweza Tundu Lissu na kuwashusha Mbowe, Samia na Hussein Mwinyi

    "Hata alipokwisha kunena, Yesu alimwambia Simoni Petro, twika mpaka kilindini, mkashushe nyavu zenu mvue samaki. Simoni akajibu akamwambia, Bwana mkubwa, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha, tusipate kitu; lakini kwa neno lako nitazishusha nyavu. Basi, walipofanya hivyo walipata samaki wengi...
  18. JamiiForums Tanzania Daisle Ulomi aliwahi kuwa askari, jeshi la polisi linapaswa kuwa na majibu

    Hili nina uhakika nalo kuwa Daisle Ulomi alikuwa askari wa Jeshi la Polisi Tanzania ila sina uhakika kama aliachana na hiyo kazi(Hapa ndipo swali lilipo kuhusu kifo chake, Ulomi kauawa) maana ni siku nyingi sijaonana naye ila ufahamu wangu na hata kiapo naweza thibitisha kuwa Daisle ulomi...
  19. JamiiForums Tanzania Picha hii nimeipiga nikiwa nimesimama wapi? Wageni wa jiji ndiyo watupe majibu

  20. J

    JamiiForums Tanzania Inahusu wanawake wote siyo wasichana, tunaomba majibu

    Ukewenza ni sababu ya kuleta ushindani katika maendeleo ya familia, ushindani katika upendo kwa mume, na kutunza watoto Umoja, ushirikiano katika shida na raha, kujaliana na ku uguzana. Kama unakubaliana na hili ongezea sabubu zako, Kama unapinga hili toa sababu zako.✍️
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…